machafuko tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vito vinaweza kukusaidia sana wakati wa vita au machafuko makali

    Wakati wa vita au machafuko makali mara nyingi thamani ya pesa hupungua kwa kasi sana, au hata kupotea kabisa(mtu anagoma kukupa huduma hata kama una pesa.) Anajua makaratasi hayo yanaweza kumfia. Lakini ukiwa na kitu kama dhahabu au silver mtu anakuwa na uhakika kuwa thamani yake haiwezi kufa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Makala: Rais wa kivuli, mvutano ndani ya CCM, nguvu inayoongoza machafuko Tanzania

    Makala ya uchunguzi iliyotolewa na Lens TV imeibua mjadala mpana baada ya kutoa maelezo ya kina kuhusu misukosuko ya kisiasa iliyoikumba taifa letu Tanzania kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025. Makala hiyo inadai kuwa machafuko hayo hayakuwa ya ghafla, bali yalitokana na mgongano wa muda mrefu...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madenge kasema kwamba wao wamepokea $2M. Sielewi kwanini mnamtukana wakati inajulikana kabisa watu wanalipwa?

    Madenge leo kaamua kunyoosha maelezo kwa kutoa shukrani za kupokea pesa ila watu wamebaki wakitukana, $2M ni nyingi mno ni kama bil 5 za kitanzania kwa mahesabi ya haraka haraka Pia niendelee kutoa pole kwa wale waliofuata mkumbo
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 DW: Abdul ni msuka mikakati na mkuu wa Idara ya Ujasusi Tanzania asiye rasmi, Kikwete amechukua nafasi kubwa kuhakikisha Samia anaendelea kuwa Rais

    Taarifa ya DW swahili iliyosoma na Bakari Ubena wamemtaja Mtoto wa Rais Abdul kama mshauri Mkuu wa Rsis, Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa asiye Rasmi na Mtu aliye nyuma ya Mateso ya Mauaji ya Waandamanaji na Msuka mikakati nyuma ya Mama yake asiye rasmi. Abdul Anatuhumiwa kuwa ndiye Msuka...
Back
Top Bottom