maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Informer

    Polisi: Marufuku kufanya Maandamano jijini Nairobi leo Julai 18

    Jeshi la Polisi limemepiga marufuku maandamano yanayotarajiwa kufanywa na Gen Z leo katikati ya jiji la Nairobi. Kipeperushi kilichosambazwa na vijana wameonesha kunuia kufanya maandamano makubwa zaidi leo na wakiwa wamepania kuelekea Ikulu. Polisi imetoa onyo kali na huenda nguvu kubwa...
  2. Kaka yake shetani

    Maandamano mapya tena tarehe 16 mwezi wa 7 huko Kenya

    Ruto anapata wakati mgumu wakenya wamepanga tena maandamano siku ya Jumanne ambayo tarehe 16 mwezi huu. Lengo ni kuondoka madarakani Ruto si vingine hata abadilishe nini?
  3. Chakaza

    IGP Kenya Maandamano yamemng'oa Ofisini. Wakwetu matukio ya utekaji yatamng'oa lini?

    Tumesikia wote kuwa mkuu wa Polisi Kenya kaamua kuwajibika kutokana na matendo ya polisi wakati wa maandamano ya GEN.Z na kupisha wengine. Je, wa kwetu yeye anasubiri nini kwa matukio haya yaliyo shamiri ya utekaji na utesaji huku basdhi ya vituo vya polisi vikitajwa kuhusika na matukio hayo...
  4. Erythrocyte

    Waliokatwa vizimba soko la Kariakoo waandamana kwenda ofisi za CCM Lumumba!

    Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam. Kwamba Wale waliokuwa wafanyabiashara wa soko hilo kabla halijaungua na ambao majina yao hayapo kwenye mkeka mpya, wameandamana kuelekea CCM Lumumba! Pia soma: Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024 Sasa sijajua...
  5. B

    Rais wa chuo cha KSL, Joshua Okayo, asimulia alivyotekwa nyara na watu wasiojuiikana kwa kushiriki maandamano

    10 Julai 2024 Nairobi, Kenya JOSHUA OKAYO KIONGOZI WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU KITIVO CHA SHERIA KWA UJASIRI, AWAANIKA WATEKAJI WAENDAO KWA JINA MAARUFU WATU WASIOJULIKANA https://m.youtube.com/watch?v=TnbsQzSTxZo&pp=ygUPT2theW8gTlRWIEtlbnlh Atekwa avikwa kitambaa usoni, ahojiwa wafadhili wa...
  6. Replica

    Mmachinga: Polisi leo hawajatupiga pamoja na watu kufanya maandamano

    “Tumeosha magari ya Polisi leo kwa maana wamekuja kuzuia vurugu bila kutumia nguvu yaani hakuna hata aliempiga mtu kofi kwahiyo tunalipongeza Jeshi la Polisi kwa kutuliza ghasia bila kutumia nguvu yeyote” Victor Jushua, Mfanyabiashara Simu 2000 akiongea baada ya sakata la wamachinga kugoma leo...
  7. The Supreme Conqueror

    Yaliyojificha nyuma ya maandamano ya Gen Z na USSR kuhusishwa

    Msemaji wa serikali ya Kenya anasema kitu kama kile kile kuwa kuna usaidizi unao toka nje ya nchi kusupport maandamano " sasa hapo amekomea kusema usaidizi wa nchi za nje hajasema ni nchi gani. AGENDA NAMBA 260B Hivi unajua haya maandamano ya kenya aliyepo nyuma ya pazia ni Putin rejea...
  8. T

    Laiti kama Ruto angeyafanya haya kabla ya maandamano ya gen Z angeimbwa kama shujaa wa Afrika. Afrika tunakwama wapi!?

    Mtu mmoja aliwahi kuniambia usemi unaosema tujifunze kwa makosa hauko sahihi kwani kuna makosa hayatakupa muda wa kurekebisha chochote. Ni kwa sababu ya hiyo dhana namuona Ruto alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuimbwa na historia kama Rais aliyejali wanyonge kwa kupunguza matumizi ya wakubwa...
  9. A

    Maandamano yaanza upya - Gen Z's Occupy Everywhere

    Kenya kimewaka upya. Nairobi na Waswahili wa pwani ya Kenya nao wamestuka sasa. Hawamtaki Jaba. https://m.youtube.com/watch?v=VRos8A7ThPI&pp=ygUNa3RuIG5ld3MgbGl2ZQ%3D%3D https://nation.africa/kenya/news/gen-z-protests-persist-despite-ruto-s-olive-branch--4676434
  10. Lupweko

    Yanga wafanya maandamano wakisherehekea kumsajili Chama

    ------------------------------------------------------------------------
  11. R

    Watanzania wenye akili wanauliza: Watawalawa Tanzania, wamejifunza lolote kutoka maandamano ya Gen Z Kenya. Jibu ni hili hapa chini

    1. Hawawezi kujifunza lolote. Kwa nini wakose la kujifunza? JIBU: Watawala, CCM for that matter, walihakikishiwa na Kenyatta enzi hizoza uhai wake kuwa .1. WATANZANIA NI MAITI, HAWAWEZI FUKUKUKA, you need not worry about them 2. WAGANDA WAJINGA, WAKIELIMISHWA WATAJITAMBUA NA KUTETEA HAKI...
  12. C

    Tetesi: Maandamano ya kumpongeza Ramaphosa kufanyika Mazimbu-Morogoro

    Katika kudumisha uhusiano wa Kimataifa wanachama wa Chama cha Mapinduzi tawi la Mazimbu wanakusudia kufanya maandamano ya kumpongeza mgombea wa chama rafiki ANC Kwa kupata kuchaguliwa Tena kuongoza Taifa la Afrika Kusini. NB: TAREHE 18 Julai 2024, SEHEMU NMB wami Branch - Mazimbu Campus, MUDA...
  13. Valencia_UPV

    Maandamano ya kumpongeza Dkt. Nchemba kwa bajeti nzuri

    Haya ndugu zangu inafaa kumpongeza Dr. Nchemba Kwa bajeti makini ya kuondoa utegemezi na umaskini
  14. JanguKamaJangu

    Rais Ruto akanusha mauaji ya ziada, athibitisha vifo 6, majeruhi 14 kwenye maandamano

    President Ruto Denies Extra-Judicial Killings, Confirms 6 Deaths, 14 Injuries In Protests President William Ruto has announced that a total of six people lost their lives during the anti-Finance Bill 2024 protests, contrary to reports that more than 20 people have been confirmed dead...
  15. P

    Maandamano ya Kenya: UN na mataifa makubwa yalaani mauwaji ya waandamanaji

    Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu. Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya. Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, Serikali kama kawaida ya Serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya...
  16. M

    Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

    Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
  17. Kabende Msakila

    Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

    Uvumilivu hata katika kipindi kigumu Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika. Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine...
  18. toriyama

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  19. DR Mambo Jambo

    Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

    Hali ni mbaya Sana kwa Majirani.. Jeshi limeingia Rasmi mzigoni..
  20. Nibiru X

    Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

    Baada kuvamia bunge kula vyakula vya wabunge kijana mmoja shupavu anaoneka kuondoka na siwa ya bungeni Kenya. Neno moja kwa huyu mwamba
Back
Top Bottom