Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona.
Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji.
Tablet zinazo...
Maandalizi ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Yamekamilika, Kazi Iliyobaki ni Moja Tuu, Tujitokeze kwa Wingi kwa Kujituliza, Tuhesabiwe!
Utangulizi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo tarehe 23, mwezi Agosti 2022. Wizara ya Fedha na...
MAANDALIZI YAKO; MAFANIKIO YAKO
Maisha ni mnyororo wa matukio. La leo litazaa la kesho, na la kesho litazaa kesho kutwa yake, hadi mwisho. Japokua sisi tunapita tu, maandalizi yanaweza tupatia mafanikio na maisha ya milele katika kumbukumbu za vizazi na vizazi. Maandalizi ni mchakato wa...
Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo.
Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio tutaona tu kwa jirani ambaye yuko serious.
Sisi tutachukua kombe la digital design
Mrusi ajiandae kwa armaggedon, Ukraine wanaendelea kupata silaha kali za maangamizi makubwa na pia mzuka unazidi kuwapanda, wanajipanga kutiririka milioni moja kutwaa tumiji miji tudogo twa huko mipakani ambapo Mrusi aliambulia baada ya yeye Urusi kuingia hasara kubwa sana.
---
Ukraine is...
Kuna Timu moja ina Washambuliaji Watatu wanaojua Kulazimisha Penati na kwa aina ya Mabeki Watatu wabovu wa Timu nyingine huenda Kesho Penati zikatokea nyingi.
Bahati nzuri MINOCYCLINE sina Timu.
Nchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)
mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari...
MAPOKEZI YA MBOWE HAI YA DODA, WANANCHI WASUSIA, CHADEMA YATANGAZA KUGAWA NYAMA KWA KILA MHUDHURIAJI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mapokezi ya ujio wa aliewahi kuwa Mbunge wa Hai ndugu Mbowe yameingia dosari baada ya wananchi wengi kuonesha kutokuwa na munkari nae tena kama zamani, hii...
Taarifa kutoka Chadema inaonyesha kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania Gwiji Freeman Mbowe anarejea nyumbani kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, kwa mara ya kwanza Jumamosi 19/03/2022, baada ya kushikiliwa gerezani kwa miezi 8 mfululizo, kwa tuhuma za uongo za Ugaidi.
Ratiba ya ujio wake Jimboni humo...
Picha: Baba(Rais), Mtoto (Luteni Jenerali), Mama (Waziri wa Elimu)
Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni nani?
Muhoozi Kainerugaba ni mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda na mama Janet Museveni, ambaye ni waziri wa elimu na michezo tangu mwaka 2016.
Ni mume wa Charlotte Nankunda Kutesa aliyemuoa...
Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande, wa Jimbo Kuu la Mwanza, nchini Tanzania
Usuli
Ifuatayo ni Barua ya Kichungaji kuhusu Maadhimisho ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki.
Sinodi hii, inanogeshwa na kauli mbiu isemayo, “Kwa ajili ya Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushiriki na Utume.”
Maadhimisho...
Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji...
Hizi ni dalili za hatari wakati wa ujauzito.
Uchungu wa uzazi unaochukua muda mrefu sana
Uchungu wa uzazi wa zaidi wa saa 12 kwa mama aliyerudia kuzaa (mzoefu), au uchungu zaidi ya saa 24 kwa mama anayejifungua kwa mara ya kwanza ni hatari. Uchungu namna hii mara nyingi husababisha majeraha kwa...
Julai 31 mwaka 2015 mji wa Beijing China ulijawa na furaha, shamrashamra, nderemo na vifijo baada ya Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa kuutangaza kuandaa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi pamoja na michezo ya Olimpiki ya walemavu ya majira ya baridi mwaka 2022, kwenye kinyang’anyiro...
Habarini za wikend wadau, bila shaka mu wazima na kwa wenye hitilafu kiafya Mwenyezi Mungu awapeni wepesi.
Ipo hivi:
Unamfatilia binti kwa mda mrefu weee halafu mwishowe anakubali mnapanga siku ya kukutana (appointment) unamsihi aje kwako ( yaani gheto) mtoto anakubali anakwambia atakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.