maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro: Shughuli za utalii bado zinaendelea licha ya taarifa za Maandamano

    MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetoa taarifa kwa Umma juu ya shughuli za utalii katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwamba zinaendelea vizuri pamoja na uwepo wa baadhi ya wananchi wanaoishi katika hifadhi hiyo kuandamana leo tarehe 18.08.2024. NCAA katika taarifa yao hiyo, imesema...
  2. Kikwava

    Namshauri Tundu A. Lissu; ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo. Hii ni aibu

    Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa! Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama” “Mbowe ni Alfa na...
  3. masopakyindi

    Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

    Mzee Freeman Mbowe salaam! Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini? Pia soma: Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe
  4. Poppy Hatonn

    Pre GE2025 Maandamano ya amani yanazuiwa Tanzania?

    Hakuna sababu ya kuzuia political activity. Vijana wanalia, literally,kwa sababu wananyimwa haki zao za kikatiba. Msajili wa vyama badala ya kufacilitate political activity,yeye anataka kuizuia. CCM always kilikuwa Chama compassionate, lakini sasa kinakuwa Chama cha ukatili. Halafu EU au...
  5. jingalao

    Kumbe maandamano ya GEN Z sio self initiative bali ni fedha za mabwanyenye?

    Penye uzia penyeza rupia! Kumbe mbwembwe zote zile za maandamano ya GEN Z huko Kenya nilidhani inatokana na hisia kamili za Wanaojiita Gen Z kumbe kuna mabwanyenye ambao inawezekana mirija yao ya kunyonya fedha imekatwa. Shime vijana wetu ingieni China...ingieni shambani ingieni kwenye michezo...
  6. Tlaatlaah

    Kama taifa kuna umuhimu mkubwa sana wa kufanya maandamano ya amani ya kitaifa Tanzania

    ni katika kuipongeza serikali hii sikivu, kutambua, kumpongeza na kuunga mkono nia na dhamira ya dhati ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzanian Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua muhimu za makusudi, kimkakati katika chochea mageuzi na kuwaletea waTanzania maendeleo endelevu, kijamii...
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura

    Hali halisi ilivyo katika kata ya Enduleni Ngorongoro ambapo Jeshi la Polisi limefika kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wananchi ambao wamefika mahali hapa kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wa kuwazuia wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kupiga kura. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro...
  8. Mkalukungone mwamba

    Mwanaharakati Deusdedith Soka ametoa wito kwa vijana wote Tanzania kuungana katika kupinga vitendo vya utekaji vinavyoendelea

    Agosti 5, 2024 - Mwanaharakati Deusdedith Soka, akizungumza kwa niaba ya vijana wa CHADEMA, ameeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana nchini Tanzania. Katika mkutano na waandishi wa habari, Soka ameonesha wasiwasi kuhusu ukosefu wa ajira kwa vijana, akisema kwamba licha ya vijana...
  9. J

    SI KWELI Waandamanaji Nigeria wapewa mchele ili wasitishe maandamano yaliyoanza Agosti 1, 2024

    Nimena video inasambaa mtandaoni ikionesha waandamanaji Nigeria wakisitisha maandamano yao baada ya kupewa mchele. Nadhani kwa Afrika ni Kenya pekee ndiyo vijana wake wanajielewa vizuri kuliko wengine.
  10. W

    Waziri Mkuu wa Bangladesh, Sheikh Hasina ajiuzulu kutokana na maandamano Yanayoendelea

    Waziri Mkuu Sheikh Hasina ameripotiwa kujiuzulu na kuondoka katika mji mkuu wa Dhaka wakati kukiwa na maandamano makali ya kumtaka ajiuzulu Uamuzi huo umekuja ikiwa ni muda mfupi tangu Umoja wa Mataifa uitake serikali kusitisha mara moja machafuko yanayoendelea nchini humo ambayo yamesababisha...
  11. W

    Mahakama Kuu Ghana Yapinga Maandamano ya Vijana

    Jaji wa Mahakama Kuu, Abena Afia Serwaa, amekubali ombi la polisi la kuzuia maandamano ya vijana yaliyopangwa kufanyika kati ya Julai 31 na Agosti 6, 2024, kutokana na uhaba wa maafisa wa polisi wa kusimamia usalama. Baadhi ya sababu za maandamano hayo ni kupinga rushwa katika taasisi za umma...
  12. B

