mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jerry Farms

    SoC03 Mabadiliko ya tabia nchi: Tufanye nini kuirudisha Eden katika miji na majiji?

    Ni dhahili hali sasa inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyoenda. Mwanadamu amekua akifurahia na kuvumbua dhana mbalimbali za kumsaidia kazi! Maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia yamepamba moto katika nyanja mbalimbali....kilimo, usafirishaji, mawasiliano, viwanda, afya nakadhalika. Yote haya...
  2. KJ07

    SoC03 Mabadiliko ya Ujasiriamali: Safari ya Mwanamke Mjasiriamali katika kuinua Wanawake wenzake

    Mimi ni Mariamu, mwanamke mwenye umri wa miaka 40, mke na mama wa watoto wawili. Kama mtoto, nilitamani siku moja kuwa mjasiriamali, lakini haikuwa rahisi sana kwangu. Nilipata elimu ya chuo kikuu na nikaanza kufanya kazi katika benki kubwa, lakini siku zote nilijua kuwa nina wito mwingine wa...
  3. benzemah

    Tafadhali Rais Samia, Kikeke apewe Ukurugenzi TBC pengine ataleta mabadiliko

    Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20) Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba...
  4. RedPill Prophet

    Sheria za Tanzania kuhusu ndoa zibadilishwe kulingana na mabadiliko ya Utamaduni na jamii

    Sheria za Tanzania kuhusu ndoa kuwa Mwanaume anatakiwa kulea na kuitunza familia peke yake bila pesa za mkewe kutumika inatakiwa ibadilishwe kutokana na mabadiliko ya kijamii kwa sasa maana kipindi kile mwanaume ndo alikuwa sole provider wa familia ila kutokana na mapinduzi ya kijamii ambao...
  5. K

    Sikubaliani na mabadiliko ya Katiba yenye lengo la kumpunguzia madaraka Rais

    Ni siku nyingine Mwenyezi Mungu ametujalia kuiona, tukiwa wazima wa afya na amani ya kutosha. Mungu ni mwema nyakati zote. Kama ilivyo kawaida, waona mbali huwa hawaeleweki kwa 'matomaso' na hawa ni mpaka waone ndio waamini na hivyo jukumu letu sisi waona mbali ni kuwasaidia 'matomaso' before...
  6. Ushimen

    Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

    Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana. Kuna siku niliiona pale Pestana Dodoma majamaa wameshiba na miili imejengeka vyema, wamevaa vipens vifupi hadi...
  7. J

    Aweso afanya mabadiliko Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Korogwe, asisitiza utatuzi wa changamoto ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo kwa Ziara ya kikazi akiwa na lengo la kutatua changamoto mbalimbali na kufuatilia hali ya Utekelezaji wa Miradi ya Maji na hali ya utoaji wa huduma ya Maji eneo...
  8. BARD AI

    Clouds FM inapoteza mvuto au imeshindwa kwenda sawa na mabadiliko na uwepo Radio nyingine?

    Kama ni mfuatiliaji mzuri wa vipindi vya Radio, utagundua kuwa kuanzia saa 12 asubuhi kipindi cha Good Morning kutoka Wasafi FM kinasikilizwa sana mitaani, kwenye madaladala, magari binafsi kuliko ilivyo Power Breakfast ya Clouds FM. Nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini kwa Clouds kupoteza...
  9. ThisisDenis

    Katiba mpya ni chachu ya mabadiliko tanzania?

