Kuna watu huwa wanasema Siasa hainipi kula, hainiwekei hela mfukoni. Kauliya kishamba na kijinga. Eti mimi sina chama.. Mapoyoyo nyie.
Watu wanadai katiba Mpya, Wametangaza kuandamana ili kushinikiza wapewe Katiba mpya, Maduka yamefungwa, Usafiri, Polisi Wamebebelea mabunduki Nchini Shughuli...