Wajuzi naomba mnisaidie, kuku wangu wanavimba macho! Yanafumba! Wanasinzia! Pia wanapata choo cha rangi ya kahawia! Niwape dawa ipi!?
========
Zaidi soma: Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni
Ndugu wana jamii Forums waslaam!
nimekuwa na tatizo la macho ambapo hadi sasa ninalazimika kutumia miwani ili kuona mbali kwani baada ya kupima nilibaini jicho moja la kushoto kuwa na uoni hafifu, hivyo nilishauriwa kutumia miwani ili kulinda hili moja la kulia.
Lakini ninashangazwa na macho...
Ninaliona hili kwa hapa Arusha na sijajua kama Serikali inaufuatiliaji wa kujiridhisha uhalali wa kila kinachouzwa kwenye hizi yadi. Kumekuwa na masoko yanayoibuka yaliyosheheni vifaa/vyombo mbalimbali kama Majiko, Meza, Vitanda, Magodoro, TV, Feni n.k.
Ningetamani kama inawezekana kuanzishwe...
Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao.
Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao...
Mabibi na mabwana awamu ya tano imepita na sasa kazi inaendelea katika awamu ya sita chini ya Rais Samia.
Kwamba tupo awamu ya sita itakuwa kutojitendea haki mno kutoyaangazia kabisa madhara ya awamu ya tano kwa awamu ya sita yote chanya na hasi.
Kwa uzi huu itoshe kuyaangazia madhara hasi ya...
Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali.
Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
Haya hayana kificho. Prosecutors wakitaka kukusaidia wanachofanya ni ku-frame charge vibaya..defective charge that can not be cured!
Mwenye kuweza apitie charge sheet aone kama inakidhi vigezo viinginevyo wataachiwa hawa watu waovu
Charge sheet, is the foundation of the trial. Defective...
Awamu ya tano imelalamikiwa sana kuhusiana na ukiukwaji mkubwa wa haki za watu.
Pana watu wengi wameuwawa, wamepotezwa na wengine wamejeruhiwa. Wapo ambao wamefilisiwa, wamenyanyaswa, wako magerezani au mikononi mwa dola hadi sasa kinyume kabisa na utaratibu.
Wapo waliokuwa na dhamana za kutoa...
Habarini wote.
Mimi ni muhanga wa macho nimeyavumilia kwa muda mrefu lakini naona ni too much. Siwezi focus vitu vya mbalii hata karibu hasa maandishi ziwezi somaa.
Naitaji miwani ya bei nafuu nipo Morogoro
Asanteni
Samaki ni chakula bora kwa afya ya macho hasa wale wa maji baridi, kwani wamejaa asidi ya mafuta ya omega-3 ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuzuia macho angavu (kunyauka kwa macho), kudhoofu kwa misuli ya macho na hata mtoto wa jicho. Kama umeshindwa kula vyakula hivi vya baharini unaweza kula...
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na taifa kubwa la Tanzania. Hii ni nini kama sio "Cyberbullying"?
Nimesikitishwa...
TCRA, nawaomba muichunguze kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom kwa kukata fedha unaponunua muda wa maongezi kwa hoja kuwa mteja uliomba/ulijiunga na huduma fulani ambayo hutakiwa kulipia kwa kukatwa fedha mara tu unaponunua muda wa maongezi.
Mimi binafai ni mhanga wa hili jambo kwani...
Ukaguzi wa mwaka 2019/2020 haujafanyika baada ya Mhe. Rais kufariki, ulifanyika akiwa hai na nakala ya vipande vya taarifa hii tayari vilishafika ofisini sema ni tqrehe tu yakuikabidhi ilikuwa haijafika.
Wanaotaka kutuaminisha kwamba taarifa hii imeanza kuondoa legacy ya JPM wanataka...
Kwa ninavyowajua Marehemu wengine ( hasa Kisaikolojia ) walipokuwa Kamili ( Hai na Kinguvu pia ) kuna uwezekano Waombolezaji tungeumbuliwa nao, tungewambwa ( tungezabwa Vibao nao ) na kuna taratibu zingine tunazowafanyia wangezikataa Mubashara tu kwani wangeona ni Unafiki mtupu na Sanifu tu...
Najiuliza ni stimulus gani au ni magnetic gani au ni chemical gani inayosimamisha uume pindi macho yakiuona uke?
Mbona uume hausimami ukiona kucha goti mkono au tumbo? Kuna mawasiliano gani Kati ya uke na uume?
Madaktari tusaidie kujua.
Mimi si kipofu wala si kiziwi.
Uwezo wangu wa kuona na kusikia upo juu.
Hivi hiki ninachokiona kwa macho yangu na kukisikia kwa masikio yangu ni uongo?
Nina maruerue labda? Hayo ninayoyaona ni mazingaombwe?
Kwa nyomi hizi zinazojipanga barabarani mwili wa Rais Magufuli unapopitishwa ndo...
Hayati baba wa Taifa alipong'atuka na kuliacha hili taifa mikonononi mwa warithi wake kwa namna alivyokuwa hapendi rushwa,ubadhirifu na uzembe hakuna mtu aliyetegemea kuwa litakuja kugeuka kuwa taifa la wanaCcm mafisadi na walarushwa.
Mpaka hayati JPM anapewa nafasi ya kugombea CCM ilikuwa...
Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi hawafuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
Kama kuna Wizara ngumu kwa makandarasi nchi hii, basi ni Wizara Ya Maji.
Wizara hii haijielewi katika fani ya ujenzi.
Matatizo waliyonayo wizara hii ni tofauti kabisa na wizara nyingine.
Ni ukweli usiopingika kuwa Makandarasi wabobezi na wanaojielewa hawachukui kazi za Wizara ya Maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.