Ukifunga mita ya TANESCO hii ya Luku kwa mfano mita nimefunga mbezi, alafu nikahama Mbezi na mita yangu nikahamia labda magomeni na hiyo mita, nimesikie eti ni hadi nikahamishe location ya mita ili niweze kununulia umeme sehemu niliohamia bila hivyo siwezi pata hiyo huduma kwa hapo...