'We Men' ni series mpya ya Kitanzania inayoonyeshwa kwenye Instagram page ya Maxrioba. Maudhui yake ni ya mapenzi (kama kawa). Kwa story nzima mnaweza kwenda kuiangalia huko Instagram.
Technically hii series wanajitahidi. Hapa ninaongelea rangi ya picha, mwanga, namna shots na scene...