maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    Intelejensia: CHADEMA wamewatega polisi, wamejazana Dar na sasa wanapaswa kulinda maandamano ya amani 23/09

    Barua hii ya tarehe 20 Septemba 2024 inayotajwa kupelekwa polisi mikoa ya Ilala na Kinondoni ni dhahiri imeonesha namna chama hiko wanavyozichanga vyema karata kuelekea maandamano ya 23 Septemba 2024. Tumeshuhudia mrundikano wa polisi kutoka mikoani kuletwa Dar kudhibiti maandamano haya...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Maandamano ya Kisiasa ndîo huomba Kibali Kwa Polisi. Maandamano ya wananchi hayaombagi Kibali Kwa Polisi au serikali. Boss haombi Kibali Kwa mtumishi.

    MAANDAMANO YA KISIASA NDÎO HUOMBA KIBALI KWA POLISI. MAANDAMANO YA WANANCHI HAYAOMBAGI KIBALI KWA POLISI AU SERIKALI. BOSS HAOMBI KIBALI KWA MTUMISHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maandamano ya Kesho kutwa tarehe 23/09/2024 siô maandamano ya wananchi isipokuwa maandamano ya Kisiasa...
  3. blogger

    CHADEMA haya maandamano kafanyieni Moshi.

    Hakika maandamano haya yakifanyika Moshi . Mtakua mmeonesha nia na dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi. Kinyume na hapo ni Usxnge tu.
  4. F

    Mpaka sasa CHADEMA wameshatimiza lengo kuu la maandamano ni akili kubwa imetumika, polisi wanahaha.

    Kuna njia nyingi za kuandamana au kufanya shinikizo kwa serikali yoyote. Mojwapo ya njia hizo ni maandamano tunayoyajua. Njia nyingine ni kufanya mzunguko wa taarifa zitakazoifanya serikali ione kuna tatizo flani na wananchi hawafurahii hali hiyo. Mpaka sasa zipo taarifa za polisi kutoka mikoa...
  5. TODAYS

    Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

    Ujomile musani!. Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23. Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar. Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro. Hebu...
  6. R

    Kipi rahisi kati ya kuzuia maandamano na kumwajibisha IGP, Waziri Masauni?

    Salaam, Shalom!! Nimekaa hapa natafakari, kipi Hasa ni Rahisi, 1. Umma wa Watanzania unadai viongozi waliopo IGP, Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni wajiuzulu au wafukuzwe nafasi zao Kisha wateuliwe wengine watakaokuja na Mpango mkakati wa kushughulikia mauaji ya raia na utekaji. 2...
  7. Mystery

    Pande mbili: Yaani Serikali na CHADEMA, vitafakari Kwa makini, athari zitazotokea, iwapo maandamano hayo yaliyoandaliwa na CHADEMA yatafanyika

    Hadi sasa inaelekea Kuna mvutano mkubwa Kati ya serikali na CHADEMA, kuhusu maandamano ya amani, yaliyopangwa na CHADEMA tarehe 23 mwezi huu, kama serikali itakuwa haijatoa taarifa yoyote kuhusu kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao na haitaeleza walipo viongozi wao wa vijana, akina Deusdedit Soka na...
  8. chiembe

    Kwa kuwa kile chama kinaonekana kujihusisha na wanajeshi (JWTZ) wastaafu, nashauri pia shughuli zao za maandamano JWTZ wasiwe wanakaa mbali.

