mabeberu

  1. Lissu yuko sahihi - yafaa tujifunze kuishi na "mabeberu"

    Katika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi. Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya...
  2. Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  3. CCM kumuita Lissu kibaraka wa mabeberu haitusaidii. Watanzania ni waelewa sana

    CCM let's be matured, hii propaganda ya kumuita Tundu Lissu kibaraka wa mabeberu imebumba tutafute neno lingine zuri la kummaliza. Kutumia hili neno hakujabadili kitu kabisa mtaani kila ninapopita sioni sehemu yeyote akiitwa Bebebru zaidi ya kuitwa Mkombozi, mimi sijui ni mkombozi wa nini...
  4. Kwanini Msemaji wa Serikali anadanganya Umma juu ya Mikataba ya Madini?

    Na Thabit Jacob Nimeangalia mahojiano kati ya @TZMsemajiMkuu na Salym wa @bbcswahili Jioni hii. Msemaji Amesema serikali ya awamu ya tano imeboresa sana uwazi kwenye sekta ya madini na mikataba. Huu ni upotoshaji na naomba niweke ufafanuzi na ukweli halisi. Thread Kwanza kabisa, wananchi wengi...
  5. Uchaguzi 2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

    Wanabodi, Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, kwa sisi Anglophone Africa ni our colonial master, The British na shirika lao la habari la kibeberu la BBC London, na kwa Francophone Africa ni France na RFI na F24 TV. Sasa inapotokea chombo kama BBC London...
  6. Uchaguzi 2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

    Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni. Nautafuta Ubeberu wake siuoni. Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa. Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu...
  7. Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

    Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Haya ni baadhi ya aliyoyasema: ====== Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu! > Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
  8. T

    Uchaguzi 2020 Anayewatukana mabeberu 'wazungu' ajitafakari upya

    Sijui ni upofu au ni chuki binafsi na wapinzani. CCM wanatukana 'mabeberu' bila kukumbuka kuwa bila hawa 'mabeberu' hata huo uchumi wa kati tusingefika. Ni kweli 'mabeberu' wana mabaya mengi walitufanyia na sasa yapo kupitia 'ukoloni mamboleo' lakini CCM hawahawa wamekuwa wakishirikiana na hawa...
  9. Wajue wanaoitwa Mabeberu na mambo yao kwa Tanzania

    Kama zama hizi ambazo dunia haina tena ukoloni, ubaguzi kama ule wa Afrika ya Kusini na ukandamizaji mwingine. Je, hawa Mabeberu anaopambana nao Magufuli ni akina nani? Tunaomba Mataga mtutajie hata Mabeberu watano tu kwa uchache. Ila kwa Mawazo ya haraka pengine Mataga wanaposema mabebebru...
  10. Uchaguzi 2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

    Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million. Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini
  11. V

    Wajinga wanamwita kibaraka wa mabeberu. Wenye Wazalendo na wapenda Haki wanamwita mtetezi na kiongozi shupavu

    Ni vigumu kuelewa ukweli pale akili zinapokuwa zimefungwa kwenye nguvu ya itikadi. Moja ya kazi kubwa ya itakadi ni kupofusha ufahamu wa mwanadamu. Yesu alipokuja kuwakomboa wanadamu kutoka kwenye utumwa wa Shetani, mafarisayo, Masadukayo na miongozi wa dini walimtungia hila nyingi na kumpa...
  12. O

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu usijidanganye; Watanzania siyo wajinga kama wananchi wa Belarus wanaoshinikizwa na mabeberu wamtoe Rais wao madarakani

    Wanajamvi Salaam, Bw. Lissu katika muda wake wakufanya kampeni ya kutafuta wadhamini alisikika mara kwa mara akisema hatokubaliana na matokeo ya uchaguzi yakitangazwa iwapo kama hatotangazwa mshindi, akaenda mbele zaidi akawahamasisha wananchi waingie barabarani kupinga matokeo hayo...
  13. K

    Uchaguzi 2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

    Ndugu Watanzania, Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama. Sasa naanza kuona kwa vitendo kitu ambacho nilitumia my mental image na kuona kuwa nchi fulani zitaingilia uchaguzi wetu huu na viashiria vimeanza kuonekana sasa. Kitendo cha nchi yetu kukaa kwa takribani mwezi mmoja na...
  14. S

    Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

    Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu. Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi...
  15. Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  16. S

    Naomba ufafanuzi toka wafuasi wa CCM na viongozi wao - Mabeberu ni kina nani, ni nchi wahisani au wafadhiri?

    Hivi karibuni hili neno limekuwa likitumika kila wakati, na kuna wakati namsikia hata Raisi Magufuli akilitumia - mabeberu. Nimeona kuwa wakati fulani hata vyama vya upinzani wakiambiwa ni marafiki wa mabeberu. Wakati fulani nimeona kwamba neno mabeberu linaelekezwa kwa mataifa tajiri ya nje...
  17. Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

    Tundu Lissu baada kutua kwenye ardhi ya Tanzania alijawa na furaha ilichanganyika na huzuni, utamu na uchungu. Hakutegemea idadi ya Watanzania waliokwenda kumpokea na mapenzi waliyomuonyesha hakutegemea na yalimfariji sana. Uchaguzi mkuu huu utakua ni referendum juu ya miaka mitano ya Urais...
  18. Hongera sana Jeshi la Polisi kwa kutumia busara kubwa badala ya nguvu

    Asubuhi nilitoa mada yenye kichwa "Tunasubiri kuona busara ya jeshi la polisi wakati wa kurejea kwa Lissu" Niseme wazi kwa mara ya kwanza jeshi la polisi limetumia busara kubwa kutozuia na kuingilia mapokezi ya Tundu Lissu. Hiki ndicho wengi tulikuwa tuna kitaka. Polisi wakijiweka kando katika...
  19. UAE hatimaye wapeleka chombo anga za mbali, wanamaanisha nini kwa mabeberu?

    Baada ya miongo kadhaa umoja wa nchi za kiarabu ujulikanao kama UAE umerusha rocket ya kwenda kufanya uchunguzi anga za mbali. Chombo hicho kinafahamika kwa jina la JAXA (Hope probe) kimeondoia kutokea eneo la Tanegashima huko nchini japani, angalia kwenye picha hapa chini pembeni kwa taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…