mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Hali ya mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho ni kero tupu kama kawaida leo Novemba 15, 2023

    Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote. Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu. Hapa...
  2. U

    Safari za mabasi za usiku zimepunguza rushwa na wala rushwa hawapendi hilo

    Safari za MABASI Kwa Usiku Ni Nzuri na salama Zaidi Kwa sababu madereva wa Magari Mengi Hasa malori na Gari ndogo zenye Malena Wengi wanakuwa hawapo barabarani. Lakini kimekuwa kilio kwa wala Rushwa maana usiku polisi na tasisi zingine zinazopenda Hela wanakuwa wachache saana. Hili limepinguza...
  3. BARD AI

    LATRA: Mabasi 759 yanayofanya safari za Usiku yanazidisha Speed na kuchezea mfumo wa ufuatiliaji taarifa za gari (VTS)

    Mwezi mmoja tangu Serikali iruhusu safari za mabasi kwa saa 24, tathimini ya mamlaka za usimamizi imeonyesha kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za usalama barabarani, hali inayohatarisha usalama kwa abiria na mali zao. Kutokana na ukiukwaji huo, ndani ya muda huo mabasi 759 yamekamatwa...
  4. Faana

    Mkalimani wa Movie kwa Kiswahili kwenye Mabasi

    Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema? My pleasure = hamna shida Let us go = nenda nyumbani How! = Wapi sasa
  5. O

    Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli

    Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu. Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife...
  6. BARD AI

    LATRA yawaonya wanaopandisha Nauli za Mabasi kiholela

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa onyo hili baada ya kuwepo kwa malalamiko ya Wananchi kuhusu baadhi ya Wamiliki na Kampuni za Usafirishaji Abiria kuamua kufanya mabadiliko ya Nauli kinyume na masharti ya Leseni zao. Taarifa ya Mkurugenzi wa LATRA, CPA Habibu J.S. Suluo...
  7. BARD AI

    Mamlaka zinashindwa kudhibiti wanaopandisha Nauli za Mabasi kiholela?

    Kwa muda wa takriban miezi miwili kumekuwa na malalamiko mfululizo ya Wananchi kuhusu wamiliki wa Mabasi kupandisha nauli bila kufuata utaratibu ingawa sababu wanayoitaja ina umuhimu kwakuwa ni kweli bei za mafuta zimekuwa zikipanda kila wakati huku nauli zikibaki palepale. Pamoja na hilo bado...
  8. ChoiceVariable

    Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  9. BARD AI

    LATRA kujadili Shinikizo la Wamiliki wa Mabasi linalotaka nauli mpya za Daladala, Mabasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala. Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
  10. Roving Journalist

    DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea mabasi, Pia mabasi ni machache

    Ofisa Mawasiliano na Uhusiano wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Willium Gatambi ameeleza sababu za msongamano vituo vya 'Mwendokasi' jijini Dar es Salaam Leo Oktoba 11, 2023. Amesema tatizo hilo linasababishwa na watu wengi asubuhi kuelekea upande mmoja pia hakuna mfumo rasmi wa...
  11. Agiza Express

    Kero ya mabasi ya mwendokasi, Serikali iingilie kati

    Kama ni mtumiaji wa mabasi ya mwendokasi utanielewa hiki nachotaka kusema, imekuwa ni kero ya muda mrefu na sasa imezidi maradufu kwa sisi watumiaji wa mabasi yaendayo kasi na bahati mbaya hatuna pa kusemea. Kujazwa kwenye mabasi, kukalishwa muda mrefu kwenye foleni ya kusubiri mabasi, kukata...
  12. KING MIDAS

    Ijue kampuni ya Marcopolo, kampuni ya kuunda bodi za mabasi

    KAMPUNI YA MARCOPOLO Kampuni ya #marcopolo ilianzishwa tarehe 6 Agosti 1949 huko Caxias do Sul kama Nicola & Cia Ltd. Wakati kampuni inaanzishwa ilikua na washirika 8 na wafanyikazi 15. Mnamo mwaka 1971 kampuni ilibadilisha jina na kuwa Marcopolo S.A. (Marcopolo S.A. yaani mtengenezaji wa body...
  13. peno hasegawa

    Kilwa: Ajali yaua saba na kujeruhu 22

    Nimeandika tu. Kuna ajali imetokea Kila leo na watu zaidi ya 7 wamefariki Dunia. LATRA wako kimyaaaa
  14. G

    Ujenzi wa wa njia ya mabasi ya Mwendokasi barabara ya Nyerere unasababisha kero ya foleni

    Wadau, Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi sambamba na ujenzi wa SGR inawafanya watumiaji wa barabara kukosa njia mbadala. Ni heri wangesuburi kukamilika kwa madaraja ya juu ya...
  15. Roving Journalist

    Lindi: Mabasi ya Saibaba na Baharia yagongana uso kwa uso 7 wapoteza maisha

    Ajali ya barabarani iliyohusisha gari mbili za abiria, Saibaba iliyokuwa inatoka Nachingwea kwenda Dar na Baharia iliyokuuwa inaelekea Nachingwea. Ajali hii imetokea jana mchana tarehe 05.10.2023 katika eneo la Kiwawa, Mkoani Lindi. Tunasubiri Taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka ===== Watu saba...
  16. JanguKamaJangu

    Serikali yaruhusu Mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeruhusu Mabasi ya abiria kufanya usafirishaji wa Saa 24, baaada ya kujiridhisha kiusalama, mwamko wa wananchi, huduma za mawasiliano pamoja na miundombinu ya usafirishaji. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Jumanne Sagini wakati...
  17. Roving Journalist

    KERO Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

    Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600 Pia soma: DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea...
  18. GENTAMYCINE

    85% ya Mashabiki wa Yanga SC walioenda Kigali Rwanda wamelala katika Mabasi yao

    Na sababu Kubwa ni kutokana na Hoteli nyingi kuwa za Gharama huku Wao ( Mashabiki ) wakiwa na Hela pungufu. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka Jijini Kigali Rwanda ni kwamba nje ya Mashabiki Kulala ( Kimasikini na Kiuhuruma ) Ndani ya Mabasi Mikweche yao pia hata katika...
  19. GENTAMYCINE

    Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

    Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete. Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
Back
Top Bottom