    Mwanajeshi mstaafu ni askari wa akiba mpaka kifo, ana kiapo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Majeshi, muda wowote anaweza kupewa amri afanye shughuli za kijeshi. Vinginevyo anahesabika muasi. Nimeona wanajeshi wenye mafunzo maalum waliofukuzwa au kustaafu Jeshi wanajihusisha na hicho chama...
  9. waziri2020

    Mwandishi wa Habari wa Millard Ayo TV adaiwa kutekwa na kunyaganywa vifaa na wasaidi wa Paul Makonda kisa maandamano

    Mwandishi wa Milard Ayo wa Jijini Arusha Godfrey Thomas akiwa katika majukumu yake ya kawaida akiwarekodi wananchi walio funga barabara ya Arusha Dodoma. Kwa madai ya kuchoshwa na vifo vya watoto kugongwa mara kwa mara na kupoteza Maisha ametekwa na kuchukuliwa vifaa vyake vyote vya kazi na...
  10. Chachu Ombara

    SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

    Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23
  11. L

    John Cheyo: Maandamano hayatufikishi popote

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  12. Ojuolegbha

    Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?

    Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?
  13. Stuxnet

    CHADEMA Someni Tena Thread Yangu ya Julai 2021; Sitisha Maandamano ya 23/09, Mnakosea Sana

    Hata kama wana sababu 1,000 za kuandamana wasitishe tu. Huu siyo wakati mwafaka wa kuandamana. Maandamano yapo kwenye JF na Twitter tu, ila mitaani watu wana mishe zao. Narudisha ushauri wangu wa Julai 2021, anagalieni mnapokosea...
  14. Shooter Again

    Naunga mkono maandamano ila Mbowe na Lissu nao wawe mbele na familia zao tarehe Septemba 23

    NAUNGA MKONO MAANDAMANO ya tarehe 23 ila Kwa Sharti Moja: Mbowe, Lissu na Familia Zao Wawe Mbele Katika maandamano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 23, naunga mkono juhudi hizi za kidemokrasia. Hata hivyo, kuna sharti muhimu: viongozi wetu, Mbowe, Lissu, na familia zao wanapaswa kuwa mstari wa...
  15. D

    Pre GE2025 "Samia Must Go!": Kuna kila dalili za CHADEMA kutaka kupindua Serikali halali!

    Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini? Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga...
  16. Vichekesho

    Maandamano ya tarehe 23 yafanyike hivi

    Kwa jinsi hali ya mambo inavyokwenda, napendekeza kuwa wananchi wote wa TANGANYIKA tuandamane tarehe 23 kwa utaratibu huu. 1. Tumchangie nauli dada yetu Mange Kimambi aje nchini kuongoza maandamano. 2. Nyuma yake afuate Mbowe, Lissu, Mnyika na viongozi wa ngazi za juu. 3. Nyuma yao wafuate...
  17. sonofobia

    Maandamano ya "Samia Must Go" yatayeyuka kama yale ya UKUTA

    Kama ilivyotokea kwenye maandamano ya UKUTA vijana wa Mbowe wakafyata mkia. Pia maandamano ya samia must go hayatafanyika sababu wananchi hawaiungi mkono CHADEMA. Pia wananchi wanaona hayawahusu wao wakipotelewa na ndugu zao chadema wapo kimya wanatafuna ruzuku amekufa "double agent" wao ndio...
  18. Abraham Lincolnn

    Pre GE2025 Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

    NUKUU "Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA Pia soma: Kuelekea 2025...
  19. Cute Wife

    Pre GE2025 Umoja wa Vyama 13 vya Siasa: Tulidhani wananchi wangefanya Maandamano kumpongeza Rais kutoa kauli juu ya utekaji

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa! ==== Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi, watu watoke nje. Huko ambako tunahitaji waje wenyewe huwa wanashughulikia na SMG – Amerika, ni nchi...
  20. Cute Wife

    Pre GE2025 Kwahiyo Serikali na Polisi Maandamano yanafaa yakifanywa na CCM na Chawa, wakifanya wanaopinga serikali ni Uvunjifu wa Sheria?

    Wakuu, Tukio linaondelea wakati huu ni ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania. Kwenye maadhimisho haya wameonesha pia na kikosi cha FFU ambacho kinatumika kutuliza ghasia kukiwa na vurugu. Cha...
Back
Top Bottom