lugha

  1. Aina za Nomino (N) katika Lugha Kiswahili

    Subalkheir ndugu zangu, Baada ya andiko lililopita kufafanua aina mbalimbali za maneno (Soma hapa: Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili) nikaona si vyema kuwaacha hewani. Kama nilivyoahidi kuja na ufafanuzi wa undani wa aina moja moja ya maneno, katika andiko hili tutaangalia aina za...
  2. Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, Leo turudi shule kidogo tujikumbushe aina mbalimbali za maneno katika lugha. Mada hii itaeleza kwa ufupi aina mbalimbali za meneno zilizopo halafu mada zijazo ntagusia aina moja moja kwa upana wake. twende kazi hapa chini: Kabla hatujaenda kiundani kuelezea aina za maneno kwanza...
  3. Utata katika matumizi ya lugha

    Kwa fasili ya harakaharaka Utata katika maneno au katika matumizi ya lugha ni ile hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja Mfano:maneno kama vile 📌Ua 📌Mbuzi 📌Chezewa Mfano wa sentensi: 📌Mwenye kazi yeyote halali Hapa maana ya kwanza ni kuwa mtu yeyote mwenye kazi huwa halali...
  4. N

    Lugha ni Utamaduni?

    Kiongozi mmoja wa Kiyunani (Kigiriki) aliitwa Alexander Mkuu, ndiye aliyefanya mabadiliko makubwa sana ya kueneza utamaduni wa Kigiriki eneo lo lote alilotawala. Akaeneza na kuhimiza watu kutumia lugha ya Kiyunani, ikawa lugha ya kibiashara kwa mataifa yote aliyotwala, ikachangia kwamba hata...
  5. Watoto wafundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery school

    Wasalaam wakuu Hivi ni kwanini watoto wetu wasifundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery? Huu mfumo wa kuwafundisha kwa kiswahili mpaka la saba halafu waanze tena kufundishwa kwa kiingereza kuanzia form one ni mgumu mno Mtoto akifundishwa kwa kiingereza tokea nursery school...
  6. M

    Ni aibu kwa nchi za Afrika zinazoimba nyimbo za Taifa kwa lugha za kigeni

    Zamani hata kabla ya kuja wageni na dini za kigeni waafrika walimwomba Mungu kwa lugha zao na kulikuwa na matokeo ya haraka sana kuliko sasa katika dini za kigeni. Kuimba wimbo wa taifa kwa Kiingereza au Kireno au Kiarabu au Kifaransa hii ni sawa na kumkosea Mungu heshima, naipongeza Tanzania...
  7. Application ya Kutafsiri sauti ya lugha za kwenye Video

    Habari ya mda huu wana JF Kama kichwa kinavyojieleza wadau Hivi hakuna application inayoweza kutafsiri sauti ya kwenye video au audio ya kwenye video
  8. Matumizi ya neno "Lugha ya kitaalam"

    Kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya wa Tanzania wa kada mbali mbali pale wanapo elezea jambo sasa inapokuja kuli tafsiri ilo neno au msamiati kutoka English kuja kiswahili, au kiswa kwenda Eng utasikia mtu anasema eti kwa lugha ya kitalaam inaitwa. Mfano: Mtalaam wa lishe labda anaelezea...
  9. Namna ya kumfikisha mwanamke kileleni mapema

    Habarini wakuu.. Miezi kadhaa iliyopita nilijiwa na mshkaji wangu wa kitambo sana mtaani kwangu. Katika story za hapa na pale akanipa mbinu moja ya kumfikisha demu kileleni mapema ambayo yeye mwenyewe amewahi kutumia mara kadhaa. Anasema kabla ya kukamua show natakiwa niwe na vitu viwili...
  10. Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

    Muda unaenda kasi sana! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa. Eti Tunampambania, anatupambania! Too low! Hivi mtu anayetekeleza majukumu yake na analipwa pesa ndefu na nyingine anabeba na kugawa...
  11. L

    Kubadilishana lugha ya Kichina na nyingine duniani kunakuza utandawazi na maendeleo

