Ni neema juu ya neema Kwa Sisi wakazi wa maeneo haya ya mbagala,chamazi,msongola,kitonga Hadi chanika baada serikali kutaka kuanza ujenzi ramsi wa barabara 4 ( 2 lanes)..
Toka mwezi uliopita TANROAD wamepigwa alama ya X nyumba zote zilizopo kwenye hifadhi ya barabara pamoja na notes ya siku 14...
Baada ya kufanya tathmini ya Mipango ya mwaka 2024 na maandalizi yote, Watendaji wa JamiiForums walifanya ziara za kujifunza katika maeneo mbalimbali ya Utalii ikiwemo eneo la Hifadhi ya Ngorongoro
Nashauri kiwanja hiki kitwaliwe na serikali, CCM wafidiwe, halafu kijengwe kiwanja cha kisasa pale.
Hii itaendana na hadhi ya jiji la Mwanza.
Kwa.sasa kiwanja hiki hata CCM hakiwapi faida yoyote ile.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuhusu awamu ya pili ya kuunganisha kituo kipya cha kupoza umeme cha 400kV Chalinze na njia ya msongo a kilovoti 220 inayoanzia Luguruni hadi Morogoro.
Kazi hii itakapokamilika itaongeza uwezo wa kituo cha 400kV Chalinze kupokea Umeme...
Watu wenye ulemavu, iwe ni ulemavu wa kuonekana au usioonekana, wanahitaji msaada mkubwa katika michakato ya upigaji kura. Upigaji kura ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri wa miaka kumi na nane na kuendelea.
Watu wenye ulemavu wanahitaji kipaumbele na mwongozo wa kutosha wanapojiandaa kupiga...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na Uvumba 2025.
Habari kamili hii hapa.
Mpendwa,
Mary Christmas 🎄 and Happy New Year in advance.
Tunapoelekea sikukuu muhimu za Christmas na Mwaka mpya 2024, nachukua fursa hii kukuombea Baraka na Neeema za Mwenyezi Mungu ziambatane nawe katika kila unachokifanya kujiandaa na sherehe hizi pendwa na muhimu, mathalani unajipanga...
Hii Nchi sijui tunaelekea wapi.Walimu zaidi ya 100 wameenda semina ya kusimamia Mtihani wa kitaifa wa Kidato cha nne unaotaratijia kuanza November 13, 2023.
Cha ajabu karibu walimu 54 mpaka sasa hawajapata barua kujua vituo watavyosimamia huku Mafsa Elimu kata wakiwa kimya. Hao hao maafsa Elimu...
Kuna mengi nimekuwa naelezea humu ndani kwa muda mrefu ila nadhani nilikuwa sieleweki ila nadhani sasa mtanielewa. Yanga haiwezi kumfunga Simba goli 5 katika mazingira yoyote ya kawaida na pamoja na mafanikio yoote ya Yanga, moja ya kitu ambacho walikuwa wanatamani kukifanikisha ili kweli...
Chama Cha mapinduzi chini ya mwenyekiti Ccm wilaya kipo kufanya maandalizi kabambe ya Kumpokea MBUNGE wao kipenzi Daktari.Tulia Ackson ambaye hapo jana amechaguliwa kwa kishindo kuwa RAIS wa umoja wa MABUNGE Duniani (IPU),wana Mbeya na msio Wana Mbeya mnakaribishwa Sana kuungana nasi,tarehe ya...
Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860.
Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
Mheshimiwa Posi nimekusikiliza vizuri kipindi cha jambo na nimesoma citizen ninakukupa maua yako toka nyota yako ilipong'ara serikali ya awamu ya Tano umefaa kila kona uliyopelekwa kutumikia Taifa, naamini unaweza kuishauri serikali ikakusikia kama mwana uchumi.
Hivi inaingia akilini kweli...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Kamati ya Utendaji ya CHADEMA kwenye ile kanda kabambe ya Nyasa imemaliza vikao vyake kwa ajili ya Maandalizi ya Oparesheni 255.
Oparesheni hiyo Kabambe ina lengo la kuwaamsha Wananchi juu ya Umuhimu wa Katiba mpya ikiwa ni pamoja na kuwafundisha Uzalendo...
Nina mpenzi wangu ambaye natarajia kabisa kufunga naye ndoa, lakini kuna mambo ambayo naona yanakwenda kinyume na matarajio yangu. Kibinafsi, sipendi kufanya sherehe za harusi zenye gharama kubwa ambazo mara nyingine huwa ni israfu. Hata hivyo, mpenzi wangu ni mtu ambaye anathamini na kupenda...
Ni vile tu kukaza roho na kuondoa aibu but kiuhalisia simba alikuwa anatamaniwa na kila timu iliyokuwepo kwenye hii michuano, na kwa bahati mbaya kaangukia mdomoni mwa wababe wa misri!
Kiufupi ni kwamba mwendo mmeumaliza mechi ya kwanza tu out! Itakuwa ni asante kwa kushiriki, labda walale...
Kuna hoja dhaifu kuwa kwa kuwa IGA katika mkataba wa bandari una matatizo, basi tuje tuwe macho kwenye maandalizi ya HGA ili yale madhaifu ya kwenye IGA yarekebishwe na HGA. Kwanza kwa faida ya baadhi yetu ni kwamba HGA (Host Government Agreement) ni makubaliano ya msingi kati ya mwekezaji wa...
Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Kenya Uganda na Tanzania kuhusu utayari wao wa kuwa wenyeji AFCON 2027, leo hii Julai 31, 2023 wapo Zanzibar ambapo wamekagua Uwanja wa Amaan, hospitali ya Mnazi Moja, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume pamoja na viwanja vingine vya mazoezi...
Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar...
Wakuu,
Baadhi ya maeneo leo umeme umekatika mapema asubuhi mpaka sasa hola. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa juu ya kukatwa kwa umeme kwa baadhi ya maeneo.
Je, haya ni maandalizi ya kutunyima taarifa kwa yale yatakayojiri kesho? Haishindwi kutokea na mitandao yote ya kijamii ikawa chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.