Kwa heshima na taadhima ni maombi yetu/yangu mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea hapa chuoni Korogwe kwani tangu Mkuu wa Chuo aliyekuwepo kupandishwa cheo, kumekuwa na hali ya taharuki upande wa chakula.
Chakula hakieleweki kwani chakula kinachopikwa ni zaidi ya...
Nimekuwa nikijaribu kutafakari sana lakini imefikia niyaweke haya wazi! Kitu kama bendera ni tunu muhimu sana kwa nchi! Lakini nikipita mtaani naona mauzauza sana hasa ktk aina za rangi na nakshi ktk bendera yetu murua hii ya Tanzania.
Naomba mnisaidie kama haya ni shida ya macho yangu tu au...
Kwenye sanaa kuna mambo mengi ikiwa na uandishi na uchezaji wa maneno, lakini kuna hili limeongezeka wanaita muziki biashara,
Kwenye wimbo mpya wa Stamina amecheza karata turufu, tetesi zilizokuwa zikiendelea mtandaoni kuhusu ndoa yake kazitumia kama fursa ya kibiashara kwenye muziki
Siku...
Wanajamii nisaidieni hii tabia ya baadhi ya mademu kuomba taa izimwe kabla ya Show wanahofia nini? W
engine ukitext unakuta inakaba vizuri nyingine zinalegea na kuburuza hadi kwenye magoti zisipozuiliwa na kufuli.
Msaada uzoefu wenu unasemaje??
" Nitasema Kweli daima fitna kwangu mwiko "
Zikiwa zimesalia dk 30 mpira kumalizika vijana wezi , vibaka na majambazi kutoka Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , Keko torori , keko machungwa na baadhi kutoka Chang'ombe husogea karibu na uwanja wa Taifa , wengi hujikusanya kwenye njia panda ya...
Wakuu, hivi ugonjwa wa macho mekundu (red eyes) umeingia Dar. Leo nimeenda nyumba moja nimekuta watu mawili wanaumwa macho.
Kwakuwa nimekaa sana hapo nina wasiwasi nami naweza kupata. Nifanyeje ili usinipate?
Si jingine ni hili la mitandao ya simu inayotoa huduma za kifedha kupandisha kiholela gharama za kutuma na kutoa pesa.
Tumefika huku jamaniiii. Zamani ilikuwa unaweza kutoa kwenye 5000 ukapata 4500. Siku hizi ni BUKU MZEE WANAKATA BUKU KABISA.
WAMEPANDISHA MARA MBILI.
Au mnaonaje wadau...
Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi.
Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria...
Kama ni pesa nakubali watu wana pesa dunia hii, hivi kabisaaa mimi naenda kununua peni kwa hela bei hizi? Labda siwezi jua huko mbeleni.
Ilaa kwa sasa acha niendeleee tu kuziangalia kama hivi na kusoma soma watu wanavyozitumia, ila maamuzi magumu ya namna hii bado sijayafikia.
Niende kwenye hoja..
Ni hivi kama tunavyojua upekee wa mbuga yetu Ngorongoro na hadhi yake mpaka urithi wa dunia unaitambua. Kwa hiyo hata vitu vyake vinatakiwa viwe na standard za kuridhisha ili ikue na ikue zaidi.
Binafsi silidhishwi na standard ya bango la Ngorongoro. Bango hilo ni pendwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.