    Kubadilishana lugha ya Kichina na nyingine duniani kunakuza utandawazi na maendeleo Na Ronald Mutie Utandawazi unavyozidi kukua ndivyo mahitaji ya kujifunza yanaongezeka kutoka kwa nchi moja hadi nyingine. Mojawapo ya vikwazo vya kujifunza hata hivyo imekuwa ni tofauti ya lugha na tamaduni...
  12. L

    Wachina wabadilisha mwelekeo na kufuatilia zaidi lugha za Afrika kikiwemo Kiswahili

    Hivi karibuni chuo kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing BEWAI kilifanya mashindano makubwa yaliyowashirikisha wanafunzi wanaosomea lugha mbambali za Afrika katika vyuo vikuu mbalimbali nchini China, zikiwemo Kiswahili, Kihausa na Kiamhara. Lengo la mashindano haya ni kukuza uelewa wa Wachina...
  13. Lugha ya kiswahili itakufa? Nasikia watoto wa english medium hawakijui

    Juzi nimeona mtandaoni mama mmija akilalamika kuwa mwanae wa miaka 8 hajui vizuri kiswahili. Mwingine anasema mwanae anaongea kiswahili kama cha wahindi. Hili ni jambo zuri au ni tatizo? Hii ipo kwa kiasi gani? Kiswahili kinaenda kufa?
  14. Wizara husika ya Habari na MCT je, Kichwa cha Habari hiki cha 'Kihuni' katika Gazeti la Yanga SC toleo la leo Jumamosi mmekibariki?

    Kichwa cha Habari ni hiki.... YANGA YAMBAKA MUME WA SIMBA Najua Simba na Yanga ni Watani wa Jadi ila sidhani kama katika Tasnia ya Habari Lugha hii ya 'Kihuni' na 'Udhalilishaji' inakubalika. Na kama GENTAMYCINE nitajibiwa kuwa ni Lugha njema tu hiyo basi nitaiomba Wizara husika na MCT...
  15. Wasanii wanaotumia lugha chafu kwenye kazi zao kikaangoni

    Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) limesema litaanza kuwashughulikia wasanii wanaotumia vibaya Kiswahili katika kazi zao huku likiwatolea mfano wasanii wa Bongofleva. Hayo yameelezwa leo Alhamisi Aprili 29, 2021 na mhariri lugha wa baraza hilo, Oni Sigala katika jukwaa la sanaa lililofanyika...
  16. Prof. Kabudi: Zoezi la kutafsiri Sheria kwa lugha ya Kiswahili linaendelea

    Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi amesema Wizara nyingine pamoja na Taasisi zinaendelea na zoezi la kutafsiri Sheria zinazosimamia ili ifikapo Desemba 2021 Sheria zote ziwe zimetafsiriwa kwa Kiswahili. Amesema Mahakama ipo katika hatua za mwisho kutafsiri Kanuni zaidi ya 50...
  17. M

    Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari

    Kwanza naanza kwa kumpa sifa Mungu wetu muweza wa yote kwa kutuepushia mbali na upepo wa Jobo Tanzania ni salama Kama kichwa cha habari kinavoeleza mkuu wa Wilaya ya Iringa ndugu Richard Kasesela akiwa anaendelea kuongea na madereva bajaji katika mkutano huo, Mkuu huyu wa wilaya alisikika...
  18. Ipi ni hatma ya lugha yetu pendwa kiswahili katika awamu ya sita?

    Habari wana JF, Nimesikiliza hotuba ya muheshimiwa Raisi kwa uzuri kabisa nikamwelewa, lakini lugha hii yetu pendwa (kiswahili) hajazungumzwa mahala popote. Hapo awali kiswahili kilitiliwa mkazo kwa sababu zinazojulikana na utawala uliopita. Lugha ya kiingereza ilionekana ni anasa au kielelezo...
  19. Ijue maana ya neno "Demka". Ni Kiswahili kutoka Zanzibar chenye asili ya lugha ya Kikae

    Hongera Mh Rais Samia Suluhu kwa kutuongezea msamiati kwenye lugha yetu. Katika kongamano na viongozi wa dini Rais Samia ametumia neno la kiswahili ambalo ni adimu kulisikia mitaani ingawa ni neno la kiswahili kutoka asili ya kusini mwa Zanzibar. demka Taz. demnga. demnga V cheza ngoma kwa...
  20. Hiki chakula kwa lugha ya kwenu wanaitaje?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…