macho

  1. B

    Bajeti ya Dawa ifutwe ni kiini macho na Upigaji wa Wazi

    Nimefika katika hospitali mbali mbali ndani ya msimu huu wa mafua ya kawaida na sikukuu za mwisho wa mwaka. Katika hospitali zote nilizokwenda kama mgonjwa au kupeleka wagonjwa nimethibitisha tashwishi yangu kuhusiana na bajeti ya dawa. Hakuna wagonjwa wanaopata huduma ya dawa. Dawa zote...
  2. Hayati Magufuli aliwafumbua macho Watanzania juu ya ufisadi na wizi mali ya umma, sasa Watanzania wapo macho kodo

    Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G. Kila mtanzania amepata jibu kuwa pesa...
  3. D

    Wazazi Tusifumbie macho mambo haya! Mwisho wake huchangia ukatili wa kinyama (kuna wajibu, haki na sheria)

    Nilipokuwa mdogo niliamini Jeshi la Polisi ni taasisi inayo mulika kila mahali! Niliamini Polisi ni Dubwana kuuubwaa lenye kuona yaliyopita, yaliyopo na yajayo! Hii Imani ilinifanya nivimbe kichwa na kutembea kifua mbele! Sikuogopa ujambazi kwasababu niliamini jeshi lipo! Nilikatiza popote...
  4. Huenda Polepole ni changa la macho. Huenda ni upinzani feki unaojengwa na CCM yenyewe

    Sielewi anapambana na nani, kwanini na kwa sapoti ya nani? Na vipi anaweza kutumia vyombo vya habari vya CCM kujenga falsafa binafsi za siasa. Kama ni mpinga utawala uliopo anangoja Nini kujiondoa CCM. Kila nikitafakari namuaona ni uvimbe ndani ya CCM.
  5. Shamimu Mlacha yala yala hayo macho yako

    Wakuu huyu mtoto ana jicho tamu walahiii, jicho likikuangalia kidogo tu unatoa PIN za Mpesa. Huyu mtoto amekuwa akinifanya kuhama naye kila kituo anachohamia ili nikimfuata. S asa hivi niko TBC kumfuatilia. Kwa mtu anayejua kama ameolewa au lah, mwenye namba zake za simu pia napokea. Kwa...
  6. #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  7. Watanzania msisahau kuna watu walitaka kuleta kampuni ya kuzalisha mvua kwa kupiga mabomu angani, tuwe macho

    Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCCM ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania. Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana...
  8. Rais Samia ni mkombozi au tunafumbwa macho?

    Wanabodi, Nchi za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zilipata maafa makubwa sana baada ya vita vikuu vya pili vya dunia. Katika kipindi hicho ambacho Umoja wa Mataifa uliundwa, mpango wa kuzisaidia nchi hizi uliandaliwa. Hiki ndicho kipindi ambacho misaada na mikopo ilitumiwa kwa mara ya kwanza...
  9. N

    Kumbe wenzetu ngozi nyeupe wanaendesha teknolojia kwa uchawi, leo nimeshuhudia kwa macho yangu

    Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini. Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho...
  10. Kukiri kwa viongozi wa CCM kuhusu Maalim Seif kutufumbue macho kuhusu kinachoendelea kwa Wapinzani nchini

    UKIRI WA VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI YAKE KUHUSU MAALIM SEIF, UTUFUMBUE MACHO KUHUSU YANAYOENDELEA KWA FREEMAN MBOWE NA WAPINZANI WENGINE! Tulikuwa Zanzibar kuhudhuria Uzinduzi wa Maalim Seif Foundation. Tuliwasikiliza vizuri viongozi waandamizi wa CCM na Serikali yake, wastaafu na waliopo...
  11. Masalange; Kero ya usafiri katika mabasi iliyofumbiwa macho

    MASALANGE; KERO YA USAFIRI KATIKA MABASI ILIYO FUMBIWA MACHO! Masalange au kama wanavyo penda kuitwa, Maafisa usafirishaji kwa kimombo " BUS AGENTS" ni watu ambao wamekuwepo katika kila Stendi za mabasi ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri kwa abiria waendao maeneo mbali mbali nchini na nje...
  12. Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

