lissu vs mbowe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    John Heche: CHADEMA tumefika hapa tulipo (kwenye mtanziko) kwa sababu ya Wenje

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake. Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Freeman Mbowe: Sina tabia ya kumshambulia kiongozi mwenzangu hata napokuwa siridhiki, Katiba kumbana Lissu

    Akijibu swali la Salim Kikeke Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amekiri kuwa mara kadhaa amekuwa akikaa na Makamu wake, Tundu Lissu na kujadili mambo yanayohusu Chama na baadae anakuja kuzisikia taarifa hizo zimetoka nje. Soma, Pia: Freeman Mbowe: Shutma za Lissu...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Wakuu Kwenye mahojiano na Salim Kikeke kupitia, Crown FM, Mbowe amefunguka kuwa; "Mimi kama Mwenyekiti wa chama ni tabia yangu ni historia yangu, sijawahi kuingia kwenye siasa kwa ajili ya kutafuta sifa na mimi nilikuwa mtu wa kujenga na kulea vipaji vingi kwa miaka yote, Tundu Lissu mimi...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Kaka yake Tundu Lissu: Atakayechaguliwa CHADEMA arekebishe Katiba ya Chama

    Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama. Pia, Soma: Sijawahi kumsikia Mbowe akizungumzia Katiba Mpya ya JMT, Nadhani hicho siyo Kipaumbele chake bali ni Kipaumbele Cha Chama...
  5. chiembe

    Mbowe ana udhibiti wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ijayo ya CHADEMA, Lissu haelewani nao, atapitisha vipi hoja zake?

    Lissu atafeli tu, hakuna namna. Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu ataka viongozi wa dini waingizwe kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atoa mapendekezo ya uchaguzi huru na haki katika ngazi ya chama hicho unaotarajiwa kifanyika mwezi huu wa Januari 2025. Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
  7. Mindyou

    Pre GE2025 Lissu ataka mabalozi wa nchi mbalimbali wawepo kama waangalizi wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ili "kuongeza macho"

    Wakuu, Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto. Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au wawakilishi wao ambao watakuwa kama wangalizi wa Uchaguzi wao wa ndani ya chama. Haya ndiyo maneno...
  8. Waufukweni

    Pre GE2025 Peter Madeleka: Mbowe amefika mwisho, hana jipya

    Wakili wa Kujitegemea nchii, Peter Madeleka, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefikia mwisho wa mchango wake katika siasa za mageuzi na hana jipya la kutoa katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini. Akizungumza na Jambo TV, Madeleka amesema...
  9. Mindyou

    Godbless Lema awapa onyo zito CHADEMA kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025. Akiri CCM kufuatilia Uchaguzi wao wa ndani

    Wakuu, Kufikia hvi sasa bado, Godbless Lema hajaainisha anamuunga mkono nani kati ya Lissu ama Mbowe. Na wakati watu wanasubiri atoe msimamo wake, Lema ametoa onyo zito kwa baadhi ya makada wa CHADEMA Kutokana na kauli ambazo wanazitoa. ============================================ CCM...
  10. Manyanza

    Pre GE2025 Kuhusu kupokea fedha za Abdul, kutoka kwa Lissu kuna ukweli kidogo na uongo mwingi

    TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tanzania Bara, alishusha tuhuma kuhusu mtu anayeitwa Abdul, mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda nyumbani kwake kumhonga. Alizungumza kwa mara ya kwanza Iringa Mei 2024 kwenye mkutano wa hadhara. Aliendelea kurejea maneno hayo katika mikutano...
  11. Idugunde

    Wana CCM badala ya kujadili matatizo ya watanzania wanawawajadili CHADEMA. Mgogoro wa CHADEMA unawahusu watanzania?

    Miaka 60 ya uhuru Watanzania wanaishi kwa tabu na dhiki. Naongea kwa mambo ambayo nayaona kwa macho yangu. Iwe mjini au kijijini upatikanaji wa maji ni shida. Ajira ni tatizo kubwa. Pesa haina thamani. Watu wanaishi kwa biashara za kubangaiza. Hakuna uchumi imara. Alafu leo Chama tawala...
  12. Z

    Niliwambia kuwa "Chadema ni genge la wahuni" mkanitukana. Haya sasa kiko wapi?

