Tafuta kitabu chochote unachokipenda chenye kurasa zisizopungua 20,000; na jiwekee utaratibu au malengo kwa kila siku saa kumi na mbili jioni, lazima usome ukurasa mmoja tu, na usizidishe.
Ukifanikiwa kukimaliza kitabu hicho chote kukisoma, kwa muda uliojiwekea bila kukwepesha kwepesha; sema...