maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Haya ndiyo maandamano ya ovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu. Hata wanaoandamana hawajui kwanini wanaandamana!

    Ukitaka soma, ukitaka acha lakini ukweli ni kwamba haya maandamano ya Freeman na washirika wake ni ya hovyo na sijawahi kushuhudia. Wanaojua kwa nini wanaandamana ni freemani na washirika wake, lakini waandamanaji hawajui kitu chochote! Hawajui kwa nini wanatembezwa kwenye jua Kali mchana...
  2. Maandamano ya CHADEMA ni jogging hayana impact kwa mtawala

    Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana madhara sawa tu jogging fulani tu Africa tofauti na ulaya Ulaya watu hata wanne wakifanya...
  3. M

    Pre GE2025 Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

    Polisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma. Ni maandamano ya kutoka Uyole. Naibu Waziri Mkuu anazomewa Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50. Mbeya sio mchezo. Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni...
  4. P

    Maandamano ya CHADEMA Mbeya: Lissu asema hatujamkimbia Makonda kwenye Mdahalo, ni jambazi anatakiwa kuwa gerezani

    Maandamano ya CHADEMA yanaendelea Mbeya sasa hivi https://www.youtube.com/watch?v=IBSOyiuU4Nk Tundu Lissu: - Tutaandamana mpaka tutakapopata Katiba mpya, mfumo mpya wa uchaguzi, mpaka tutakapowaondoa madarakani hawa wanaotunyonya. - Hatuandamani kwa sababu tunataka kujifurahisha, au kufanya...
  5. Mbeya: Mambo yameanza kuiva, Vituo vya kuanzia Maandamano vyaanza kufurika wananchi

    Inasemekana eneo la Uyole mara zote nyakati za usiku huwa na watu wengi, hii ni kutokana na eneo hilo kuwa njia panda ambayo Magari mengi hupita, Magari ya kwenda Malawi na yale ya kwenda zambia yote hupita hapo. Lakini umati unaokusanyika usiku huu kwenye eneo hilo si wa kawaida , watu ni...
  6. Freeman Mbowe awasili Mkoani Mbeya tayari kwa Maandamano ya Amani

    Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
  7. Pre GE2025 RC wa MBEYA atuhumiwa kuhujumu maandamano ya CHADEMA Mbeya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amekuwa akiandaa njama za kudhoofisha maandamano ya chama hicho yaliyopangwa kufanyika jijini Mbeya Jumanne, Februari 20.2024 Akizungumza na wanahabari kwenye Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyassa zilizopo...
  8. Pre GE2025 Machifu Mbeya wapinga Maandamano ya CHADEMA

    Chifu wa kabila la Wasafwa jijini Mbeya Chifu Rocket Mwashinga amesema anashangaa kusikia kwenye vyombo vya habari maneno yanazungumzwa kwamba machifu wa mbeya wameungana na msafara wa maandamano ya Chadema. "Ni kitu cha kushangaza kama mimi ndio mkuu sasa nashangaa huyo Chifu aliyezungumza ni...
  9. R

    Maandamano ya Februari 20 Mbeya, kiongozi wetu atakuwepo nchini?

    Salaam, Shalom! Baada ya kumaliza msiba, tuendelee na ujenzi wa Nchi yetu. Yalifanyika maandamano katika majiji makubwa nchini, Dar es Salaam na Mwanza, maandamano hayo yameendelea kupata mwitikio mkubwa wa wananchi, hayo yametokea kiongozi wetu ,Mkuu wa Nchi akiwa nje ya Nchi ziarani. Je ni...
  10. Tunduma: Sugu afagia uwanja kabla ya maandamano ya Amani 20 Feb 2024

    Huu hapa ni Mkutano wake wa leo wa kuwaanda wananchi wa Tunduma kwa ajili ya Maandamano Matukufu yatakayofanyika Mbeya
  11. CHADEMA kufanya Maandamano Mbeya 20 Feb, maandalizi yakamilika

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya kimesema kimekamilisha maandalizi ya kufanyika kwa maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Jumanne, Februari 20.2024 ambapo viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wakitarajiwa kuongoza maandamano hayo Hayo yameelezwa na Mwenyekiti...
  12. Freeman Mbowe awashukuru watu wa Mwanza kwa kushiriki Maandamano kwa Wingi