    Yaani wengi watadhani ni as mulizi tu za Jomba Buji, lakini huku ndiko haswa tulikotoka 1. NGOMA YA MDUNDIKO Zama zile MDUNDIKO ulipita mtaa kwa mtaa jijini, ni mwendo mpwitompwito, nyimbo, ngoma, matusi, mikatiko, yaani kivumbi na jasho, unatoka kwenu Buguruni unajikuta uko Kawe Mzimuni, na...
  13. N

    Chinese Vs. Tanzanians. Kuna Tatizo Serikali Inalifumbia Macho

    Ndugu zangu, kuna tatizo kubwa humu nchini ya ki usalama linaloendelea dhidi ya watanzania linalosababishwa na Wachina. Katika Miradi mikubwa inayotekelezwa na Wachina kuna sehemu ndogo za Mradi ambazo zingetekelezwa na Watanzania, lakini tatizo ni kwamba, hakuna kampuni ya Kichina inayoweza...
  14. Kuna wakati macho na masikio huwa yanatudanganya

    Kazi ya macho ni kuona, vile vile kazi ya masikio ni kusikia, Lakini sio kila tunachokiona au kukisikia kina ukweli ndani yake, Kuna wakati macho na masilio hutudanganya mfano: unaweza kuona samaki yupo mtoni kwenye kina kifupi cha maji kumbe yupo chini ktk kina kirefu tofauti kabisa na...
  15. S

    Zile ndege mpya ni mali ya Zanzibar - Kilichotokea ni kiini macho

    Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa. Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?
  16. N

    Hili ni punguzo la tozo za mafuta au ni kiini macho?

    Taarifa ya EWURA iliyopandisha bei ya mafuta kwa kiasi cha Shilingi 12 kwa lita eti inatufahamisha kuwa kuna punguzo la tozo katika bidhaa za mafuta! Ninajiuliza sasa kama kweli tozo zimepunguzwa si ina maana bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi cha Shilingi 12 zilizotajwa? Ninajiuliza sasa...
  17. Kwanini watu hulala bila kufumba macho?

    Habari za mda huu. natumaini wote ni wazima wa afya Kama sio Mungu akusaidie upate afya njema Watu wengi huzoea kwamba tunalala huku tumefumba macho,ila asilimia 13-14% ya watu dunian hulala bila kufumba macho ,inawezekana hatupo aware kwamba tunalala huku tumefumba macho au la kwa sababu...
  18. Kuna kundi limejipanga kuliibia taifa letu kwa udi na uvumba. Watanzania tuwe macho

    Hili kundi ni wanaCcm ambao wanajifanya wanaakili nyingi za kutuibia watanzania. Huko nyuma wametuibaia sana kwa kila namna, kwa kukwepa kodi, kukwapua pesa za umma na kujilimbikizia mali. Hawa watu hawafai kwa udi na uvumba. Sasa hivi ndio wanamuongoza chief wetu kwa kila namna. Kama taifa...
  19. Bilioni 20 alizotoa mwekezaji MO Dewji kwenye club ya simba ni changa la macho?

    Nimefuatilia kwa ukaribu mahojiano ya mwenyekiti mpya wa bodi ya club ya simba bw. Salum Abdallah katika kipindi cha sports HQ kinachorushwa na kituo cha redio cha E-fm, nimegundua kuna ukanjanja mkubwa kuhusu bilioni 20 alizotoa mwekezaji Mo Dewji katika club yake hiyo ya simba. Kama...
  20. M

    Hivi Rais Samia anavalishwa kweli Majoho ya Kimila au anafanyiwa tu Ushirikina uliochangamka kutoka Mwanza na Dodoma?

    Endeleeni tu kutufanya Watanzania wote ni hamnazo ( tuna Akili za Kipa Katoka ) hivyo mtatuzuga kwa kila namna wakati tuliobobea kwa Mambo hayo ( japo Juzi tulizidiwa na wa Yanga SC ) tumeshajua nini Kinaendelea. Naona kabla hajaiacha Ardhi ya Tanzania kwenda kwa Joe Biden Wasukuma kupitia Zuga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…