Serikali imesema hivi karibuni itaruhusu mabasi kusafiri kwa saa 24, ni jambo jema sana endapo jambo hili muhimu litafanyiwa kazi.
Jambo lenyewe ni kufunga taa kwenye barabara kuu zote, fungeni taa zinazotumia solar panels ili kuongeza mwanga barabarani, kwa wanao endesha usiku watakubaliana...
Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.🤣
Hivi ni nani...
Kuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na...
Mkurugenzi wa Baraza la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Samuel Gwamaka amezungumza na waandishi wa habari na kusema:
Moja ya jambo ambalo limekuwa likifanyika mara kwa mara kama mazoezi ni mabasi ya abiria, malori na magari yanayofanya safari ndefu kuwa na kawaida ya kusimama porini kwa...
Wakuu,
Mtu analipia basi luxury kupata huduma extra, nzuri na bora, asafiri akiwa anajisikia huru. Inakuaje unalipia kusafiri basi luxury halafu unakutana na choo kama hiki? Choo hiki ni kwa huduma ya haja ndogo pekee na hauruhusiwi kuingiza tishu/toilet paper na haiwekwi kabisa chooni lakini...
Ikumbukwe kuwa tarehe 28, juni, mwaka huu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa maagizo kwenye Wizara mbili, Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi pamoja na Wizara Ujenzi na Uchukuzi ya kuweka utaratibu wa Magari kuanza kutoa huduma ya usafirishaji abiria masaa ishirini na nne(24), tayari utaratibu wa...
Salaamu Wakuu: Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Sote tuitikie: Kazi Iendelee!
Moja kwa moja kwenye mada.
Mbali na utaratibu mzuri walionao uongozi wa stendi wa kuwaelekeza utaratibu wa hapo stendi wasafiri wanaotumia eneo hilo wakati wa alfajiri; bado Bwana Afya...
Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
Nimepita viwanja vya Tanganyika packers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea nchini? Kweli CCM ni chama dola
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) mkoani Mwanza kimetaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA), kubadili ruksa ya spidi barabarani kutoka kilomita 80 kwa saa hadi 100 kutokana na maboresho makubwa yaliyopo barabarani.
Akizungumza leo Katibu wa Taboa mkoani Mwanza, Anwar...
Kipindi ambacho watoto wanatoka shuleni wakiwa katika mabasi yao kuelekea nyumbani tunawatengenezea mfumo wa kuwaweka bize kuangalia katuni au sinema zinazowafurahisha wakati huo zinawapa maadili ya msingi kabisa katika Maisha yao, pia kuwaonesha madhara ya baadhi ya vitendo ambavyo vinaleta...
Japo si urembo wa kina Beyonce, Rihana, n.k. ila binti kwa ni mzuri si haba
Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na uzuri wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti...
Ni kero kubwa iliyotengenezwa na latra mabasi kuanza safari saa 9 usiku.
Mfano mtu anakaa mbali na stendi hapo lazima aondoke kwake saa 6 usiku km usafiri upo au aondoke mapema akalale lodge ya karibu na stendi. Unakuta sehemu ya kusafiri na 60k unatumia mpaka 150k.
Kwanini isiwe kama majirani...
Kwa miaka 9 mfululizo kampuni ya Yutong ya China imekuwa kinara kwa kuuza mabasi mengi zaidi duniani.
Utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria imekuwa biashara kubwa yenye ushindani hasa mabasi ya umeme. Mabasi yamekuwa yakitengenezwa kwa kazi na makusudi tofauti tofauti.
Kinachoangaliwa...
Jeshi la Polisi limetoa maagizo kwa makamanda wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya doria katika barabara zote zitakazotumiwa na mabasi yatakayokuwa yanafanya safari zake saa 24 katika kudhibiti aina zozote za kihalifu.
Huo ni utekelezaji wa agizo lilotolewa, Juni 28, mwaka huu na Waziri...
Naona Sasa ajali za mabasi zimeongezeka Kwa Kasi kubwa sana, hasa haya magari yanayoanza safari kuanzia saa 9 usiku, ni hatari sana.
Serikali inabidi ilihangalie hili, nimejaribu kusafiri mara tatu na haya mabasi ya saa Tisa yaliyotokokea ni haya
1. Safari ya Kwanza tulivyopanda tu gari, baada...
Yaani Wafanyakazi wote wa LATRA ndiyo mna aina hii ya Ubongo mbovu uliowapelekea nyie kuja na Maamuzi haya ambayo GENTAMIYCINE sioni Aibu kuyaita ni ya Kipumbavu huku yakiwa yamejaa Chuki, Visasi, Wivu na Uonevu?
LATRA mbona hamyachukuli hatua Mabasi ya Tajiri Mkongwe wa Mkoani Morogoro ( na...
Mimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu mwenendo wa usafiri wa mabasi ya mikoni. Kiongozi mmoja akifuta safari za usiku na mwingine akizikirudisha. Mmoja ikichagua mabasi gani yasafiri usiku na mabasi gani yasisafiri usiku nap engine kusiwe hat ana vigezo vya ruhusa ama makatazo hayo.
Lakini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.