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametoa ujumbe Maalumu kwa Wakazi wa Mwanza kama shukrani kwa kuunga mkono Maandamano ya Amani ya kupinga Ufukara na ugumu wa maisha , pamoja na Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi . Ujumbe wa Mbowe kwa watu wa Mwanza huu hapa
  13. Pre GE2025 Maandamano CHADEMA Mwanza kuhujumiwa na Media: Ni wakati Kuviadhibu vyombo vya habari

    CHADEMA kikiwa ndio chama kikuu cha upinzani na chama ogopewa na watawala wa CCM kimepanga maandamano huko Jijini Mwanza. Kuna waandishi wa habari wabaadhi vyombo vyenye heshima kubwa wamepewa fedha, wanakusanya vijana wa Bodaboda ambao kwa asili ni vijana wa chama tawala wamekuwa wakijifanya...
  14. P

    JMAT yaitaka CHADEMA kuacha mpango wa kuandamanana mara moja, nchi ipo katika majonzi ya kuondokewa na Lowassa

    Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa Waziri Mkuu Tanzania Edward Lowassa, wanachama wengine wa jumuiya hiyo waongeza kuandamana kipindi hiki...
  15. Ushauri: CHADEMA andaeni maandamano kupinga Kikokotoo tu kwa idara zote na mtaungwa mkono

    CHADEMA kama kweli maandamano yenu ni ya dhati toka mioyoni basi maandamano yatakayofuata kuanzia maandamano yajayo fanyeni maandamano makubwa, kushirikisha taasisi zote za serikali ambazo zimeathiriwa na kikokotoo japo taasisi hizo haziwezi kushiriki moja kwa moja ila zitawaunga mkono kwa namna...
  16. Mwanza: Wananchi Wakesha kwenye ofisi za CHADEMA ili kuwahi Maandamano

    Hii ndio Taarifa Mpya iliyotufikia usiku huu, kwamba Maelfu ya Wananchi wanamiminika kwenye ofisi zote chadema za Jiji hilo kwa lengo la kukesha ili kuwahi kujiandikisha, ili washiriki maandamano. Wananchi wengi wanadhan kwamba i ili kushiriki Maandamano hayo ni lazima ujiandikishe, hivyo...
  17. Kwa hii PA ya leo kuhusu maandamano, hamna mtu ambaye atasema hakusikia

    Baada ya maandamano ya Chadema Dar kushindwa kufana kama ilivyotakiwa, sababu kubwa ilisemwa ni taarifa kushindwa kuwafikia wananchi kwa wakati. Hili tatizo haliwezi kujitokeza tena Mwanza, maana magari yamezunguka Mwanza nzima kutoa taarifa. Kila baada ya saa moja kulikuwa na gari linapita...
  18. T

    Pre GE2025 Kwanini CHADEMA watashindwa mapema kuelekea 2025 hata baada ya maandamano?

    Ndugu wanajukwaa, Sio mara Moja au mbili maandamano kuonesha matokeo chanya huko duniani kiasi Cha kubadili kabisa hali na mfumo mzima wa maisha lakini pia yameonesha ni chaguo la mwisho la kufikisha ujumbe fulani kama machaguo mengine yameshindwa kutoa majibu. Mahali pengine duniani ambapo...
  19. Pre GE2025 Dkt. Slaa athibitisha kushiriki maandamano ya CHADEMA jijini Mwanza

    Maandalizi ya maandamano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mwanza yamefikia asilimia 90 huku miongoni mwa waliothibitisha kushiriki ni mwanasiasa mkongwe, Dk Wilbrod Slaa. Taarifa hiyo imetolewa jana Jumanne Februari 13, 2024 na Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia...
  20. D

    Pre GE2025 Kusimamisha maandamano ya tarehe 15 Februari ni udhaifu mkubwa

    Naona kuna wito unatolewa kwa CHADEMA na baadhi ya watu kuwa chama hicho kisitushe maandamano hayo ya kudai haki kupisha maombolezo ya kifo cha Edward Lowassa. Wanatumia kigezo kuwa Lowassa pia amewahi kuwa mgombea Urais wa chama hicho hivyo watakuwa wanadhulumu haki yake ya kuombolezewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…