1. Ommy dimpoz
Jamaa amefanikiwa sana baada ya kumterekeza baba yake akiwa anatanua DSM na fedha za kuhongwa na GSM baba yake anaendesha bajaj huko sumbawanga
2.Diamond platnumz
Huyu amefanikiwa sana na nyota imeng'aa kwa kumzalilisha baba yake na kumuweka mbali kabisa yeye akiwa anakula bata...
Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.
Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.
Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani
Kwa...
Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati.
Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:-
1...
Familia maarufu ya Kiyahudi yabadilisha dini kuwa Waislamu. Kiongozi wa kidini wa Kiyahudi aitwaye Rabbi Mort alitangaza kusilimu kwake rasmi. Hapo awali, Rabbi Mort alichukia sana na alikuwa na chuki kwa Waislamu. Hata hivyo, uongozi wa Mwenyezi Mungu ulimjia na akaugeuza kuwa Uislamu. Wakati...
Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji.
Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara.
Kwa huku Mtwara, msimamo wa...
1.Nurdin Bakari
2.Abdi Kassim Babi
3.Joseph Kaniki
4. Niko Nyagawa
5. Fredrick Mbuna
6. Juma Jabu JJ
7. Meshack Abel
8.Shamte Ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa
11.Mrisho Khalfani Ngasa
Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
Hizi ni tetesi zilifika hivi punde kwamba wafanyakazi katika shule maarufu huko Tabata Dar es Salaam kugoma muda wowote kuanzia sasa hali inayotishia kuhatarisha zoezi linaloendlea la mitihani ya kitaifa wakitaka kuushinikiza Ungozi wa shule na menejiment kusikiliza kero zao za muda mrefu ambazo...
Ndugu WanaJF,
Habari za muda huu twende kwenye mada Moja kwa Moja.
Nimeona mara kadhaa vitu vilivyokuwa vinamilikiwa/ kutumiwa na watu maarufu kuuzwa Kwa pesa nyingi na kimsingi sio kwamba vitu hivyo ni ghari hapana bali ni vitu vya kawaida sana mfano nimeona kofia ya Michael Jackson...
Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo...
Miongoni mwa mabifu yaliyowahi kutikisa nchini India basi bila shaka utazungumzia bifu lililokuwepo baina ya Shah Rukh Khan ukipenda muite King Khan au SRK na mbabe Sunny Deol.
Hili bifu lilianzia kwenye Ile filamu ya Darr iliyotoka mwaka 1993 iliyowakutanisha Sunny Deol aliyecheza kama...
Mara nyingi nimekuwa nikifatila uzi za hapa JF kuona kile kinachoendelea lakini nimegundua kuwa kuna uzi zinasomwa Sana hapa nakupata comments kubao.
Pia nimegundua mara nyingi uzi hizo nizile zinazogusa jamii hasa mambo yandani sana ya jamii pia maswala ya siasa huwa yanasomwa sana.
Je, wewe...
Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1), kumbe jambo hilo kwa wachezaji wenyewe wa nchi mbalimbali za Afrika (sio washabiki wa Bongo)...
Dina Mgala, mke wa mfanyabiashara maarufu wa maduka ya kufua nguo kwa machine jijini Dar, Khalid Laundry amefikishwa katika kizimba cha Mahakama ya Mwanzo, Ilala Mtaa wa Pangani akidaiwa kuingia mitini na Shilingi Milioni 22 za mjasiriamali anayejulikana kwa jina la Zenna Kengera au maarufu Anti...
Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada.
Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
Mangariba wawili mashuhuri mkoani Kilimanjaro, wanaosifika kwa kukeketa vichanga na wasichana, wamesalimu amri na kutangaza kuachana na kazi hiyo, baada ya kubanwa na Kamati ya Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) katika Kijiji cha Mawala, Wilaya ya...
Mkurugenzi maarufu wa filamu nchini Iran pamoja na mke wake wameuawa wakiwa nyumbani kwao nje kidogo ya Mji Mkuu wa nchi hiyo, Tehran.
Taarifa kutokea kwenye vyombo vya habari vya nchini Iran zinasema kuwa Dariush Mehrjui (83) na mkewe Vahideh Mohammadifar (54) aliyekuwa Mwandishi wa vitabu na...
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo.
Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.