Tunakubali
Lengo la Samia ni kutaka kuponya uchumi,jamii,mashirika na siasa ya Tanzania lakini mambo yamekwenda mrama pale anapoonekana hayupo tayari kuiruhusu demokrasia anayohubiri dhidi ya chuki ya awamu iliyopita Bado anayaendeleza ya mtangulizi wake,kaonesha gap kubwa la kiutawala kama...
Chanzo cha matatizo yote ni katiba mbovu tuliyonayo haya mengine kwa sasa yanategemea sana busara za kiongozi mkuu wa nchi.
Ukiandaa maandamano ndani yake kukawa na Samia Must GO ndani ya kuomba haki tayari kuna dalili za uvunjifu wa katiba hii hii mbovu tunayo itumia ,kwa hapa huwezi walaumu...
Siku ile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.
Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi?
Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini.
Wananchi...
Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au?
Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge...
Viongozi wa CHADEMA waliitisha maandamano wakati walijua hawana uwezo wa kufanya maandamano siku zote kuongea ni rahisi sana kuliko kutekeleza.
Moja ya mbinu ya maandamano ni kuwa mafichoni ,huwezi kutangaza kuandamana alafu ukalala kwako.
Hivyo basi Lissu alijua hawezi kuandamana na...
WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo .
Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa...
chadema
dar
dar es salaam
jeshi
jeshi la polisi
jumanne
kesho
kuandamana
kubwa
maandamanomaandamano chadema
mema
shaka
siasa za chadema
waandamanaji
wote
Kwema Wakuu!
Nimeona nami kwa nafasi yangu hata kama ni ndogo, niishauri serikali kuhusu haya maandamano ya hawa ndugu zetu wa CHADEMA.
Hakuna haja ya kutumia mabavu na ubabe kuzuia CHADEMA kuonyesha hisia za Maumivu ya ndugu zao waliouawa na kutekwa. Ni wanachama wenzao.
Haitakuwa HAKI...
Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono 😃😃🌹🌹
Na Mwandishi Wetu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kina mpango wa kufanya maandamano yasiyo halali Jijini Dar es salaam katika siku za karibuni ambapo kulingana na maelezo ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, maandamano hayo ni kwa ajili ya kupinga vitendo vya utekaji nyara na...
CHADEMA wameshikilia hoja yao ya kufanya maandamano kesho. Serikali pia imeshikilia msimamo wake pia kuwa kesho hakuna maandamano. Serikali ina hoja ya kwa kutokea uvunjifu wa amani na CHADEMA pia wana hoja ya kutaka vijana wao waliotekwa waachiliwe huru au warudishwe wakiwa wamekufa. Mfano...
Kesho siku ya jumatatu tar. 23.09.2024 yanatarajiwa kufanyika maandamano ya wananchi wakipinga serikali kutochukua hatua stahiki dhidi ya Utekaji, utesaji na mauaji ya watu ambayo yamekuwa yakifanyika hivi karibuni hapa Nchini. Maandamano hayo yanakwenda ama kuwamaliza kabisa kisiasa na...
Kuna mbinu nyingi tu za kuandamana hasa katika nchi ambazo demokrasia ya kuandamana ni ndogo;
1. Maandamano ya wananchi mtandaoni and kwenye vyombo vya habari
2. Maandamano ya wananchi mtaani
3. Kuwafanya viongozi wa serikali wahahe huku na huko
4. Kufanya vyombo vya dola viandamane bila...
Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Nchi Tanzania leo Septemba 22, 2024 wametoa msimamo wa kutokushiriki maandamano ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Septemba 23, 2024 Mkoani Dar Es Salaam yaliyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Msimamo huo umetolewa na Mwenyekiti...
Maandamano ni njia muhimu ya kuonyesha hisia na mawazo ya wananchi kuhusu masuala mbalimbali yanayoathiri maisha yao. Inapotokea hali ya kutokubaliana kati ya wananchi na watawala, maandamano yanaweza kuwa jukwaa la kuwasilisha malalamiko na kudai mabadiliko.
Hata hivyo, wapo wanaoshawishi...
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa akizungumza na televisheni ya mtandao ya Sauti Digital.
"Sisi tulidhani na tulishauri sana kwamba serikali iwasikilize (CHADEMA), wawape ile fursa ya mazungumzo na bado tunaendelea kushauri...
GTs,
Kama tunavyoelewa kesho ni siku kubwa sana hapa Tanzania.
Nina wazo;
Kwa sababu siku zote serikali imekuwa ikiwanyonya askari polisi wanajikuta wana misongo ya mawazo na kukosa uzalendo. Iko hivi serikalini posho siku hizi ni 150,000 wanavyodai wao kwa watu wasiokuwa na cheo. Naamini hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.