Wadau hamjamboni nyote?
Israel imeamua na haipoi
Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni
Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama)...
Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza.
Uoga wa kumpoteza utakufanya kushusha chini standards zako na kupuuzia red flags unazoziona kutoka kwake.
Iwe kumsomesha, kumfungulia biashara mwanamke n.k, usifanye ilo kosa, kwa sababu utakua mateka wa wema wako...
Wadau hamjamboni nyote?
Makomandoo wa IDF wameanza kulipua mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hezbollah huko mpakani mwa Israel na Lebanon
Ni maandalizi ya uvamizi kamili unaotarajiwa muda wowote kuanzia sasa.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Israeli troops have entered Hezbollah...
Hawa Wachina wamevurugwa.
Changan Auto wamekuja na Nevo E07 ambayo ni shapeshifter kama kwenye movie, ikimaanisha inaweza kua SUV na ukiamua kwa button moja tu inageuka inakua Pickup truck.
Hii chuma inakuja na options mbili, either full electric vehicle (EV) au range extender electric...
MATAYARISHO YA MAULID KWA ZITTO LEO USIKU
Mida hii kuna matayarisho makubwa uwanjani Kwa Zitto Mtaa wa Kionga na Jaribu, Magomeni Mapipa.
Uwanja uliozoeleka kwa chips na berbeque za kila aina umegeuka kuwa uwanja wa Qur'an, kumsalia Mtume SAW na visomo vya kuwaombea maghufira masheikh zetu...
Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii !! Watu wenye akili na weledi na wapiga kura wa kweli hata twita hawapo na wengine hata hawaijui kabisa...
Japo hatua hiyo inaweza kuwa imetokana na sababu nyingine, ukweli kwamba imetokea katika kipindi hiki cha vuguvugu kubwa kuishinikiza serikali iifungie X/Twitter unweza kuyumkinisha kuwa hizi ni dalili za awali za mtandao huo wa kijamii kufungiwa.
Hata hivyo, wakati viongozi mbalimbali wakuu wa...
Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel.
==================
The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the...
Kila mwaka wa fedha, serikali huandaa na kuweka wazi makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha unaofuata. Licha ya umuhimu wake, swali kubwa linabaki kuwa ni kwa kiasi gani wananchi wanashiriki katika mchakato mzima wa maandalizi ya bajeti hizi? Bila shaka, upo umuhimu mkubwa wa...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limeipongeza Tanzania kwa kupiga hatua kubwa katika masuala ya uwazi kwenye mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kutokana na matokeo ya utafiti wa uliofanywa na Shirika hilo.
Pongezi hizo zimetolewa jijini Dodoma...
Kutakuwa na mawasilisho ya maoni kutoka kwa makundi mbalimbali ya kijamii na mjadala wa wazi
Mada za Utangulizi
1. Prof. Issa Shivji: Tanzania @ 60
2. Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania ya 2050
Wachagizaji wa Mada
1. Prof. Samwel Wangwe
2. Mama Getrude Mongela
3. Dkt. Neema Mduma
4. Dkt. Richard Mbunda
Kamkeni ya wape mipira na jezi wakupe kula imeanza rasmi mkoani Singida. Wabunge wameanza kampeni hiyo ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu.
Katika kampeni Hii tunategemea kushuhudia wabunge walio ungeni kwa kushirikiana na wale wanaolengwa kugombea Ubunge na udiwani wakifanya mazungumzo na...
kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao.
hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo, licha ya kwamba mazingira sawa ya kufanya siasa yamewekwa na serikali iliyopo madarakani.🐒...
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba ile wiki ya Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA yatakayofanyika Dunia nzima , kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania pamoja na Sheria mbovu na Duni sana za Uchaguzi zilizosainiwa na Rais Samia , huku akijua kwamba Sheria hizo ni Hatarishi na...
Taarifa kutoka kwenye vyanzo vya Uhakika Ndani na Nje ya Nchi , Chadema HQ na Chadema Diaspora , zinaeleza kwamba Maandalizi ya yale Maandamano kabambe ya amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania Yamekamilika .
Taarifa zingine zinaeleza kwamba Wananchi...
Mbunge Dkt. Joseph Mhagama: Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Kutumia Fedha za Ndani
“Kamati inapongeza jitihada za Serikali kuendelea kupanga bajeti ili kutekeleza miradi mingi zaidi kwa kutumia fedha za ndani. Kwa umahususi, Kamati inaipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya usimamizi mahiri...
DIWANI wa Kata ya Langai, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, Jackson Leskar Sipitieck (Mugabe), amejitolea kumlipa Sh. 100,000 mwalimu wa Shule ya Msingi Langai ambaye anafundisha kwa kujitolea.
Pia diwani huyo maarufu kama Mugabe, ametoa trekta lake na kuwalimia ekari 10 kwenye shamba la...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya kimesema kimekamilisha maandalizi ya kufanyika kwa maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Jumanne, Februari 20.2024 ambapo viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wakitarajiwa kuongoza maandamano hayo
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza, yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika.
Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila ameongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.