mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya Serikali kuruhusu rasmi Mabasi Kusafiri 24hrs haya ndiyo Maombi yangu Makuu kwa Wahusika

    1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti. Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz 2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria...
  2. Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

    Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro. Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu. Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu.
  3. RC Chalamila ataka Mabasi ya ‘Mwendokasi’ yafanye kazi saa 24

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amawataka Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) maarufu kwa jina la Mwendokasi, kuangalia namna ya kuongezeka muda wa kufanya kazi hadi kufikia saa 24 badala ya muda uliopo sasa. Mbali na hilo pia amesema hafurahishwi na malalamiko yaliyokuwapo...
  4. Wahaya hatuna kawaida ya kupanda Mabasi, wengi tuna Private Cars

    Siku za hivi karibuni nimeona watu wakiiponda stendi ya mabasi ya Bukoba kuwa ni stendi duni, nakubaliana nao ila nawakumbusha pia kuna kitu hawakijui au wanakijua ila hawataki kusema, sasa leo nitakisema hapa ili kumaliza utata. Iko hivi, sisi wahaya tunapenda kutumia private cars au ndege...
  5. Tuwataje Madereva wa Mabasi wanaobet kwa kuendesha magari ovyo ili wawahi kufika Stendi wapewe 100,000

    Na declare interest mimi ni mdau wa usafirishaji Tanzania. Lengo la kuanzisha huu uzi sio kuharibu biashara au maisha/ajira za watu ila ni kuokoa maisha ya watanzania wanaokufa kila siku kama panzi kwa uzembe na ujinga wa hawa madereva. Mimi ni mkazi wa Mkoa wa Mbeya na huwa nafanya kazi za...
  6. N

    Kwanini Mwekezaji mpya wa Mabasi ya Mwendokasi (DART) Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu kachelewa kuanza kazi?

    Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu. Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni...
  7. Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

    Uamuzi huo umetolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) baada ya kubaini Mabasi hayo kuchezea Mfumo wa Kufuatilia Mwendo (VTS) kwa lengo la kusafiri kwa Mwendokasi ili kushindana kufika Stendi. Kwa mujibu wa LATRA, watoa huduma hao wamekuwa wakitumia fursa ya kuanza safari...
  8. T

    Manispaa ya Shinyanga ihamishie stand kuu ya mabasi jirani na viwanja vilivyopimwa Nhelegani Mashariki ili kupanua mji

    Ninashauri viongozi wanaohusika na masuala ya usafirishaji mkoani Shinyanga akiwemo Mkurugenzi wa Manispaa, wakae chini na kujadili namna bora ya kuitoa stand ya mabasi "manyoni" pale Ibinzamata waihamishie Nhelegani mashariki jirani na viwanja vilivyopimwa ili kurahisisha ukuaji wa mji pamoja...
  9. Muonekano wa Stendi ya Mabasi Kondoa (Dodoma) unatia aibu

    Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa. Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri. Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
  10. Hili la ligi ya Mabasi Serikali ilitazame kwa jicho la 3

    Ilivyo sasa kwa hii route ya Dar es Salaam na Mwanza ni kitu sio cha kukifumbia macho. Vijana ku bet ushindani wa mabasi ni kitu kinacho shamiri mnoo usishangae kuina vijana wamejipanga kando ya barabara misili wanasubiri msafara wa Rais.
  11. Kampuni ya Mabasi ya Abood Bus Service Limited imezindua mabasi ya VIP

    Kampuni ya Mabasi ya Abood Bus Service Limited imezindua mabasi ya VIP yanayofanya safari zake Dar- Mwanza-Dar, kuanzia tarehe 9 Juni 2023. Hizi basi ni za kisasa na yenye viwango vya juu ikiwemo siti za luxury, air condition, tv, choo cha abiria, wahudumu wa kike, vinywaji na vitafunio. Route...
  12. B

    Hii hali ikiendelea, tutarajie majanga kwenye usafiri wa mabasi yaendayo haraka aka Mwendokasi

    Asalaam Aleykum wana JF wenzangu. Ama baada ya Salamu hizo za upendo, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kama Mtanzania Mzalendo kwa nchi yangu (na uzalendo ni pamoja na kuusema ukweli kama ulivyo), nimeona niongelee hii kero ya usafiri wa Mwendokasi (japo nina ukakasi na...
  13. Betting mabasi ya abiria zinanikera

    Kuna mambo mawili binafsi yananikera katika usafiri wa mabasi ya ruti ndefu tz. 1. Mabishano ya wanaoitwa wanazi wa makampuni ya mabasi juu ya ubora wa gari zinazotumika na kipimo ni mwendokasi. 2. Betting ya basi lipi litawahi kufika eneo Fulani. Yote haya yanachochea mwendokasi na rafu...
  14. Serikali iruhusu tu mabasi kusafiri usiku na mchana sasa hivi hakuna abiria anasafiri na mamilioni cash kwenye basi kama zamani, ziko kwenye akaunti

    Zamani kabla mifumo ya fedha kuimarika watu wakikuwa wakisafiri na mamilioni ya pesa wakija Dar kununua chochote au kuuza chochote Sasa hivi watu husafiri tu na hela ya kula njiani tu pesa zote huwa kwenye akaunti Hivyo tishio la kuwa abiria watavamiwa na kuporwa dogo mno. Hata mporaji hawezi...
  15. Je, halimashauri wangekodi mabasi jua lisingezama? Ni lazima kila mmoja awe na gari Arusha?

    Kuna gari 400 plus za halmashauri zote Tanzania. Kuna halmashauri unakuta ina gari 3: Mkurugenzi gari lake na watumishi wengine gari zao. Kwa ujumla, Arusha kuna gari 500 na zaidi za halmashauri Tanzania nzima. Sasa chukulia kwa mfano halmashauri za Mkoa wa Lindi wakaamua kuungana na Mtwara...
  16. Video kwenye mabasi na maadili/mabusu/nusu uchi

    Tabia ya kuweka picha za video katika mabasi wakati wa safari hukusudia kupunguza uchovu wa safari. Katika basi kuna watu wa dini, umri, rika na kabila tofauti. Aidha inaweza kutokea kukawa na mtu anasafiri na wakwe zake ama viongozi wa kidini. Kumbe video zinazowekwa ni muhimu kuzingatia...
  17. Kampuni bora za mabasi na kampuni za usafirishaji mizigo

    Habari wakuu, poleni na kazi. Napenda kupata majina ya kampuni 5 bora za mabasi hapa nchini kwa ajili ya kushiriki tuzo. Vigezo ni 1. Ubora wa huduma 2. Mwendo mzuri (50/80) 3. Lugha nzuri kutoka kwa wahudumu na wasaidizi 4. Usafi wa mabasi 5. Maslahi kwa wafanyakazi wa mabasi hayo. Pia...
  18. DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu...
  19. Picha za kibao cha Kumbukumbu ya Merehemu, extract kutoka Uzi wa "Chanzo cha mabasi ya No Challenge kuitwa Tashrif

    Juzi kati nilivutiwa na thread hii ambayo pia nilikuta ikisambaa kwenye magroup mengi ya Whatsapp including Yale ya Sekondari. Thread yenyewe hii hapa https://www.jamiiforums.com/threads/chanzo-cha-mabasi-ya-no-challenge-kuitwa-tashriff.2092924/#post-46290142 Nakumbuka nilikomenti kwenye Ile...
  20. LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

    Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu. Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu. Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…