maadhimisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Darasa: Maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika!

    Wanabodi! leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika...
  2. Kasomi

    Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani | Ruanda Mnzomve, Mbeya

    Leo ni Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambayo kitaifa yanafanyika mkoani Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzomve. Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu. Miongoni mwa wageni walio fika katika viwanja hivyo ni waziri mkuu Mh...
  3. Emanuel Eckson

    Rais Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama - Arusha

    Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani kitaifa yatakayofanyika mkoani humo kuanzia tarehe 23.11.2021 katika Uwanja wa Shekh Amri Abeid Karume. Kamanda Masejo...
  4. The Sheriff

    Hotuba ya Rais Dkt. Hussein Mwinyi Katika Kutimiza Mwaka Mmoja wa Awamu ya Nane ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar | Novemba 6, 2021

    Hotuba ya Rais Mwinyi mheshimiwa Othman Masoud Othman; Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla; Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid; Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mheshimiwa Jaji Khamis Ramadhan Abdalla, Kaimu Jaji Mkuu wa...
  5. beth

    Oktoba 16: Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani (World Food Day)

    Siku ya Chakula Duniani huadhimishwa kila Oktoba 16 ikiwa na dhumuni la kutoa uelewa na kujadili hatua zinazoweza kuchukuliwa kukabiliana na suala la Njaa na milo bora kwa wote Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO) linasema athari za kiuchumi kutokana na COVID19 zinaweza kuongeza Watu...
  6. Kasomi

    Oktoba 15: Maadhimisho ya Siku ya wanawake wanao ishi kijijini

    Leo ni Siku ya wanawake wanao ishi kijijini, Siku hii huadhimishwa kila Oktoba 15 ikilenga kutambua Haki za Wanawake wanao ishi kijijini pamoja na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo Siku ya Kimataifa ya wanawake waishio kijijini inaweka msisitizo kwenye kushughulikia matatizo...
  7. Mnyuke Jr

    Kumbukumbu na Maadhimisho ya kifo cha Mwl. J. K. Nyerere

    Mtoto wa chifu aliyekuwa na Wake 22, akaanza shule akiwa na miaka 12 akahitimu kama Tanganyika One(T.O). Akasoma Tabora Boys, Makerere na Edinburgh huko Scotland. Akafundisha Pugu na Mkapa alikuwa mwanafunzi wake,akaacha kufundisha akapambania uhuru. Leo ni miaka 22 bila Mwalimu. ukutana kwa...
Back
Top Bottom