maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Wadau wa Maonesho ya 47 ya Biashara ya kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonesho ya mwaka 2023 ni ya kipekee

    WADAU WA MAONESHO YA 47 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (DITF) MAARUFU KAMA SABASABA WAMESEMA MAONESHO YA MWAKA 2023 NI YA KIPEKEE - KIONJO CHA SABASABA EXPO VILLAGE Wadau wa Maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonyesho ya mwaka huu ni ya kipekee kwa kuwa...
  2. GENTAMYCINE

    Mganga anasema ili Wawe Mabingwa wakubali Kiongozi Wao Mmoja au Mtu wao maarufu Afe kama Kafara

    Klabu nyingine moja kubwa mara Nne ilishafanya hivi katika Mechi Ngumu za Kimaamuzi na Viongozi wake Maarufu Watatu Kufariki Wiki Moja kabla ya Mechi na Mmoja wa Shabiki wake Maarufu nae Kufariki na walipocheza hizo Mechi zao zote walishinda. Hivyo basi hata na Wenzao hivi sasa nao Wanahaha kwa...
  3. sky soldier

    Nipo Tayari kukosolewa: Hadi sasa Hakuna mtandao maarufu uliopangika zaidi ya JamiiForums kwa nchi zote za Sub saharan Africa

    Ni kweli Jamii forum bado inaweza kuonekana ya kawaida katika level za dunia lakini nathubutu kusema kwamba katika level zetu za hapa Africa, huu ndio mtando wenye wafuasi wengi na uliopangilika zaidi, Najua wanaijeria wana forum yao inaitwa Nairaland.com, ni kongwe zaidi na ina members wengi...
  4. carnage21

    Taa za sanamu maarufu "kristo mkombozi" zazimwa saa moja kumsupport vinicius junior

    Hapo jana taa za Sanamu Maarufu la “Kristu Mkombozi”(christ the redeemer) lililopo Rio de Janeiro huko Brazil zilizimwa kwa Muda wa Saa Moja hapo Jana ili kuonesha Mshikamano wa Watu wa Brazil na Mchezaji Vinicius Jr aliyefanyiwa Vitendo vya Ubaguzi huko Spain. Pia wachezaji mbalimbali kama...
  5. F

    Ndoto: Mganga maarufu kule kwetu kanipa kikombe cha damu ninywe

    Habari za majukumu Wana wa JF. Nimeota ndoto juzi usiku, Mganga maarufu kule nyumbani kwetu ananikabidhi Kikombe cha damu ninywe. Sijajua damu ya nini ila niliona Kama ina mchanganyiko wa maji ndani yake. Sikumbuki vizuri Kama niliionja damu au laahh. Nachokumbuka ni kuwa ndoto iliisha...
  6. Pascal Mayalla

    Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu

    Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela (Le Mutuz). Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz, aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Msiba upo nyumbani kwa Baba yake Mzee...
  7. Mpinzire

    Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

    Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya usalama wa Taifa kwa manufaa yenu binafsi? Imekuwa too- much sasa kila anapotajwa Membe na TISS...
  8. JanguKamaJangu

    Mwanamuziki maarufu auawa katika vita Sudan

    Shaden Gardood (37) ameuawa wakati mpigano ya kugombea madaraka yakiendelea kati ya vikosi vya Jeshi la Sudan dhidi ya Rapid Support Forces (RSF) katika Mji wa Omdurman, ikiwa ni siku moja baada ya pande hizo zinazopigana kuafikiana kupunguza mapigano. Gardood alikuwa mmoja wa watu maarufu...
  9. BLACK MOVEMENT

    Uchumi wa Frame Tanzania

    Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame. Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa...
  10. Wildlifer

    Kikwete Vs Hayati Magufuli: Magufuli yuko sahihi kuhusu Katiba Mpya

    Salam! Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake. Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Sasa Rais Hassan ameanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Mimi ni Realist. Na napenda tuwe realist katika...
  11. sky soldier

    Ukiachana na elimu, Wanyakyusa wa Mbeya wapewe taji lao kwenye kutoa wachungaji na waimba gospel maarufu nchini

    Ukiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima. Wachungaji na waimba gospeli wapo utitiri sana lakini hawa ni baadhi yao...
  12. Rwetembula Hassan Jumah

    Watoto wenu acha kuwapa majina ya watu maarufu mnawakosesha bahati zao

    Kuna watoto wanapewa majina ya watu maarufu sijajua wazazi uwaga wanaza nini • Kijijini kwetu hata hapa mjini kuna watu wanatumia majina ya watu maarufu na ni majina yao sahihi waliopewa na wazazi wao. Kwa mfano kuna wanaume wanaitwa .William, Mkapa, Nyerere, Kikwete, Riziwan , Mwinyi...
  13. Bushmamy

    Nabii mkuu Dkt. Geordavie asheherekea kumbukizi yake ya kuzaliwa, watu maarufu wahudhuria

    Tarehe 25 Mwezi April ni kumbukizi ya Nabii Mkuu Mh Dokta GeorDavie kukumbuka siku yake ya kuzaliwa ambapo Maelfu ya waumini wa huduma ya Ngurumo ya Upako walisherekea kwa pamoja huku wageni kutoka nchi mbali mbali kutoka nchini Congo, South Africa, Kenya na maeneo mbali mbali ya pembezoni...
  14. Mcqueenen

    Maeneo yasiyo maarufu sana lakini mazuri kutalii ukiwa Tanzania

    Tanzania ina vivutio vingi vya utalii, vingine ni maarufu na vinajulikana sana, lakini kuna maeneo mengine ambayo ni mazuri zaidi kutalii na hayajulikani sana. Hapa kuna maeneo kadhaa ya kutalii Tanzania yasiyojulikana: Maziwe ya Chumbe: Hii ni kisiwa kidogo kilichoko kusini mwa Zanzibar...
  15. Kommando muuza madafu

    TUJIKUMBUSHE: Timu Maarufu za Ndondo kutoka mitaa yetu

    Kama Mada Inavyosema. Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero. Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo huko Mvomero na Moro kwa Ujumla na katika mashindani ya Kiwilaya na Mkoa tulikuwa tunakutana na...
  16. Mtafiti77

    Taarifa kuhusu ICEBOX, maarufu DELI kibongobongo

    Ndugu wajasiriamali sekta ya vyakula /vinywaji baridi au wajuvi wa mambo, Ninahitaji kufahamu kuhusu kifaa tajwa hapo juu, deli. Nimeambiwa kwa sasa vingi ni fake/duni. Je, kwa wenye uzoefu kampuni/brand au watu gani hapa Dar wanauza vitu hivi vyenye afadhali? Nini ujanja wa kuokota dodo kwenye...
  17. F

    Je, umeweza kujibu swali hili maarufu? Kati ya kuku na yai nini kilitangulia?

    Umewahi kujiuliza kati ya kuku na yai nini kilitangulia? Hili swali sio geni, ila umewahi kulifikiria na kutafuta jibu lake? Kwanini wenye jibu sahihi hawataki kulitoa? 1. Ni kuku kwanza, halafu yai. Kimamtiki ni sawa na ndivyo tunavyoona kila siku, kuku anataga yai. 2. Ni yai kwanza, halafu...
  18. ESCORT 1

    Mtaje kiongozi yoyote wa awamu ya tano aliyekuwa maarufu lakini siku hizi hasikiki...

    Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
  19. kali linux

    Nimewatengenezea SOLDRAX: App ya kucheza na marafiki michezo ya Karata (Arubastini & LastCard) pamoja na Draft style zilizo maarufu Tanzania

    Hello bosses and roses, Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano...
  20. S

    Yu wapi Kipunje Mwamuzi maarufu wa Ndondo?

    Kipunje: Mwamuzi anayechezesha mechi akiwa na panga, shoka Dar Refa Kipunje akiwa kazini Summary Pia hata mechi ngumu za Ligi Kuu England au Ligi ya Mabingwa Ulaya amekuwa akipangwa kuchezesha. Sahau hilo la Webb. Tanzania kuna mtu mmoja anaitwa Kipunje. UKIMUULIZA shabiki yeyote wa soka...
Back
Top Bottom