mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Mabadiliko ya mtaala yasisahau kuzifuta kozi ambazo hazitoi ajira kwa wahitimu wa vyuo

    Kuna utitiri wa kozi zinafundishwa vyuoni zinazosababisha unemployment rate katika taifa letu kukua kwa kasi. Nabadala yake watoto wanahitimu hizo kozi wanabaki hawana ajira lawama zote zinabaki kwa serikali. Tupo kwenye mchakato wa kubadili mtaala wetu ili uendane na mazingira yetu. Basi...
  2. S

    Simba na Yanga na propaganda za mabadiliko

    UCHAGUZI WETU KESHO. Ila sisi tuna kitambulisho cha shule ya msingi wenzetu wana kadi ya uanachama😳; Hivi kuna Transformation hapa? Hebu tuwe serious kwenye hizi taasisi zinazogusa Faraha za watu. Ukiwaona majukwaani Kama viongozi vile kumbe ni hopeless kabisa! Mpaka leo bado usafiri wetu...
  3. MamaSamia2025

    Joto la kisiasa lililopo litawahamasisha vijana wengi kutaka mabadiliko. Pongezi kwa Rais Samia

    Mabadiliko ya kweli kwenye nchi huletwa pale tu vijana wanapohamasika kujihusisha na siasa. Vijana wanaweza kubomoa au kujenga nchi. Kiongozi dhalimu Charles Taylor aliwatumia vijana kujiwezesha kurudi madarakani huku akiwa kamwaga damu za watu wengi wasio na hatia wakiwemo wazazi wa hao vijana...
  4. GENTAMYCINE

    Nahisi kuna Watu wanapendelewa katika Mabadiliko na Uhamisho yafanywayo na 'Boss Kubwa' kutokana na Ushkaji na Uchawa

    Tena nahisi kuna Wengine hupigiwa hadi Simu na Kuulizwa kwa Kubembelezwa kama si Kudekezwa huku Wengine kwa Kuwakomoa au Chuki Kwao wanapelekwa ( wanatumwa ) mbali. Hivi Kijana kama Niki wa Pili unamtoaje Kisarawe na kumpeleka Kibaha? Kwanini kwa Umri wake asipelekwe huko Wilaya ya Mpakani kwa...
  5. R

    Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yafanyike au Baraza livunjwe ateuliwe Waziri Mkuu mpya?

    Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi. Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza kumwondoa Waziri Mkuu yataleta ufa badala yake aachwe amalize miaka miwili ijayo. Bado sioni Waziri...
  6. Poppy Hatonn

    Tume ya Uchaguzi ni huru, hatuhitaji kufanya mabadiliko

    Kwa sababu Mbowe alikuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni kwa muda mrefu kwa kutegemea hiyo hiyo Tume anayosema siyo huru. Kama Mbowe ameangukia pua Uchaguzi uliopita, siyo kosa la Tume kwa sababu Tume ilikwishathibitisha kwamba inaweza kufanya kazi efficiently.
  7. SAYVILLE

    Simba sasa wanacheza mpira wa Ligi ya Uingereza

    Simba walikuwa na mapungufu muhimu ya kiufundi ambayo kwa hatua wanayotaka kupiga hasa huko CAF ilihitaji kuyarekebisha. Pungufu la kwanza lilikuwa ukosefu wa ubunifu katika kupenyeza mipira katika ngome ya timu pinzani. Hii ilisababisha timu kulazimika mara kwa mara kurudisha mipira nyuma...
  8. K

    Wakili Tundu Lissu akielezea mabadiliko makubwa matatu chini ya uongozi wa Rais Samia yaliyomfanya aamue kurudi nyumbani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , Tundu Lissu akielezea sababu zilizomfanya arudi nyumbani Tanzania baada ya miaka 5 akiishi ugenini. Hii ni hatua njema hususani katika kuimarisha demokrasia nchini, Rais Samia Suluhu Hassan wakati anaingia madarakani alisema matamanio yake ni kujenga nchi mmoja...
  9. The Sheriff

    Uraia Hai ni chachu ya mabadiliko chanya katika jamii

    Uraia Hai (active citizenship) unamaanisha watu kujihusisha katika jamii zao na demokrasia katika ngazi zote na kuelewa kuwa sisi sote ni tofauti, lakini jukumu la kubadilisha jamii zetu ni sawa. Uraia hai unaweza kuanzia katika ngazi ndogo kama vile kampeni ya kusafisha mtaa wako au kubwa kama...
  10. BARD AI

