Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao msingi wake ni kutokuwa na uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu umewavutia watu wengi katika...