Habari wakuu.
Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua.
Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen.
Natanguliza shukrani.
Well, hii weekend nlienda kwa mshkaji wangu tuliemaliza nae chuo kimoja, yeye baada ya kusota kitaa akajiongeza hakuenda kusoma masters akafungua studio ya picha na maisha yakawa yanaenda.
Sasa huyu rafiki hadi leo hajaoa na hua namtania sana aoe aache ubachela umri unaenda na kazi anayo...
Inawezekana tusiwe na jina la Kiswahili kwa rangi ambayo mtu huiona anapofumba macho, lakini rangi inayoonekana sio nyeusi
Katika Lugha ya Kiingereza rangi unayoiona ukifumba macho inaitwa Eigengrau sio ‘Black’ kwa maana ya nyeusi
Wakuu naomba kujua bei za frem za plastic za miwani ya macho ni bei gani na ninaweza kununua frem za kawaida nikapeleka waka weka lenz.
Pia naomba kujua bei halisi ya miwani ya macho ya MTU asie ona umbali mrefu.
Kwenye maisha ya mwanadamu Kuna mapito ya kusisimua Sana Sasa Uzi huu naomba tutaje tabibu za hatari ambazo tumewahi kuziona kwa macho na zinazosisimua na kuogopesha. Naanza na nilizoona Mimi binafsi.
1.Sindano ya katikati ya jicho.
2.Sindano ya mgongo .
3. Sindano ya kwenye kisigino.
4...
Habari za boxing day wananchi,
Sisi tulio uzeeni tunafarijika sana kuona kijana Kama Sugu ambaye ameishi maisha ya taadhari zote za kiuchumi akifanikiwa kuwekeza kwenye hoteli huku akiwa hana skendo yoyote ya wizi wa fedha za umma.
Tumezoea kwa miaka mingi miradi ya vijana wa Chama cha...
Dada yangu Hilda, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila binafsi nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda.
Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea hapa nchini, na katika hili la kupinga vitendo...
Natabiri kifo Cha CCM kitatokana na dola kutumba macho. Chama Cha siasa kisichokuwa na wanasiasa kimekufa. CCM inakimbia kwa kasi ya ajabu sana kuikumbatia dola na kuachana kabisa na siasa.
Hakuna chama Cha siasa kinachokuzwa na dola, dola inalinda tu kwa kuzingatia matakwa ya amri za mara kwa...
Ni wiki nyingine tena bado tupo tunapambana na maisha kila mmoja na nyanja zake na humu ndani pamekuwa na somo kubwa watu wanaelimishana na kupata mitazamo tofauti sasa basi naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Nina kaka yangu mmoja ana matatizo ya macho low vision problen haoni vizuri na...
Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenan wa Jimbo la Nkasi Kaskazini ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Aida Khenan ametoa msimamo mwingine kuwa hawezi kuwasaliti wananchi waliomchagua kuwawakilisha...
Wanabodi,
Sisi wana tasnia ya habari, kwenye uchaguzi huu, zaidi ya kuwahimiza watu na kuwahamasisha, hiyo tarehe 28 October, wajitokeze kwa wingi, kwenda kupiga kura, na kuitumia haki yao ya kidemokrasia, kuwachagua viongozi wanao wataka, media pia tuna wajibu wa ziada wa kuwaelimisha...
Dk, naombeni msaada nimeambiwa nina pressure ya macho maswali yangu ni kuwa:-
Je, inasababishwa na nini
inaweza kupona
Nini dawa yake
kuna tiba mbadala.
Nawasilisha
Wananchi tumekuwa tukilalamika sana kuhusiana na wizi unaofanywa na mitandano ya simu. Mmeziba masikio yenu kwa Vigondo. Hamsikii.Na macho yenu mmeyavalisha miwani ya Mbao. Hamuoni.
Airtel kwanza wana utaratibu ambao mimi nmeshindwa uelewa.napotaka kuangalia data bundle iliyobaki sipewi majibu...
RAIS wa Jamuhuri ya Muunguno wa Tanzania John Magufuli hii leo anatarajiwa kupokea gawio la Sh Bilion 100 kutoka Kampuni ya Madini ya Twiga inayomilikiwa kwa ubia na Kampuni ya Barrick Gold Mine na Serikali ya Tanzania.
Tukio linafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere...
Mambo 10 ya Msingi yanayokera nliyoyaona katika team ya Simba
1. Nasisitiza TFF ifikirie kuongeza dakika matches za Simba. Najisikia vibaya sana kuona Simba inacheza mpira huu wa kwenye game, mpira dont touch my shoes, mpira burger, pizza, sambusa, biriani, juices, maziwa,asali e.t.c Inapangiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.