    IGP Wambura afanya mabadiliko mengine ya Makamanda wa Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amefanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa mikoa ili kuboresha na kuongeza ufanisi wa utendaji katika mikoa mitatu ya Tanzania Bara. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Januari 6, 2023 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David...
  11. Roving Journalist

    Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za viongozi Serikalini Ikulu jijini Dares Salaam, leo tarehe 03 Januari, 2023. Amesema “Mtakumbuka kuwa Novemba 2022, Bunge la Tanzania lilikuwa na mjadala mzito kidogo kuhusu matumizi ya fedha na...
  12. BARD AI

    Fahamu kuhusu mabadiliko yaliyofanywa kwenye WhatsApp mwaka 2022

    Haya ni baadhi ya mabadiliko ambayo yamewekwa katika App ya WhatsApp kwa mwaka 2022. Ni features zipi ambazo umezipenda zaidi?
  13. Mama Edina

    Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

    Kuondoa masomo ya uraia, aliyeshauri haya achunguzwe. Muhutasari huu hapa. Maboresho ya sera ya elimu. Yapo mengi ila hapa wamewasilisha machache tu. [emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254] ...Masomo kupunguzwa sekondari, ...civics na general study kufutwa kabisa, ...somo la...
  14. L

    China yashirikiana na Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa changamoto kubwa inayokabili nchi zote duniani, haswa nchi za Afrika. Ikiwa ni sehemu ya juhudi za kujenga jumuiya ya China na Afrika yenye hatma ya pamoja, ushirikiano kati ya pande hizo mbili umetoa uungaji mkono wenye nguvu kwa Afrika kukabiliana na changamoto...
  15. S

    Mabadiliko ya kumbi za usaili - Dar es salaam

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Hassan Kitenge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi katika kada mbalimbali za TRA kuwa, kuna mabadiliko yamefanyika katika mpangilio wa kumbi za usaili kwa wasailiwa wote waliokuwa wamepangiwa Dar es Salaam tarehe...
  16. JanguKamaJangu

    Elton John adai kilichomtoa Twitter ni mabadiliko ya sera, Elon Musk amjibu

    Mwanamuziki huyo ameongeza ya mastaa waliojitoa katika mtandao huo tangu uanze kumilikiwa na Elon Musk, amedai kuwa mabadiliko hayo yatachangia taarifa potofu kusambaa kwa urahisi. Akijibu hoja hiyo, Musk amesema anaamini mwanamuki huyo atarejea Twitter. Aidha, mtangazaji maarufu wa Uingereza...
  17. Dr Akili

    Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  18. OffOnline

    Huenda mabadiliko makubwa yakafanywa ndani ya Serikali muda mfupi ujao. RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi

    === Baada ya kumsikiliza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hapo juu,Naomba nidondoe kidogo haya, Wakati wowote kuanzia Sasa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini na kwenye Chama, Mimi Wacha niwalaumu kidogo nyie maboss na endapo Kati yenu atasalia...
  19. Vhagar

    Usihuzunike, huna budi kukubali. Ni mabadiliko

    Ukiyakataa mabadiliko yatakubadilisha kilazima na yatakuumiza. Utaona mtu mbaya, ana dharau kumbe si kweli. Mlikuwa washkaji ni kweli kuna kitu kilikuwa kinaleta ushkaji wenu. Kama ni shule hapa mlikuwa mnaongea lugha moja. Mmmetoka hapo ww ni boda boda yeye ni mhasibu. Hapa hata mkikutana...
  20. Wildchild

    Mtazamo wangu kwa wana JF kwenye ushiriki wa mijadala ya kitaifa

    Habari wanajukwaa, ni muda kidogo nimeshuhudia mabadiliko katika namna ya uchangiaji wa hoja, hasa zaidi zile zinazogusa maisha ya kila siku ya Mtanzania, hili linanipa hofu, kuwa huenda zile sheria za mwendo kasi, zimeshika nafasi kiasi cha hata jukwaa lililojipambanua kwa weledi linaangaliwa...
Back
Top Bottom