SAD NEWS…
Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera.
Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
Mpiga gitaa maarufu wa Kongo Denis Lokassa Kasiya, almaarufu Lokassa ya Mbongo, alifariki Jumanne usiku nchini Marekani baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Lokassa, ambaye hivi majuzi alifikisha umri wa miaka 80, alikuwa kiongozi wa bendi maarufu ya zamani ya Soukous Stars yenye makao yake Paris...
#SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM.*
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga.
Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
Yohana 3:16
[16]Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Yohana 3:5
[5]Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.
Luka 6:31
[31]Na...
Hello.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mara zote nikenda lodge, guest na hotelini kwenye kunyandua sijawahi kuandika jina langu halisi hasa la mwanzoni japo mara nyingi nafake majina yote mawili.
Sehemu pekee ambayo najiachia kuandika majina ya kweli aidha Kwa kupenda au kutokupenda ni Unguja...
LIPO AMBALO WAFUNGWA WANALIPWA Tsh. 18,000 NA LINGINE UKIINGIA UNALIPIA ADA KILA MWISHO WA MWEZI.
1. ARANJUEZ,Gereza hili linapatikana huko Hispania Jijini Madrid. Inaaminika hili ndio Gereza la kifahari na la kitofauti zaidi duniani,kwani wafungwa wa hili gereza huishi maisha kifahari sana...
Polisi wanaotembea na pikipiki maarufu kama (tigo), wanadaiwa kuwafanya bodaboda kama wahalifu kwa kuwakamata ovyo na kuwazungusha bila kuwapeleka kituoni wasipotoa pesa kwa lengo la kumalizana juu juu.
Bodaboda wasiolipa pesa hupelekwa kituoni pasipo kujua hatma yao, pikipiki huchukuliwa...
1. Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la...
Leo hii ukiulizwa mbunge maarufu Tanzania kwa kujenga hoja zenye mantiki hutakosa kumtaja mbunge Mpina.
Amezichanga karata vizuri akatumia nafasi yake vizuri katika kipindi hichi wala hakuchagua kuketi upande wa walamba asali.
Ameamua kusimama pamoja na wananchi wa Tanzania. Amezibeba kero...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Je, Kosa lao ni moja ( linafanana ) au ni Makosa Mawili tofauti?
Je, mbele ya Macho na Hukumu ya Mungu kuna mwenye Afadhali Kiadhabu?
Je, Wawili hawa wakikutana kuna ambaye atamshangaa Mwenzake?
Na mkisema Makosa yao (Dhambi zao) ni sawa kwanini Waswahili wengi hukimbilia Kuwaadhibu kwa...
Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari...
Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu
1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika,
Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
WILLY RUTO WA KENYA MOJA YA WAKOPAJI MAARUFU BARANI AFRIKA KWA SASA.
George Michael Uledi.
Kyela,Mbeya.
Januari 9,2023.
Moja kati ya Propaganda kubwa ambayo ilikuwa inaendelea kutembea jana katika Magroup mengi ya CCM na Magroup mengi ya diaspora ni kipande cha picha ya Rais wa Kenya Mh Ruto...
Land Rover ni kampuni ya Uingereza, Land Rover ndio hutengeneza magari kama Range Rover, Discovery nk lakini kwenye taarifa ya Serikali magari ya kampuni hiyo hayako hata kwenye top 20 ya magari yanayopendwa Uingereza.
Angalia taarifa hii ya Mwezi December 2022, kwenye category zote za Pure...
Kwa muda mrefu utafiti wa kitaaluma kuhusu Afrika halikuwa ni jambo linalofikirika kwa watafiti wengi, kwani utafiti kuhusu bara la Afrika ulikuwa na wigo mdogo na matokeo yake kitaaluma hayakuwa makubwa, na hivyo utengaji wa fedha zinazohusu masomo au utafiti unaohusiana na bara la Afrika...
Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.
Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo...
Baada ya kumalizika kwa Kombe la dunia nchini Quatar 2022, Baadhi ya mashabiki wa Christiano Ronaldo wamevunjika moyo sana nakuona kama ndoto za mchezaji huyo maarufu Duniani wa Ureno za kutwaa kombe la dunia zimeishia hapo kwani kwasasa anaumri wa miaka 37 hivyo itamuwiya vigumu kushiriki kombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.