    Mara kadhaa nimewambia kuwa chadema ni genge la wahuni wapiga dili, wanatumia chama kama kitegauchumi. Mungu sio asumani leo hii leo hii tunawaona jinsi wanavyo tuhumiana wao kwa wao kula rushwa/kulamba mzigo. Mnawaona jinsi wanavyo nyoosheana vidole;.........mara...wewe umesha lamba....ohhh...
  13. Tlaatlaah

    Freeman Aikaeli Mbowe anapata fursa ya kujua na kujifunza watu wema na wenye hila dhidi yake na uongozi wake

    Kuelekea uchaguzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, chadema ngazi ya taifa, Yapo mambo mengi sana yametokea na yanaendelea kutukokea kwa nyakati tofauti, na mengi yakihusiana na joto la uchaguzi wa chama hicho, January 22,2025. Kwa upande wa Freeman Aikaeli Mbowe, hali hii itamsaidia sana...
  14. Waufukweni

    Pre GE2025 Peter Madeleka: Wanasema ukitaka kugombana na Mbowe, gombea Uenyekiti wa CHADEMA

    Wakili msomi Peter Madeleka afunguka mambo mazito kuhusu uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA unatarajiwa kufanyika Januari 2025. "Wako watu ambao wanasema, na sidhani kama wako sahihi sana, lakini inawezekana ni nadharia tu ambazo zinapaswa kuthibitishwa vinginevyo na...
  15. Waufukweni

    Pre GE2025 Mratibu wa Kampeni za Mbowe: Kumtuhumu kushirikiana na CCM ni kumkosea heshima, Tunamhitaji Mbowe kuliko anavyojihitaji yeye mwenyewe

    Mratibu wa kampeni za Freeman Mbowe ametoa kauli kali akiwataka wale wanaomtuhumu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuacha mara moja, akisisitiza kuwa ni kumkosea heshima kiongozi huyo. Akizungumza na Jambo TV, mratibu huyo ameeleza kuwa Mbowe ameonyesha...
  16. Mindyou

    Nani hupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CHADEMA? Wajumbe wanatokana na nini?

    Wakuu, Najua hili swali ntakuwa sijiulizi peke yangu najua tuko wengi tunaojiuliza! Sote tunajua Rais wa nchi anachaguliwa na wananchi wote as far as wamefikisha vigezo vinavyostahiki. Nataka nijue nani hasa humchagua Mwenyekiti wa CHADEMA. Mchakato wao wa uchaguzi ukoje? Je, ni mtu yeyote...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Pre GE2025 Lissu usijitoe kwenye kinyang'anyiro, mshindani wako hofu anayo. Jitokeze na panga timu yako kuwapa hari wajumbe wanaokuunga mkono

    Kwema Wakuu! Lisu wape nguvu wajumbe wanaokuunga Mkono. Usikubali kuachia wape nguvu. Onyesha wewe ni nani. Wape nguvu wale waliotishwa na kukatishwa tamaa na Mbwembwe mshindani wako kwenye Media. Zile ni mbwembwe tu. Mbowe mwenyewe ana hofu. Yeye mwenyewe anaogopa. Lazima aogope aibu...
  18. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Ilala: Mbowe atoe tamko kukemea wapambe wake wanaomtukana na kumtishia Tundu Lissu

    Wakuu, Mara baada ya CHADEMA Shinyanga na Mwanza kuonesha kwamba wanamuunga mkono Tundu Lissu, CHADEMA Ilala nao wameonekana kutoa tamko. Mnaweza kuwatukana CHADEMA kuwa kina mgawanyiko lakini hii ndo aina ya demokrasia inavyotakiwa kuwa Mambo kama haya huwezi kuyakuta CCM ambapo Mwenyekiti...
  19. Mindyou

    Pre GE2025 CHADEMA Shinyanga watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu kwenye Uchaguzi mkuu wa chama hicho

    Wakuu, Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA umeendelea kupamba moto ======================================== Wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mkoa wa Shinyanga wamesema watamuunga mkono Tundu Lisu ambaye ametangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  20. Kikwava

    Pre GE2025 Mbona Tundu Lissu hatumuoni kwenye mikutano ya Mwenyekiti Mbowe?

    Chadema walikuja kwa madaha wakidai kuwa "Sasa Mbowe na Lissu watapanda Chopper moja na kwenda kufanya mikutano Kanda ya Kasikazini. chaajabu mpaka Sasa ni wiki inakata Lissu haonekani Singida Wala Tanga" Vipi au mitifuano ndani ya chama Inaendelea? Nitumie fursa hii kumshauri ndugu Lissu...
Back
Top Bottom