Katika hali ya kipekee leo Rais katika zuara yake Masasi Mkoani Mtwara amepokea kero mbalimbali lakini kero hii ya mahusiano amewataka viongozi wakae. Ni kweli zipo kero nyingi lakini kero inapofikishwa kwa Rais inapata uzito.
Kero hii inaonesha bado tuna safari ndefu sana katika utekelezaji...
Wiki nzima hii umeme unakatila ghafla kila siku Dar es Salaam, tena mara kadhaa hata mara 5 kwa siku tofauti na wiki 2 zilizopita.
Ni ajabu hii imeanza baada tu ya Makamba kuondoka Wizara ya Nishati. Hii nchi kila siku zinazopita inazidi kurudi nyuma. Inatia hasira sana.
Hapa ninapoandika...
Nimebaini kuwa adui mkubwa wa Taifa la Tanzania kwa sasa ni Dk.Tulia Ackson ambaye mambo yote machafu yamefia mikononi mwake na taifa likiwa halijua linatokaje kwenye mkwamo huu. Mfano wa mambo yaliyofia mikononi mwa Tulia na Bunge lake.
1. Mkataba wa Bandari Serikali iliupeleka Bungeni tangu...
Siku zote kocha huwa analaumiwa kwa matokeo mabaya kutokana na yeye ndie anaefundisha na kuchagua wachezaji wa kuanza kwenye kikosi. Sasa nyinyi mnaolazimisha Phiri apangwe, je, akipangwa na matokeo yakawa mabaya nani atawajibika?
Ni kawaida kwa mchezaji aliekuwa tegemeo kupoteza namba baada ya...
Mmiliki wa X, ambayo awali ilijulikana kama twitter, ametangaza kuwasaidia watumishi waliotendewa vibaya kazini kwa kushiriki kwao mijadala katika mtandao huo.
Elon, amewataka watumiaji wa mtandao wake wamwambie mistreatment kutoka kwa waajiri wao walizozipata baada ya ku-like au kupost kitu...
Polisi wa tanzania tumesoma na kusikia malalamiko mengi sana juu yao, mpaka inakuwa vigumu kuanza kutafuta mema yao.
Tunaona kuwa Polisi ndiyo wamekuwa chimbuko la rushwa, imefikia mpaka kuna msemo mitaani "kuingia kwa pesa, kutoka kwa pesa"
katika mema yao machache ni pale tunapoona kwenye...
Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga...
Wanywaji hili mnalifahamu vizuri kuwa pombe hainaga majina mabaya, majina yake ni mazuri mfano; Common, Washington, Kiboko, Mamba.
Sasa na wewe kama unafahamu majina mazuri yanayosumbua huko baa share hapa tuzidi kudumisha utamaduni wa Mwaafrika ndugu zangu.
Ifike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee.
Mzee wetu Magufuli hatunaye tena na sasa ni zamu ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Mh. Rais anapambana kama Mwanamke tukumbuke hata mngemvisha...
Viongozi sita wakiwemo Mashekh wawili wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Wilaya za Meatu na Bariadi mkoani Simiyu, wanadaiwa kusimamishwa uongozi wao kwa muda usiojulikana kutokana na tuhuma mbalimbali wanazodaiwa kutuhumiwa.
Imedaiwa kuwa viongozi hao walisimamishwa na Mkutano Mkuu...
siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani...
Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs..
Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0
Na Kila mtu aseme ameen
“Kama kuna mtu yeyote ana maneno yoyote ya mambo yasiyofaa yamefanyika kwenye wizara yetu [Wizara ya Nishati], aje ayaseme, alete ushahidi, tuzungumze.” - January Makamba, Waziri wa Nishati.
---
Wakuu! Habari za muda huu, sijui ni nani anayewashauri hawa TANROAD wa Iringa, mwezi wa pili mwanzoni waliipa tenda ya kuziba viraka kwenye Barabara ya Iringa to Dodoma Kampuni iitwayo TS Solutions (T) Limited ya Kipunguni, Kizinga area Dar es salaam.
Kampuni hii imefanya kazi hiyo katika...
Habari wakuu,hamjambo?
Njlikua na jamaa yangu akinisimulia jambo nikafikiria Sana kuhusu hawa wazee wetu kwa matukio yao Kama ifuatavyo..
Wengine wao walikua na tabia ya kujihusisha kimapenzi na wajukuu,watoto na ndugu wa karibu,kwanini nasema hivyo?
Kuna kijana wa kike mdogo na msumbufu...
Jitu linaingia Kibanda Umiza halafu Wachezaji wa Wydad Casablanca FC wanakosa Magoli linaumia kweli kweli wakati lenyewe lina Kazi kweli leo kwa Wapopo ( Wanaijeria ) ambapo nina uhakika litafungwa tu.
Mtoto anakosea na kurudia na humchapi kwa kuiga dunia ya mbele kwamba asiumie lakini mzazi anajizima data kwamba hapa bongo adhabu zake huwa ni vipigo kwa mtu anaezingua, mtoto kaiba huko akidhani kwamba ataonywa kama ilivyo kwa daddy na mommy, matokeo yake anapokea kichapo kizito sana ambacho...
Simba na Yanga wakizifunga timu za nje ya nchi furaha Yao isiwe kweñye madirisha ya nyumba za washabiki wa Simba au Yanga. Wafurahie bila kuitaja Yanga au Simba. Hii itaukata mnyororo wa timu hizi kuhujumiana kwenye mechi za kimataifa.
Ili mpira wetu ukue lazima timu zetu zifanye vizuri...
Anaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone...
Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie.
Nitatoa mifano 5
1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.