Utakalofika wakati WA kuinuliwa wataambiana ati yule kahaba ana familia yake
Wataambiana kikaragosi ana nyumba na gari leoo hiii
Mwishooo wataambiana wema WA Mungu maishani mwako USIKATE YAMAA
Waweza kuona wanadamu wanatembea kimya kimya wameitunza mengi mioyoni mwayo
Usijeona wanakuchekea...
Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM.
Kusema...
Katika dunia ya leo, tunashuhudia hali ya kushangaza sana ambapo watu wanaofanya maovu wanaheshimiwa na kutukuzwa, na wakati mwingine kuwa mfano wa kuigwa, watu ambao maisha na mienendo yao sio yenye staha katika maisha ya kawaida. Hali hii inanifanya nijiulize: Kuna jamii ina haki ipi katika...
1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee.
2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA?
3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
Kwenye ulimwengu wa roho mchezo kati ya Singida Black Star ✨ dhidi ya Simba ,
Imechezwa na umemalizika huku matokeo yakiwa 1-1
Singida Black Star ⭐ wamepata goal dakika ya 39 huku Simba wakipata goli la penalty ya kubebwa mnamo dakika za nyongeza
Mechi imeisha hivo Kwa sare japo, tulijaribu...
Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake
Tazama Video hizi kwa utulivu
Hivi jamni kweli laana kutoka kwa mtu mzima aliye kuzidi umri mzazi pamoja na kutamkiwa maneno mabaya huweza kumkuta mtu?
Na kama mtu huweza kukutwa na maneno hayo ya laana je ,Kuna njia ya kuiondoa au mtu akiamini ndo yanamkuta au ni akili zetu tu hamnaga kitu kama hicho.
Usiombe mabaya yatakukuta
porojo za bongo
15-02-2011 ilikuwa jumanne tulivu, tukiwa uwani tukipiga stori za hapa na pale, nawakumbuka baadhi ya watu wachache tulio kaa pale uwani, dada g,dada asha, mrs siliver michael, siliver michael , mama g au mrs benny na mzee dondola alikaa kwa mbali...
Kwa muda mrefu sasa,Kampuni ya Ukopeshaji Pesa ya Mtandaoni ijulikanayo kama BahariPesa imekuwa na Tabia ya Kutoa siri za wateja wao hasa wale wanaodaiwa na kutuma taarifa zao kupitia namba za watu wengine bila kuwahusisha watu hao pindi wanapotumiwa taarifa hizo. Pamoja na BahariPesa licha ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari
Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa
Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20
Syria...
Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali)
Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa
Mwenye kujua anipe mwongozo
Nasema tu huu mwaka uishe tu maana umekuwa na mambo mengi magumu hasa mimi na wife wangu
Katika kipindi Cha nyuma nilikubali kunyanyasika hasa katika tendo hata kutoheshimika kwani nilipotishia kuchepuka niliambiwa niende tu ingawa mimi kwa wakati huo sikutaka kabisa kufanya hivo nilikaa nae...
hellow weekend
SIkuizi malezi yamekuwa mabaya sana sana sijui ni uzungu kipindi chetu nilikuwa naenda shule mwenyewe na narudi mwenyewe wakati uho nina miaka 6 na napajua nyumbani na najua majina ya wazazi wangu pia mtu maarufu pale mtaani najua
Sikuizi watoto wanaenda shule wanapelekwa na...
Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai, amekosoa matumizi ya serikali, akiyaita ni mabaya na yasiyo na tija. Akichangia Bungeni mwelekeo wa bajeti ya 2025/26 na mpango wa maendeleo wa Taifa, alisisitiza umuhimu wa kuhakikisha fedha za umma zinatumika kwa miradi yenye manufaa kwa wananchi.
Amesema...
Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi.
Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
📖Mhadhara wa 25:
Mwanaume unaanzaje kukimbia majukumu ya kulea mtoto au watoto wako. Mwanaume rijali aliyekamilika hakimbii majukumu ya kulea damu yake, anaweza kumkimbia mwanamke aliyezaa nae lakini kamwe hakimbii jukumu la kumlea mtoto.
Iwapo mwanaume rijali atamkimbia mwanamke aliyezaa nae...
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote...
Ndugu zangu wanaJamiiForums habari?
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Katika utafiti wangu wa miaka kadhaa hatimaye nimebaini kuwa maombi hayatuepushi na mabalaa yeyote kwenye hii dunia.
Na kuna muda huwa nachelea kuamini ile dhana ya kwamba kila kitu kilishapangwa, japo kwa...
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu
Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha
Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.