maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    LGE2024 Mongella ahitimisha Kampeni za CCM Shinyanga kwa maandamano ya hamasa

    Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu. Sambamba na hilo Mongella ameongoza maandamano makubwa kutoka ofisi za CCM, Mkoa hadi kata ya Kitangili kuhamasisha wananchi...
  2. W

    Ulinzi na Usalama waimarishwa Kenya baada ya funu za Maandamano kufanyika leo Rais Ruto akiwa anahutubia Wananchi

    Vikosi vya Usalama vimeongezwa maeneo ya Ikulu na Bunge kabla ya Rais William Ruto kutoa hotuba yake leo mchana Novemba 21, 2024 baada ya taarifa za Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo kusambaa mitandaoni Aidha, Jeshi la Polisi (NPS) nchini humo lilitangaza Novemba 20, 2024 kuwa Maandamano...
  3. THE FIRST BORN

    Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  4. Li ngunda ngali

    Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

    Kiongozi wa kundi la Hamas Yahya Sinwar, ameuawa na Israel. Duru za habari zinatabanaisha Sinwar aliuawa mapema usiku wa leo huko Gaza. --- Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely...
  5. D Metakelfin

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu Maandamano na Mikakati Mipya

    MAXIMILIAN LUDOVICK "Kaka Lema, hebu BASI kubalini kufundwa kwa HISTORIA, NADHARIA na NYAKATI. Maandamano haya wakati huu kwa WATANZANIA hawa wasiojitambua, ni UPOTEVU BURE wa MUDA, na UDHARIRISHAJI wa TASWIRA NA NADHARIA ADHIMU ya MAANDAMANO ya AMANI.🥺🥺 Baada ya kile kilichojiri kwenye...
  6. Dr Akili

    Fananisha jinsi Polisi wa Ujerumani na Tanzania wanavyo shughulikia maandamano ya amani yanayopinga misimamo ya serikali

    Serikali ya Ujerumani inaunga mkono serikali ya Israeli kwa yale yote ambayo Netanyahu anawafanyia waarabu wa Palestina, Lebanon na kwingineko. Serikali ya Ujerumani inaipatia serikali ya Israeli misaada ya silaha na pesa kutekeleza hiyo genocide ya wapalestina. Huo ndiyo msimamo wa serikali ya...
  7. Mohamed Said

    Maandamano ya Kwanza ya Waislam Dhidi ya Serikali ya Tanzania 1993

    https://youtu.be/54VeeqGdKSM?si=NBeY8vML9_8vFrmY
  8. L

    Baada ya Maandamano ya CHADEMA Kushindikana,Maria Sarungi Aanza Kutumika na kutumikishwa kupika Uzushi na uongo usio na Ushahidi Kuchafua watu.

    Ndugu zangu Watanzania, Ikumbukwe ya kuwa huyu Mama Maria Sarungi kazi yake kubwa ni kutumika,kutumikishwa , kutumiwa kwa njia zote chafu na mbaya kupika Majungu,umbea,uzushi,uongo,ufitini na uchonganishi.Maisha yake yanategemea atumikishwe kama mtumwa na watu wenye ajenda zao za siri kuchafua...
  9. Waufukweni

    RC Chalamila avunja ukimya Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Watu na Maandamano Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza katika ziara yake Temeke ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hapo jana Oktoba 1, amevunja ukimya kuhusu matukio ya utekwaji wa watu na maandamano yaliyofanyika na CHADEMA Septemba 23 katika jiji hilo...
  10. Cute Wife

    Pre GE2025 Hii "Watake Wasitake" Inayosambaa kwa kasi Mitandaoni ni maandamano mengine ya kupinga utekaji na mauaji nchini?

    Wakuu, Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku ya maandamano? Pia soma: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
  11. Jidu La Mabambasi

    Najiuliza tu, ile nguvu kubwa kuzima maandamano was it really necessary?

