mabeberu

  1. L

    Imagine karne ya 21 kiongozi anatumia neno Mabeberu kama silaha. Anajua kweli ubeberu upo hata kwenye biashara ya mchicha hapa nchini?

    Maana nyepesi ubeberu au beberu kama inavyotumika kwa muktadha wa siasa ni ADUI au UADUI. Je, tujiulize hapa kwetu tz hatuna mifumo ya kibeberu makazini, kwa wakulima au kwenye biashara? Kimsingi ukifuatilia hata kwenye biashara ya mchicha ambao huwatunawaona wakinamama wakipitisha mchicha...
  2. Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao. Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema. Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
  3. N

    Wananchi wafurahishwa na serikali ya wanyonge inavyoshughulikia sakata la sukari walaumu mabeberu

    Ni maoni ya wananchi wanyonge sehemu mbalimbali nchini wanaofurahishwa na jinsi wakuu wa wilaya na mikoa wanavyoonekana kwenye TV wakifoka kwa hasira huku wameambatana na askari polisi wenye silaha kuwakamata vibaraka wa mabeberu wanaouza sukari kwa shillingi 4000 hadi 7000(Chanika) kwa kilo ili...
  4. Shirika la Fedha Duniani (IMF) laidhinisha fedha kwa ajili ya Kenya na Uganda kusaidia kupambana na makali ya uchumi

    Shirika la Fedha Duniani leo limeidhinisha fedha kwa ajili ya nchi za Kenya na Uganda. Fedha hizi ni kwa ajili ya kusaidia kupambana na makali ya kiuchumi yaliyosababishwa na janga la Corona. Kenya imepatiwa Dola za Marekani milioni 739 huku Uganda ikipewa Dola milioni 491. ====== The IMF...
  5. Vita Janga la Corona, Rais Magufuli Aanza Kusifiwa Duniani!, Jarida la The Economist 'Lamsifu' JPM Kumtegemea Mungu!, Ni Uamuzi Sahihi?, Utatuokoa?

    Wanabodi, Asubuhi ya leo, nimepata tena fursa, kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni makala za kuhamasisha uzalendo na huendeshwa kwa mtindo wa maswali, yakifuatiwa na hoja, kisha majibu uyatoe wewe msomaji mwenyewe. Mada ya leo ni kuhusu hatua mbalimbali...
  6. CNN, Sky news, Aljezeera, BBC, New York Times, Daily Mail, CBS, DW, Finacial Times vyaunga mkono hotuba ya Magufuli kuhusu Test kits

    Msimamo usioyumbishwa! Hiyo ndiyo picha aliyoitengeneza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kueleza waziwazi mashaka yake juu ya mashine zinazotumika kupima sampuli za wagonjwa wa Corona. Akizungumza kutokea Chato, mkoani Geita wakati wa hafla fupi ya...
  7. Mabeberu waendeleza vita ya uchumi juu ya biashara ya dawa za Corona. Madagascar wadindisha na kusimamia ukucha kuhusu dawa yao ya ‘Covid organica’

    WHO imeendelea kuikandia dawa ya ‘Covid organica ambayo rais Magufuli ameahidi kuiagiza ili kunufaisha waTanzania, kwa kuwa dawa ya Corona ni fursa kubwa sana ya kiuchumi, mabeberu wameendelea kuiponda dawa hiyo wakati wakijiandaa kuiachia dawa yao ambayo itakuwa approved na WHO ili matrillioni...
  8. Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

    Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais. Nanukuu "Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe" Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni...
  9. N

    Siri nyingine ya mabeberu kutuandama hii hapa, tuna swag sana, tupo pazuri

    Niliangalia ile hotuba ya Profesa Kabudi United Nations General Assembly kimoyomoyo nikasema tumekwisha aisee, yaani kamera ilikuwa iki pan na ku-zoom kwa mabeberu unaona jinsi yanavyokunja uso kwa WIVU haswa pale profesa wetu bobefu la sheria na diplomasia liliposema kwamba ndani ya miaka...
  10. Virusi ya corona: Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa corona - yaonya WHO

    Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa virusi vya corona, Shirika la Afya duniani WHO limeonya. Kumekuwa na ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa huo wiki iliopita. Kumekuwa na zaidi ya visa 1000 na zaidi ya maambukizi 18,000 kote barani Afrika kufikia sasa , ijapokuwa viwango hivyo viko...
  11. Mema na mabaya ya mabeberu

