Habarini,
Kuna kitu kimenishangaza kwa wanyama wa mwituni. Mfano, nilikuwa naangalia channel ya wanyama muda huu, kuna Chui jike ana watoto watatu anakanao kwenye pango. Akitaka kutoka kuhamia kwingine vinamfuata nyuma.
Kilichoniacha hoi ni pale mama yao anapoinuka kutaka kwenda kuwinda...