    Maandamano Makubwa Jijini London

    27 July 2024 London, Uingereza MAANDAMANO MAKUBWA LONDON 27 JULY 2024 Maandamano makubwa yafanyika na kuhutubiwa na kiongozi Tommy Robinson mwenye siasa za mrengo wa kulia yaani msimamo mkali dhidi ya wahamiaji na wakimbizi wanaotaka kuleta desturi na mila zao nchini Uingereza. Tommy Robinson...
  13. Abraham Lincolnn

    Tetesi: Gen Z Tanzania watangaza maandamano makubwa Jumatatu Agosti 5/2024 kutumia haki yao kikatiba kupinga ukosefu wa huduma mbalimbali nchini

    Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa...
  14. JanguKamaJangu

    UAE yawafunga raia 57 wa Bangladesh kutokana na maandamano dhidi ya Serikali

    Mahakama katika Umoja wa Falme za Kiarabu imewapa raia 57 wa Bangladesh kifungo cha muda mrefu kwa kufanya maandamano katika jimbo la Ghuba dhidi ya serikali ya nchi yao. Washtakiwa watatu kati ya hao ambao hawakutajwa majina walihukumiwa kifungo cha maisha kwa "kuchochea ghasia katika mitaa...
  15. JanguKamaJangu

    Maandamano ya Bangladesh yalivyogeuka kuwa mauti, takribani Watu 150 wauawa

    Maandamano ya kupinga Serikali yamesababisha machafuko kati ya Polisi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu ambapo baadhi ya Waandamanaji wanadai walitaka kufanya maandamano kwa amani lakini Jeshi la Polisi limeingilia na kutumia nguvu kubwa kutaka kuwadhibiti. Inaripotiwa vijana wengi walioshiriki...
  16. B

    Gen Z wa Tanzania wapewe ajira maana ukosefu wa ajira ni chanzo cha maandamano tunayoshuhudia Kenya na sasa Uganda

    Wadau Asalam aleykum. Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji. Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na ujuzi pia watafutiwe kazi za kufanya. Hii itawafanya kuwa bize na hivyo kuwasahaulisha na ugumu wa...
  17. J

    Kwanini Hayati Magufuli aliogopwa sana na Waandamanaji tofauti na Ruto anavyoonewa huko Kenya?

    Maandamano ya CHADEMA yaliyoitwa UKUTA kama yangefanikiwa yangekuwa zaidi ya haya ya Gen Z. Nakumbuka Shujaa Magufuli alitoa Kauli Moja tu " atakayeandamana asije akanilaumu" kauli hii ilitosha kuwafanya CHADEMA waufyate Lakini hapo Kenya kila wiki Rais Ruto anatoa Vitisho vipya lakini Gen Z...
  18. B

    Maandamano yetu ndani ya JF yanazaa matunda zaidi ya yale ya Gen-Z ?

    Baada ya takafuri nzito, kwa kiasi fulani maandanano yetu kupitia maoni yetu hapa JamiiForums yameanza kufanikiwa. Tunaona viongozi walio na akaunti verified JF wanajitokeza kuandika masuala ya kisera na kujaribu kushirikisha umma kwa majadiliano mfano waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Lameck...
  19. A

    Msafiri epuka kupitia Nairobi/JKIA maandamano hadi airport?

    Gen Z wamepanga kuvamia sehemu tofaut tofauti ikiwemo Airport ya Nairobi/JKIA kama njia ya kushinikiza matakwa Yao, Hivyo kama unapanga safari fikiria mara mbili. Usije kujuta ugenini. https://nation.africa/kenya/news/-cabinet-tuesday-youths-plan-new-round-of-protests-ruto-4696998
  20. Tlaatlaah

    GenZ wadhibitiwe vikali vinginevyo Kenya itadumaa na kusinyaa kiuchumi

    kadiri muda unavyokwenda wanagawanyika na kupingana wao kwa wao, wanapoteza malengo yao ya msingi waliyokua wakihitaji yazingatiwe na kufanyiwa kazi na Serikali. hivi sasa wanapoteza uelekeo kabisa kutoka maandamano ya amani hadi maandamano ya ghasia, uporaji na uharibifu.. kiufupi, madai mapya...
Back
Top Bottom