JE, UNAMUONAJE JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, MACHO YAKO YANAONA KAMA SISI?
Mwendi R.D
+255739333332
Serikali ya awamu ya tano kupitia kiongozi mahili Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli imefanya mambo mengi na makubwa ya kimaendeleo yanayopelekea wananchi wengi ikiwemo wanyonge na wenye hali ya...
Natumai hamjambo wananzengo.
Wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo hakikumpendeza akaninunia hadi tumerudi home.
Tulipofika home akaanza kunisomea "yaani upo na mkeo...
Mabibi na Mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Ama kwa hakika wale chama mboga mboga wana hekima na uwezo mkubwa wa kuona mbali zaidi labda kuliko kina sisi.
Mabwana hawa kwa hakika ndiyo maana mabingwa wao wanavuna buku 7, 7 kila siku ili wadumu!
Hawa mabwana wamesisitiza...
Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu. Pamoja na kuuaminisha umma, tangu kuingia kwake madarani, kuwa anapendwa, anakubalika, anaheshimika na anaaminika kuliko yeyote yule kwenye uongozi...
Kuna sababu zaidi ya 99% kua mgombea wa CCM amepewa ushindi na katiba ya JMT kwa sababu za msingi zifuatazo, labda wananchi waamue wenyewe kutokujali katiba hii.
SABABU ZENYEWE
1. Mwenyekiti wa CCM na mngombea wa Urais ndiye anayewateua mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na makamishna...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2020 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
Ama Kweli! Ukistaajabu ya Musa uyataona ya Firauni. Katika hali isiyotarajiwa wageni waalikuwa zaidi ya 150 katika Sherehe ya harusi ya Ephrahim Jonasi na Bisunga Nyabusani ambaye ni mtumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Kahama (KUWASA) wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamepigwa...
Hii tabia huwa inanikwaza sana halafu ni ya wengi sana! Upo kwenye daladala unatoa simu ujibu meseji au kuanglia kama kuna jipya, sasa jirani yako bila aibu anakodolea macho kwenye simu utadhani inamuhusu!
Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika!
Tuweni wastaarabu jamani
Kaka angu amekuwa mgonjwa wa ulcers ya macho takribani miez 10 now, ametmuia dawa za kila aina hospital lakini tatizo limezid kuwa baya zaid macho yamepoteza kronea na sas hawez kuona tena na madaktar wameconfirm hivo.
Kuna alternative gani naweza solve tatizo la kaka msaada please kwa anaye jua
Wengi wanapenda kulaumu "Waarabu" au "Wazungu" waliowatendea Waafrika vibaya kwenye siku za utumwa. Si wengi wanaozingatia haikuwa kawaida kwa hao wageni "kuwinda" watu (ingawa ilitokea hapo na pale), na biashara ya kawaida ilikuwa Waafrika kuwauza wenzao kwa hao wageni.
Bila mahitaji ya soko...
Ndugu zangu,
Napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai na kutufanya tuione siku ya leo.
Kuna jambo moja hapa nalileta kwenu wadau ili tulifanyie analysis kwa pamoja, ambalo linamhusu huyu dogo, I think you understand whom I'm referring to. Dogo kasema kazunguka sana katika nchi za Ulaya na...
Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall.
#MkutanoMkuuACT2020
#KaziNaBata
#TheFutureIsPurple
=====
UPDATES
======
#UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR
- Chama hicho...
Tunapokula huwa hatulishi tumbo bali tunalisha selihai.
Unapoamka asubuhi Cell hai nazo huwa zinanjaa. So njaa ya ugali nyama bali virutubisho muhimu.
Habari mbaya ni kuwa hata usipolisha selihai hizo vitu sahihi muda huo , zenyewe zitatafuta popote mwilini mibadala kupata hicho kinachotakiwa...
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz )
Mwijaku achukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe. ( globalpublishers )
Aliyekuwa...
Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu. Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao. Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo, naviasa vyombo vya...
Hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa ratiba za chama hicho.
Kamati hiyo ina jukumu la kupitia fomu ya kila mgombea kabla Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM upande wa Zanzibar haijakaa vikao vyake leo vitakavyohitimishwa kesho chini ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohammed...
Mtangazaji kijana wa TBC ambae angalau anaipa tbc heshima ana akili na maarifa makubwa ya tasnia ya habari.
Kijana huyu anayeendesha kipindi cha kuwahoji watu nadhani kinaitwa hivyohivyo Khalid Gangana. Jamaa huyu ukimcheki macho yake kwa wale wanaoujua Mambo ya ujasusi utagundua kwamba ni...
Huu ni uchambuzi mdogo. Msingi wa uchambuzi huu ni matukio yenye shaka katika utawala na siasa za Tanzania kuanzia 2016.
Kuna muda, ndani ya kipindi hicho, wakongwe ndani ya CCM, wakiwemo Pius Msekwa na Benjamin William Mkapa, wamewahi kuonya. Kwamba haifai kwa mtu mmoja ndani ya CCM...
Kwa siku za karibuni Serikali ilitangaza kushuka kwa bei ya nishati ya mafuta. Jambo hili lilifurahisha sana watumiaji wa nishati ya mafuta lakini liliwakasirisha sana wenye vituo vya mafuta.
Kwa sasajinsi inavyoonekana, wenye vituo vya mafuta kama vile wana mgomo baridi. Vituo vingi ukitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.