    Natamani kujua kwa undani nini hasa kinawndelea juu ya katiba mpya maana kila kukicha tuko pale pale tunab8shana tu kwa kua tunajuana sana. Mimi nadhani katiba mpya itakua chachu pale tu chama husika kitakua na mabadiliko ya lweli ju ya wananchi wake
  10. Sildenafil Citrate

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo: Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface...
  11. T

    Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 imechangia kuongeza Trilioni 7.2 kwenye mfuko mkuu wa serikali kwa miaka 6

    Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo. Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye...
  12. Intelligent businessman

    Muda wa hatua ya mabadiliko ni sasa

    Kadri muda unavyokwenda mbele, basi kila kitu unachokijua kinabadilika; vijana wanakuwa wazee, Teknolojia inakua kwa kasi, biashara na makampuni yanabadili utaratibu wa kujiendesha but still unataka uwe vile vile, who the hell do you think you are? Kila siku unataka ufanye vitu kwa style ile...
  13. T

    Mabadiliko ya Sheria yanaweza kusaidia kupunguza kutokuelewa baina ya watendaji

    Kwako Mhe.Rais wa JMT, Nakusalimu kwa jina la JMT...kazi iendelee. Awali ya yote ninapenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia afya njema na tumeweza kufika muda na wakati kwa neema zake Mwenyezi Mungu. Pia, nichukue nafasi hii kukupongeza kwa utendaji kazi uliotukuka na...
  14. GENTAMYCINE

    Rais kusema hatoacha kufanya Mabadiliko katika Serikali yake ni Udhaifu usiovumilika na wenye Akili

    Na kwa wenye Akili tukiona Mabadiliko ya mara kwa mara tunathibitisha kuwa huenda kuna Watu wako mahala kwa bahati mbaya / Fluku. Ngoja tuendelee Kunywa Mtori taratibu na huenda Nyama tunazozitaka tutazikuta chini.
  15. Analogia Malenga

    Rais Samia: Mabadiliko yametokea kwa sababu ya kutokuelewana

    Rais Samia amesema sababu nyingine ya kupangua wizara ni kwa sababu ya kutoelewana kati ya mawaziri na makatibu wakuu na manaibu waziri. Hali hiyo imeonesha kuwa kazi hazifanyiki. Rais amesema hii ni mara ya mwisho kupangua kwa sababu ya kutokuelewana, wakati mwingine atawaondoa wote badala ya...
  16. T

    Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

    Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
  17. L

    Kwenye Sheria ya ndoa Ni vyema kuwe na mabadiliko

    Nafikiri Ni wakati muafaka wa kufanya amendment za Sheria ya ndoa ili kuweka wazi baadhi ya Mambo, mfano wanandoa kukubaliana namna ambayo Mali zitagawanywa au kutogawanywa Kama wakiitengana, kuwepo na kipengele Cha idadi ya wenza. Dini zinaleta shida nyingi zaidi kwenye Mambo ya ndoa, kuwepo...
  18. R

    Dkt. Makakala hongera sana kwa mabadiliko makubwa katika utoaji VISA na Pasipoti Ubalozini; wajengeeni uwezo watoa huduma wenu

    Tanzania ukifanya vizuri Sana lazima kuna sehemu utabutua. Uhamiaji mmefanya vizuri Sana kusogeza huduma za Pasipoti na Visa za kielekronikia kwenye mtandao. Utaratibu wa kuomba na kukamilisha maombi upo fresh na unaendana na mahitaji ya Dunia Kwa sasa. Lakini wakati mnatengeneza mfumo mzuri...
  19. Pdidy

    Sheikh Mkuu umenifanya nile vyakula vya kithungu leo. Bado upande wa pili, tufanyie marekebisho Dar

    Kuna viongozi wa dini walijsahau wakajiona miungu mtu badala ya kutumikia wananchi wamekuwa wakitumia madaraka vibaya kuwaadhibu wabaya waooo Wapooa waliokwenda mbaolli wskafikia kutaka vipusa vya wenzao walio chini yaooo Haitoshi wapoo walioamua kuwaadhibu wenzao kisa tu kuhoji matumizi ya...
  20. BARD AI

    Bosi wa Toyota ajiuzulu kupisha mabadiliko ya kampuni kuingia kwenye Magari ya Umeme

    CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota. Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14. Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012...
Back
Top Bottom