Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa.
Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati ya kutangaza na kuifanyia promoshen kampuni kubwa ya nguo "luis vutton", kampuni hii iliingia mkataba...
HOTUBA MAARUFU ZAIDI KATIKA BIBLIA
(SERMON ON THE MOUNT)
Yesu alipoanza Huduma ya kueneza neno la Mungu alikusanya wanafunzi wake 12 na akatoa Hotuba maarufu zaidi katika biblia nzima na hajawahi mtu yeyote katika biblia kutoa Hotuba kama ile kuanzia Mwanzo mpaka ufunuo hakuna...
Mazishi ya aliyekuwa Mfanyabiashara na mwekezaji mzawa wa mkoa wa Shinyanga Hillal Hamad maarufu kwa jina la Phantom, yamefanyika leo Jumanne tarehe 04,10,2022, kwenye makaburi ya Waislamu yaliyopo Nguzonane katika Manispaa ya Shinyanga.
Mazishi ya Mwekezaji huyo ambaye pia alikuwa ni kada wa...
Wanawaje wote akili zao zinafanana. Unakumbuka ule mwaka Leicister city anachukua ubingwa wa EPL?
Timu ilikuwa chini ya kocja Raniel
Sasa kuna mzee mmoja pale England kaganana na Raniel copycopy
Mzee choka mbaya mtoto wa mjino alivhoganya ni kuchonga siti zake mbili na kukatiza mitaa ya london...
Yaani ukitaka ku- access akauntiz(mfano ya twitter au Instagram ) ya mtu kama Diamond, Ali Kiba, Mayele, Sakho, Chama, Wema, n.k, ukiwa humu nchini, shariti kwanza ulipe 500, then kupitia simu yako, unatumiwa password maalumu itayokuruhusu kuingia katika akaunti ya huyo mtu maarufu .
Nadhani...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limemkamata Seleman Kalembo, maarufu kama Sele Bonge na wenzake 9 kwa tuhuma za wizi na kuwakuta wakiwa na gari aina ya Noah vifaa mbalimbali vya kuvunjia nyumba, TV nne pamoja na mfuko wa kufichia TV baada ya kuiba.
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda...
DHANA YA UMAARUFU
Jamii ni mkusanyiko wa watu wenye hali na mitazamo tofauti wakiwa chini ya mamlaka moja ambapo kila mmoja ana mchango kwa maisha ya mwingine.
Katika jamii zilizoendelea, hali ya kutegemeana ni kubwa kutokana na kila mwanajamii kuwa na shughuli halali inayoathiri maisha ya...
Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao.
1) Mohammedi Ali
Huyu ni bingwa, mbabe na mtemi wa masumbwi ulimwenguni kote. Mohammed Ali ambae alizaliwa 17 January 1942, huko...
Wadau wa michezo hamjamboni nyote?
Tufurahi Kidogo kwa kukumbushana misemo/ maneno maarufu yatumiwayo na wadau wa michezo hususani Soka
Mimi nianze kama ifuatavyo
Hamna Mchezaji hapo!
Hapo tumepigwa!
Unamuwekaje Kapombe Sub!
Huyo kocha hamalizi msimu!
Sasa endelea
Tukuumbuke kushirikiana...
Habari wana jamvi,
Miaka kadhaa iliyopita nilinunua ardhi maeneo ya Kigamboni kupitia kampuni ya Ardhi Plan. Ofisi zao zilikuwa pale maeneo ya Shaurimoyo, Ilala ila kwa sasa hawapatikani/hawapo tena maeneo yale.
Nimejaribu kuwatafuta kupitia namba zao za simu ambazo zinapatikana kwenye...
Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Alfajiri ya leo akiwa nyumbani Kwa Ndugu zake Kibaha Mkoani Pwani.
Mchekeshaji mwenzie, Masai Nyota aliyewahi kufanya nae kazi mbalimbali za sanaa ambaye amesema ni taarifa za ukweli na amezipokea asubuhi ya leo na kwamba...
Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho.
Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa akipatiwa matibabu.
Buravan alianza kupata umaarufu mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa Malaika, baada ya...
Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
Na Godian Method
Kombe la Dunia ndiyo michuano mikubwa zaidi ya kimataifa katika mpira wa miguu, ambapo watu, Sanaa na tamaduni za mataifa mbalimbali huungana.Michuano hii ya soka, hudumu kwa muda wa mwezi mmoja, tukishuhudia mataifa bora 32 yakichuana vikali katika jitihada za kuhakikisha...
Mauaji ya kisiasa ya watu maarufu katika historia
Katika historia, dunia imeshuhudia mauaji mengi ya kisiasa, ambayo yana sababu na nia tofauti.
Baadhi yamesababisha vita vya umwagaji damu na uharibifu mkubwa na mengine yamebadilisha mkondo wa historia. Kwa ufupi haya ni baadhi ya mauaji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.