Kupitia ukurasa wa Youtube wa Jambo TV, kumevuja sauti ambazo zinaonesha baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa wanapigia simu wajumbe watakaoenda kupiga kwenye uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
=========================
My take:
Mimi kama mjomba ake nimehuzunika sana, nilitamani uncle aendelee...
Katika kutimiza malengo ya taasisi, taasisi huwa na mifumo ya uendeshaji wa mambo mbalimbali ya taasisi. Mifumo hiyo huwa na procedures ambazo wahusika ni lazima wapitie katika kutekeleza jambo fulani. Procedures hizo huwekwa katika namna ambayo huzuia vihatarishi (risks) ambayo vinaweza kuzuia...
HISIA ZANGU, MAMBO HAYA KUMBEBA LISSU CHA
Baada ya chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kutangaza mchakato wa uchaguzi wa viongozi wakuu wa chama umeibuka mjadala juu ya nani ataweza kushinda uenyekiti katika uchaguzi huo.
Mjadala unaendelea wakati ambapo Mwenyekiti wa chama hicho...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Shinyanga Emmanuel Ntobi amesema uamuzi uliofikiwa na kamati si sahihi kutokana na kushindwa kufuata taratibu, kanuni na katiba iliyowekwa na chama hicho.
Ntobi ameeleza hayo wakati akizungumza kwa njia ya simu na...
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake...
Kwa mtazamo wangu, hili ndio tatizo la msingi la huyu bwana kutaka kuendelea kukakilia hicho kiti. Nina wasiwasi kuwa alishakula hela za watu kwa shariti hilo na sasa asipogombea atakuwa ameenda kinyume na makubaliano.
Kwahiyo, huyu bwana hafai hata kidogo na akirudi madarakani, basi chama sio...
Long live TAL:
Huu ni mwendelezo wa mada zikiongelewa humu kwa muda mrefu:
Pia soma: Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati
Pia soma: Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa
Na Suleiman Mfua
Katika siku za hivi karibuni ndani ya Siasa za Tanzania kumekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu nani anayestahili kupewa ridhaa ya kua mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Mjadala huo umetokana na Vigogo wawili wa Chama hicho Wakili Tundu A. Lissu (Makamo...
Kuwa kiongozi mkuu wa chama Cha siasa ambacho ni active kama ilivyo Chadema, ni muhimu sana.
Ukiacha kufanya tu siasa za ndani, kujua upana wa mambo ya yanayoendelea kwenye ulimwengu mwingine ni mileage kwa chama hicho na nchi kwa ujumla.
Siasa ni universal pia, hivyo kama huna upana wa kuona...
Aiseeh!
Team ya Mbowe Mpaka dakika hii wametepeta. Sijui kama wanajua kama wapo kwenye Kampeni za uchaguzi. Fikiria Mpaka Muda huu hawajaeleza Mbowe Akiwa Mwenyekiti atafanya Jambo gani. Pengine nao hawajui wakipewa nafasi nini watafanya.
Watu wengi waliposikia Mwenyekiti Mbowe anahojiwa...
"Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti.
“Kuna kundi...
Kuna kila dalili na ishara kwamba minyukano inayoendelea ndani ya CHADEMA imeratibiwa na kupenyezwa kwa mbinu za siri ili kukivuruga chama hiki ambacho kimsingi ndicho chama kikuu cha upinzani. Baada ya hali ya chama tawala kuonekana tete kuelekea uchaguzi mkuu 2025 hususan baada ya dalili zote...
Mudhihir alisema majoka Yana Tabia za ajabu sana
Akatoa mfano wa Joka la Mdimu ambalo linazuia Watu wasichume ndimu wakati lenyewe halili ndimu
Mbowe mbele ya Viongozi wa dini alikataa kugombea Uenyekiti wa chadema wala Urais wa JMT lakini hataki Tundu Lisu agombee hizo nafasi
RIP Mudhihir...
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF...
Wakuu
Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea...
Wakuu,
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akieleza matamanio yake ya kuona Wakili Tundu Lissu akiibuka kidedea dhidi ya mshindani wake wa karibu Freeman Mbowe kwenye mchakato wa ndani wa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unaoendelea
Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa, ametoa rai ya wazi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kujitafakari na kuachia nafasi ya uongozi ili kutoa nafasi kwa kizazi kipya cha viongozi kama Tundu Lissu.
Dkt. Slaa ametoa maoni hayo...
Huo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza Kikapu cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa
Na bila Tundu Lissu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute Lowassa mwingine CCM aje na Watu wa kuwapigia kura Wagombea Ubunge kama enzi za Dr Mollel na Cecil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.