    Habari, Niwape pole kwa mapambano makubwa ya kujiepusha na athari zinazotokana na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona. Moja kwa moja tuangalie mambo yanayofanywa na jamii ya wazungu kama tunavyofaham,iwe ni Wa kutoka bara LA america au ulaya. Jamii hii na mataifa yao...
  12. Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

    Mtoto wa Mbowe anaeitwa James Mbowe amesema kuwa ugonjwa wa korona ni janga la kitaifa na halipaswi kufanyiwa mchezo wala mzaha. Amesema kitendo cha Mh. Makonda ni kitendo cha kushangaza kwa kuwa amejivika usemaji wa familia ya Mbowe kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa ugonjwa wa korona umepiga...
  13. N

    Zimbabwe yafanya toba kwa mabeberu. Yatunga sheria ya kurudisha ardhi iliyoporwa na utawala wa Mugabe.

    Zim to give back farms taken under land reform programme 20:20 10/03/2020 Crecey Kuyedzwa Zimbabwe has announced plans to give back land controversially taken over under its controversial fast track land reform programme, which started in 2000. The programme, which was criticised for being...
  14. Sura Mbili za Kabudi; Akiwa Bungeni kama mbabe, akiwa kwa mabeberu kama omba omba

    Ukimsikiliza kwenye video clip hapo anasema Tanzania haiwezi kumpigia magoti beberu. Bunge la mwaka 2019; Jana alikuwa huko Ubeberuni kumpigia magoti Under Secretary Of State Tibor Nagy ili kuboresha mazingira ya biashara na usalama, kwa ahadi ya fair and free elections. My Take: Prof Kabudi...
  15. CORONA VIRUS(COVID_19) Ni mbinu ya CHINA kuzima maandamano ya Hongkong na Alarm kwa Mabeberu juu ya biological warfare ya CHINA.

    Ni wazi kwamba China isingeliweza kutumia mbinu ya kuzima maandamano ya Hongkong kwa nguvu kama ilipotumia nguvu kubwa kuzima maandamano ya Tianamen kati ya juni 3 na juni 4 mwaka 1989 iliyopelekea kuuawa kwa watu zaidi ya 1000 China imeona hatari kubwa ya kugawanywa kulingana na vugu vugu...
  16. Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

    Wanabodi, Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa? Bandiko hili ni la swali moja...
  17. S

    Mungu wawezeshe mabeberu watimize azima yao maana tumechoka

    Kama yasemwayo kuhusu mabeberu kutaka kusaidia kufanikisha mabadiliko yana ukweli wowote,binafsi naunga mkono kwasababu zifuatazo: Wizi,rushwa ufisadi na kulindana Kikundi hiki cha watu ndio kimetawala hii nchi tangu uhuru na baadhi yao wana tuhuma nyingi za wizi,ufisadi na ubadhirifu wa...
  18. Viongozi wa CCM na serikali waziwazodoe na kuwasema mabeberu. CCM ikishinda tena uchaguzi wa 2020 ifanye mambo yake kimyakimya.

    Zile kauli za kwamba "wameichezea sana hii nchi", au "wametunyonya sana" au ziwe ni historia. Mabeberu wote wana tabia kubwa moja, nongwa. Ukisema kitu kimoja hadharani wao wanakirekodi na kukiweka ili kije kuwa ni kumbukumbu juu yako wewe mwenyewe. Hivyo jitihada zote za serikali ya awamu...
  19. Mabeberu ni Mabeberu tu hata iweje ni Mabeberu na ni Manyonyaji hatari mioyo yao inatuona sisi nyani na Midomo yao inatuhurumia kinafiki

    Hawa watu hawapendi sisi tule bata wanaamini sisi ni nyani wa kula mizizi tu wanaamini raha so Dunia wameumbiwa wao Trump alivyotuita Choo hatukutaka kusikia ukweli wa vile moyo wake usemavyo tukamlazikisha atamke unafiki wa mdomo wetu Vijana wajinga mbumbumbu nimewashangaa kujadili kauli za...
  20. Kilichonishangaza kwenye Taarifa ya habari, ni chombo kimoja kilichorusha habari ya Makonda. Huu ni utaratibu mzuri dhidi ya Mabeberu

    Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu ==== Edit: Azam TV wamei-cover habari hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…