Toka mikutano hii ya Mabadiliko ya Tabia Nchi maarufu kama COP ianze, Tanzania tumefaidika na nini?
Mwaka jana ilikuwa inaitwa COP27 na ilifanyika nchini Egypt na mwaka huu inaitwa COP28 na itafanyika Dubai. Mwaka ujao 2024 itakuwa COP29.
Najaribu kujiuliza kama taifa tumefaidika namna gani...
Huwa inanishangaza haswa katika siasa, wagombea warefu wanavyopewa sifa na kuonekana bora zaidi kuliko wafupi. Kana kwamba kwa namna fulani wao ni wa kiume zaidi, na wenye nguvu kwa sababu tu ya hizo inchi chache za ziada za urefu. Chukua kwa mfano mgombea urais wa Marekani Ron DeSantis, pichani...
ChartGPT anasema hivi
Ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia unaweza kuonekana kuwa maarufu zaidi kutokana na sababu kadhaa:
1. Mabomu ya Atomiki: Shambulio la Marekani kwa kutumia mabomu ya atomiki juu ya Hiroshima na Nagasaki lilikuwa tukio la kipekee katika...
Umaarufu wa mlima Ararat ulio mpakani mwa Armenia, Uturuki na Iran unatokana na kwamba bada ya Gharika kuu kuisha, safina ilienda kutua katika mlima huu!
Wakuu...
Habari ya jumamosi tulivu hapo ulipo??
Umeshapata chai????
Sasa sikiliza nikuambie,
Najua ulishapita shule, iwe chekechea, vidudu, msingi, sekondari hata chuoni.
Kama utakua unakumbuka vizuri, tulikua na:
1. Majina ya utani ambayo iwe mwalimu au mwanafunzi kutaniwa
2. Misemo ya...
Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga.
Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga.
Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi...
A mononymous person is a person who is only known for or famous for only one name.
A mononymous person ni mtu anae julikana kwa jina moja tu. Ifuatayo ni orodha ya watu ambao anajulikana kwa jina moja tu (excluding those who use nick names)
1. Jesus
2. Muhammad
3. Ibrahim (or Abraham?)...
Nimekaa nikifikiri Kwa muda sasa ni jinsi Gani mfanyabiashara mwenye mtaji wa 10 ml, alipaye Kodi ya pango ml 2, afanyaye biashara ya stationery, household goods, saluni nk nk awezaje kulipa Kodi ya lak 8, akalipa umeme, service levy, mshahara wa wafanyakazi, maji, taka, akabaki na pesa kulipa...
KUIGIZA FILAMU ZA NGONO NI KAZI NGUMU SANA
Muigizaji maarufu Mr John moja ya interview yake kubwa aliyowahi kufanya na muandishi wa habari wa india aliwahi kusema.
" Kuigiza filamu za ngono ni kazi ngumu sana tofauti na watu wanavyozani kuwa ni nyepesi, napokea tons za email kila siku kwa watu...
Msanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizaji, amesilimu.
Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu.
Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa...
Ifuatayo ni aina mbili za watu maarufu kuhusu misimamo yao juu ya ya Dp World.
Watakao kataaa mwanzo mwisho suala la bandari.
1. Dr Salaa
2. Fr. Kitima
3. Mwanasheria wa Mbeya
4. Askofu Mwamakula
5. Prime Minister
6. Lukuvi
7. Warioba
8.Siro
9. CiC mstaafu
10. Shivji
Wafuatao ni...
Japo si urembo wa kina Beyonce, Rihana, n.k. ila binti kwa ni mzuri si haba
Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na uzuri wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti...
Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London
Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero
Msikiti huo ambao utakuja kuitwa 'Piccadilly Prayer Space' utafunguliwa ndani ya miezi kadhaa.
Iakini upango huo...
Confucius (551-479 KK)
Confucius ni mwanafalsafa maarufu zaidi wa kichina. Confucius (551 - 479 KK) alikuwa mwanafalsafa na mwanasiasa wa kichina katika kipindi cha masika na kipindi cha mapukutiko ambaye kwa kawaida anachukuliwa kama mfano wa hekima ya kichina. Mafundisho na falsafa ya...
Mkutano mkubwa wa Injili uliokuwa ukiendelea katika viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro jijini Arusha na Mhubiri maarufu toka Kenya Nabii Ezekiel Odero umepigwa marufuku na serikali mchana huu.
Wakiwa katikati ya mahubiri ghafla ilitangazwa kuwa ni marufuku kuendelea na maombi hayo jambo...
WanaJF tusijione wakosefu sana kwenye maisha yetu tunaweza kubadilika. Bobby Blake ni raia wa Marekani mwenye historia ya kutisha kwa kiasi chake. Huyu jamaa alikuwa kwenye kiwanda cha pono za jinsia moja tangu ujana wake.
Alikuwa ni mcheza pono maarufu sana Marekani kwa miongo kadhaa. Huyu...
Mohammed - 133,349,300
Maria - 61,134,526
Nushi - 55,898,624
Jose - 29,946,427
Wei - 17,145,807
Ahmed - 14,916,476
Yan - 14,793,356
Ali - 14,763,733
John - 14,323,797
David - 13,429,576
Li - 13,166,162
Abdul - 12,163,978
Ana - 12,091,132
Ying - 12,047,080
Michael - 11,471,765
Juan - 11,372,603...
Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani.
Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya hii inshu na mambo ya vyakula,na namna unaweza kufanya ili kupungua uzito.
NAWASALIMU KWA JINA LA...
Mjue james Hardley Chase, kipenzi cha wapenda riwaya za kusisimua, aliyehamasisha wengi kupenda utamaduni wa kusoma vitabu na ung'eng'e
Taja jia la James Hadley Chase na wahenga wenzangu wengi watakuambia huyo alikuwa ni mmoja wa waandishi maarufu sana wa riwaya za kusisimua wa wakati huo, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.