    Kujiuliza ni muhimu maana katika demokrasia ya vyama vingi lazima tujenge uvumilivu wa kuwasikiliza wanaotukosoa. Ni wiki tu imepita na yaliingia magari ya ving'ora, magari ya washa washa na polisi defender kem kem kutoka sehemu zote za Tanzania. Vijana wamekula posho kwa kusikmama kwenye...
  12. and 300

    Maandamano ya Amani kupinga mashambulizi ya Israel huko Lebanon Kwa Hezbollah

    Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali ya Mzayuni huko Kwa ndugu zetu katika Imani, Lebanon kwa maandamano ya Amani. Tarehe: Ijumaa, 06 Disemba, 2024 baada ya Salat Al jummah Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja Wabillah Taufiq
  13. Tlaatlaah

    Zitto Kabwe aunganishe nguvu na vile vyama 13 vya siasa vilivyopinga maandamano haramu ya Chadema yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Hii italeta pumzi mpya, changamoto mpya kwa ccm, mageuzi, na uelekeo mpya wa upinzani nchini. Hata hivyo, Hatua hiyo muhimu itategemea sana, utashi na utayari wa uongozi wa vyama hivyo vya kisiasa nchini, kuweka maslahi ya Taifa mbele, na kuweka kando tofauti zao za kisiasa, usaliti, ubinafsi...
  14. Abraham Lincolnn

    CHADEMA ijifunze; Kuomba/Kupanga tarehe maalum ya maandamano ni sawa na Kinjekitile kumuomba Mjerumani ruhusa ya vita!

    Kinjekitile: mheshimiwa Gavana Tunaomba tuandamane Gavana: Oh karibu Kinjekitile: Ahsante, kama ulivyosikia, tunataka tuandamane Gavana: Bwana Kinje, kwanini Mnataka kuandamana? Kinjekitile: Tumechoka kuwa Watumwa...
  15. Tlaatlaah

    Ule ni usaliti, kukata tamaa kwa wanachadema au kupuuzwa kwa uongozi wa juu wa CHADEMA na mipango yao mibovu kuhusu maandamano?

    Maana, bilashaka yoyote, kwa umoja na uzalendo ule wa kiwango cha juu sana walionyesha wanaChadema, mashabiki wake na wananchi wasio na vyama, kugoma na kutokuthubutu kuitikia wito wa Chadema wa kuandamana, ni ishara ya wanachama wa chama hicho kuanza kuususia na kupuuzia mipango, maamuzi na...
  16. L

    Pre GE2025 Rais Samia: Ipigieni kura CCM kwasababu maandamano siyo sera yetu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,kwa uchungu mkubwa sana na hisia kali sana amesema na kuwaomba sana wananchi kujitokeza kwa wingi kuchagua viongozi katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.lakini pia wenye sifa za...
  17. Tabutupu

    Maandamano ya CHADEMA yamelipaka matope taifa

    Kitendo cha vyombo vya kimataifa kuripoti maandamano haya kwa sura kwamba raifa sasa limerudi nyuma kwenye kiasi cha kulinganishwa na nchi za kidikteta ni jambo ambalo kama watanzania limetupa hisia mbaya. Maandamano ya chadema ambayo kwa nje yanao ekana kuto fanikiwa lakini impact yake...
  18. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Ni kwa kiwango gani maandamano ya CHADEMA yataathiri matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa wagombea wa chama hicho?

    November 27.2024, patafanyika uchaguzi wa kihistoria nchini, kwa ngazi za serikali za mtaa na vijiji nchi nzima. Vyama vya siasa vilivyo jizatiti kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo muhimu sana, vinaendelea na maandalizi ya kujipanga na kujiandaa vizuri ndani ya vyama vyao. Unadhani kwa...
  19. Poppy Hatonn

    Mume akataa kutoa talaka

    Hii hadithi ni very filthy. Nimeiona YouTube sasa hivi. Apparently imetokea last week. Huyu mdada anasimulia,wamekutana na huyu jamaa tik tok,baada ya urafiki wa miezii minne wamefunga ndoa . Sasa mara akaanza kunotice majirani wananong'ona kuhusu ndoa yao. Halafu siku moja kaja jamaa...
  20. Gabeji

    Maandamano kupinga mauaji na watu wasiyojulikana yanatakiwa kuwa ya wananchi wote bila kujali dini wala chama cha siasa

    Ndugu watanzania, inchi yetu inapitia kipindi kigumu sana hasa juu la swala la mauwaji hayakubaliki kabisa iwe kwa sbb yoyote ile, mfalme yoyote yule hana mamlaka ya kukatisha uhai wa mtu yoyote yule. Rai yangu watanzania swala la kudai haki kwa njia ya amani ni la kikatiba, mandamano...
Back
Top Bottom