Nchi yetu bado ni maskini sana licha ya utajiri mkubwa sana wa rasilimali asilia (Madini, misitu, Ardhi, Maliasiri,n.k).
Hivyo ili kuondoka kwenye dimbwi na Korongo la umaskini tunapaswa kupata viongozi wenye maono makubwa sana na uthubutu ktk nyanja zote zinazohusu maamuzi yenye kubeba hatima...
Malezi anayopewa mtu utotoni kwenye mambo na matukio mbalimbali ndani ya familia, jamii na taasisi mbalimbali kama za kidini, shule na mpira vina uhusiano mkubwa na tabia na ufanisi wa mtu huyo wakati wa utu uzima.
Kama utotoni ulipigwa sana kuna uwezekano mkubwa na wewe kuwa mpigaji wa watoto...
Mudathir wakati yupo Azam FC alikuwa mwishoni wa mkataba wake akaenda kuzungumza na uongozi wa Azam kuhusu kuingia mkataba mpya na akataka kuongezewa mshahara.
Viongozi wa Azam FC na tajiri wao Yusuf Bakhresa wakamwambia sawa ila nenda tunajadili kisha tutakupigia simu. Baada ya muda akiwa kwao...
Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa anaepiga vibarua vya kutengeneza simu mtaani.
Sasa Jamaa wakati akiwa ofisini na mtoto wa kufikia mwenye umri wa miaka 14 yule dogo akaidondosha chini simu ya mteja.
Ikumbukwe kuwa jamaa huwa anamkatazaga Dogo asiwe...
Taarifa zilizovujishwa na waliokuwa maofisa wa ujasusi nchini Marekani kwa gazeti la Wall Street (WSJ) zimewaacha watu wakiduwaa. Inadaiwa kuwa, mtandao wa Shirika la Upelelezi la Marekani (CIA) nchini China, ambao ulivunjwa kwa utaratibu maalum na Shirika la Upelelezi la China muongo mmoja...
Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani?
Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku kwa baadhi ya shule ambazo zimekuwa zikiwafukuza wanafunzi baada ya kuwa na matokeo mabaya katika matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili
Waziri Mkenda amepiga marufuku hiyo, Jumanne Januari 9.2024 Jijini Dodoma...
Mama Samia hongera kwa kazi nzuri.
Kwa hayo niliyotaja hapo juu yalifanywa na Magufuli bila kutushirikisha private sector. Nakuomba ubinafsishe Kwa private sector ili Selikari ikusanye mapato na kulipana posho nzuri huku tukihakikisha wananchi wa vijijini wenye nyumba za ovyo wanalipia pango la...
Nakumbuka niliwahi kwenda kituo cha polisi kwa kosa flani hivi dogo tu ila ghafla likakuzwa sana ionekane mimi ni muhalifu mkubwa, ni siku niliyojifunza waweza kuumwa kichwa usiku ukakamatwa kwa uzururaji ila polisi wakaikuza kesi iwe unachorea ramani majambazi, sasa kule kituoni huwa wanaandika...
Makazi mapya ya "hiari" ya Wapalestina kutoka Gaza polepole yanakuwa sera rasmi ya serikali, huku afisa mkuu akisema kuwa Israel imefanya mazungumzo na nchi kadhaa kwa ajili ya kufyonzwa kwao.
Zman Israel, gazeti la The Times of Israel ambalo ni dada wa Kiebrania, limegundua kuwa muungano wa...
Dozi 24 za Kuzuia Watoto Wetu wa Kiume kuwa Mashoga!
Denis Mpagaze
_________________________
Ushoga unakuja kwa kasi sana! Wahanga ni watoto wetu wa kiume. Unajua kwa nini?
Ni kwa sababu tumewatelekeza watoto wa kiume. Nguvu nyingi tumeelekeza kwa watoto wa kike.
Kuwainua watoto wa kike ni...
Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia
Mfano eti unamsifia...
Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka.
Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214...
I know am not perfect na sio kama najisifia humu ila mwanangu akifata hulka yangu ya uchapakazi katika nyanja ya kazi za kawaida na zile za uchumi itakuwa bonge la blessing sana kwangu.
Vipi kwa upande wako, ungependa mwanao afuate tabia, mwenendo au hulka gani nzuri uliyonayo?
Karibuni.
1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi/ Ufisadi
5. Dhuluma
6. Rushwa
7. Uwongo/ Kudanganya
Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
Magari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM.
Hii sio fair kabisa.
Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao.
Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?
Bila shaka Mko Pouwa!
Makonda amesema mbele za Watu kuwa hatalipa Kisasi, kumaanisha kuwa kundi kubwa la Watu analoliambia kuwa hatalipa Kisasi linajua mabaya aliyofanyiwa Makonda.
Hapo kwa upande wangu nimeachwa kidogo kwa sababu sijui nini na kina nani walimfanyia ubaya Makonda mpaka kufikia...
Lengo la sera ni kuondoa changamoto zinazoikabili jumua/jamii, mfano tunayo changamoto ya umeme katika taifa letu, bunge limekaa kikao cha kupitisha sheria/sera ya umeme kwa kumgaia udhibiti na mamlaka shirika la umeme kudistribute na allocate eletricity, halkadhalika EWURA, LATRA, CNA CAG vyote...
Pana matakataka mengi yanafanyika Serikali hasa kwa watumishi wa umma inatakiwa mamlaka ilitazame hili.
Huu utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi je ulizingatia afya ya akili ya aliyebuni utaratibu huu?.
Unakuta mtumishi kapata kesi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.