mabaya

Mabaya is a surname. Notable people with the surname include:

Brice Mabaya (born 1986), Chadian footballer
Jean-Philibert Mabaya (born 1949), Congolese politician

View More On Wikipedia.org
  1. Abdul Said Naumanga

    Dodoma: Mahakama Kuu Yabaini Upendeleo Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili, Yamtaka AG Kuacha Matumizi Mabaya ya Mamlaka

    Mahakama Kuu ya Tanzania masijala kuu ya Dodoma imebaini upendeleo katika muundo wa Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili (National Advocates Ethics Committee) baada ya Wakili Peter Madeleka kuwasilisha shauri la kikatiba akipinga wajumbe wa kamati hiyo, akidai wana mgongano wa kimaslahi...
  2. Stuxnet

    Kwa Yanayoendelea Jeshi la Polisi, “Tume ya Haki Jinai” Ilikuwa ni Matumizi Mabaya ya Fedha Zetu

    Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa na Wilaya na Taasisi zote zinapaswa kuzingatia maelekezo ya Rais ambaye ni Mkuu wa Nchi...
  3. A

    DOKEZO Utoaji tenda Arusha DC kuna harufu ya Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka, mfumo wa NeST unachezewa

    Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu. Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa ikifanya michezo michafu kwenye utoaji wa tenda wa kukusanya ushuru wa Halmashauri pamoja na kuchezea mfumo...
  4. R

    Uteuzi wa wazee waliostaafu umewafanya watumishi wa umma kutojiandaa kustaafu; viongozi wana matumizi mabaya ya fedha wakiamini watateuliwa wakistaafu

    Nchi yetu wakuu wa taasisi na vyombo vya ulinzi kwa miaka ya karibuni awastaafu ila wanabadili kazi. Wanastaafu leo kesho anateuliwa mjumbe wa bodi au balozi. Matokeo ya mfumo huu hakuna kiongozi wa taasisi anayestaafu akiwa na biashara visible au kampuni inayoajiri hata vijana watano. Wao pesa...
  5. L

    Msigwa, Sasa ni muda wa kueleza mazuri ya CCM ukirejea yale uliyokuwa unasema ni mabaya

    Ndg yangu Msigwa habari! Nimefuatilia kiasi kikubwa mikutano uliyopewa nafasi kutoa hotuba yako. Nindhani tutakuwa tumekuelewa. Sasa itakuwa ni vizuri utueleze na uzuri wa huko uliko hamia CCM. 1. Kama rushwa haiko. 2. Maneno aliyosema Nape kama si...
  6. BLACK MOVEMENT

    Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  7. Tlaatlaah

    GenZ wadhibitiwe vikali vinginevyo Kenya itadumaa na kusinyaa kiuchumi

    kadiri muda unavyokwenda wanagawanyika na kupingana wao kwa wao, wanapoteza malengo yao ya msingi waliyokua wakihitaji yazingatiwe na kufanyiwa kazi na Serikali. hivi sasa wanapoteza uelekeo kabisa kutoka maandamano ya amani hadi maandamano ya ghasia, uporaji na uharibifu.. kiufupi, madai mapya...
  8. R

    Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  9. X

    Chama cha Rais Macron na Chancellor Scholz vyapata matokeo mabaya uchaguzi wa Bunge la Ulaya

    Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7. Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya...
  10. Manyanza

    Lucas Mwashambwa una matumizi mabaya ya chuki

    Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, ndugu Lucas Mwashambwa, Sio bure kazi unazozifanya za kukichafua Chama Cha Demokrasia na Maendeleo zinaonyesha kabisa wewe ni mtu ambaye umetumwa na unalipwa hatufanyi kutoka rohoni, nikirejea uzi wako wa jana kuhusu Makamu Mwenyekiti wa Chadema ndugu...
  11. Mr Mlokozi

    Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k? Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
  13. BARD AI

    Je Biblia inajipinga yenyewe katika maandiko yake mfano Zaburi 109 inapingana na Mathayo 18:21?

    Zaburi 109:Hii ni zaburi ya Daudi inayojulikana kama "Zaburi ya Kulaani." Katika zaburi hii, Daudi anamlilia Mungu awaadhibu maadui zake kwa maneno makali na malalamiko mazito. Mfano, katika Zaburi 109:9, Daudi anaomba Mungu, "Watoto wake na wawe mayatima, na mke wake awe mjane." Mathayo...
  14. Wimbo

    Hayati Magufuli kama kuna mabaya yake tumwachie, mazuri yake twende nayo

    NIiwakumbushe tu kitu kimoja, ukiyabeza ya mwenzio ya kwako yatafanywa hivyo hiyo. Nizungumzie kitu kidogo tu cha usafi wa mazingira yetu ambalo lilikuwa ni maono ya kwanza ya JPM alipoingia madarakani, na ikapitishwa siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi watu wote tufanye usafi wa maeneo yetu...
  15. K

    DOKEZO Matumizi mabaya ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Kakokonko

    Habari za jioni watanzania wenzagu. Leo nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu aliyeko kigoma na kunihadithia matukio ya kuttisha na nimeona nilete hapa wa watalam tusaidiane. Kwanza ameanza kwa kunitumia ujumbe ulioandikwa na mwananchi wa kawaida nami naomba niuweke hapa wote...
  16. pombe kali

    Matumizi mabaya ya neno 'Mlonganzila'

    Mlonganzila ni jina la Hospitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na hii inatokana na hosipitali huwa kujinasibu kuwa wana uwezo wa kufanya BBL yaani Brazilian butt lift...
  17. Tlaatlaah

    Ni mazoea mabaya kuombaomba kuchangiwa mara kwa mara

    Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa. Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao hawawezi kukataa kuchangia kwasabb wamefundishwa utamaduni kutoa. Utamaduni na malezi haya sio...
  18. Abraham Lincolnn

    Watanzania tuungane kupinga mabaya haya ya awamu ya sita

    Kwa umoja wetu, Tukiamini sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Na kamwe watawala hawajawahi kuishinda nguvu ya umoja wa umma ambao ndiyo sisi watanzania, Tuungane kukemea, Kupinga na kuchukua hatua ikibidi kuwalazimisha kung'atuka au kutokurudia makosa kuwarudisha katika viti vyao wakati wa...
  19. K

    Pre GE2025 Vyama vya siasa vitumie Uchaguzi wa Serikali za mitaa kama kipimo Cha kujitathmini uchaguzi mkuu

    Kiutawala, mitaa ,vijiji na vitongoji ni ngazi iliyo karibu zaidi na wananchi na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,vijiji na vitongoji ndio kipimo Cha vyama vya siasa kujipima kukubalika kwao na wananchi walio wengi. Hapo ni Kwa muundo wa Serikali ,mitaa ,vijiji na vitongoji ndio ngazi ya karibu...
  20. Maleven

    Dua ya kuku haimpati mwewe ila naombea mabaya Mamelodi

    Eeh Mungu ikikupendeza, Mamelodi awe wamwisho, awe namba nne. Afungwe mechi zote. Amen
Back
Top Bottom