Watu zaidi ya 100 wapo ndani kiongozi wao anachukuliwa kutoka meza kuu wao wanapiga makofi kama vile anapelekwa kupewa cheo kumbe rumande
Eti Mungu anawaona, iko siku yataisha tu, yana mwisho hayo, hawataingia Mbinguni. Hii ndiyo misemo ya watanzania siku hizi mara wanaponyanyaswa na mfumo Imla...
Kwa msimamo wa CCM kujinasua na vitendo vya Rushwa ktk uchahuzi suala la Kigwangala kuwezesha vyombo vya usafiri vyenye thamani karibia billioni moja ambzo hata hazijafanyiwa uchungizi zimepatikanaje kwa wajumbe mkutano mkuu wa jimbo ambao kwa mujibu wa utaratibu ndio watakaopiga kira za maoni...
Nchi ya Australia ipo katika kipindi kigumu baada ya mifumo yake ya kompyuta kudukuliwa na majasusi na kuharibu mifumo yake ya mashule, vyuo na mahospitali
Mashambulizi hayo pia yamevuruga na kuharibu mifumo ya kompyuta za masuala ya biashara na mifumo ya serikali kwa ujumla
Taarifa yaendelea...
Habari za mchana wandugu,
Mwanangu ana tatizo la macho, akiwa anaangalia anafanya kama haoni vizuri, yaani macho anafumbua kwa mbali. Hii hali hutokea zaidi kwenye jicho moja, pia akiwa ameshika kitabu huwa anasogeza sana karibu na macho ili aweze kusoma vizuri.
Nimempeleka hospital moja ya...
Tanzania ni moja ya nchi zinazosifika kama kisiwa cha Amani. Hii ni kutokana na namna siasa na utu wa watanzania unavyothamini Amani na utulivu.
Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi tangia 1992 na hadi sasa chama kikuu cha upinzani ni chadema. Hata hivyo; vyama vya upinzani Tanzania...
Habari wana jukwaa,
Nimeanza na kichwa hapo. leo ni siku ya 4 mkandarasi amekata rami barabara ya Old Bagamoyo Road ili kufanya marekebisho lakini mashimo yalikatwa mengi na makubwa na yana sharp edge, na hakuna tahadhari au onyo yoyote iliyowekwa kuwa kuna ujenzi unaendelea. Juzi usiku kuna...
Wanadamu katika zama tunazoishi tumefikia hatua inayoweza kuharibu kabisa Dunia tunayoishi na kutowesha kabisa kizazi cha jamii yetu.Leo kutokana na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia mtu mmoja tu anaweza akafanya maamuzi ya kuangamiza na kutisha kabisa.
Kama ni uharibifu wa mazingira...
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
Vifo vinavyotokea ghafla ghafla katika zama hizi ambazo mamlaka kwa makusudi haina nia ya kufahamu vyanzo vya vifo, akili za kuambiwa changanya na za kwako.
Hapa pana rubani wa Afrika kusini na aina ya vifo hivi:
Angalau hawa wanayo nia ya kufahamu...
Nimetafakari sana na nimewaza sana huu mlima tumeujenga na sasa unageuka kuwa maporomoko au kizingiti chetu na dunia ya kwanza.
Tulianza kama masihara na abiria kiukweli tulimsifia dereva anajuwa kuendesha kilimani gari ila pamoja na yote sasa huu mlima unataka kitufunika na safari yetu kuingia...
Habari wakuu,
Ninasumbuliwa na macho, ni hospital gani ya private naweza pata daktari mzuri wa macho siku ya leo?
Msaada wenu kwa anayefahamu tafadhali.
Ni kwamba kutakuwa na barua zinazodaiwa za chadema zinazoonyesha uteuzi wa wagombea, na wagombea halisi kukataliwa kuchukua fomu. Mfano: Chadema inampitisha John Mnyika kugombea kibamba, anaenda kwa DED kuchukua fomu, anaambiwa kuna mwanachama alikuja na barua ya uteuzi ya chama anaitwa Asha...
Watanzania wenzangu nawapenda sana,mnapojifukiza msisahau kufumba macho ili mkopona muendelee kupost na kukoment humu JF.
Madhara ambayo yanaweza yakapatikana kwenye kujifukiza ni pamoja na ukungu kwenye macho kama sio upofu kabisa.
Binafsi nimeitumia Sana tiba hii lakini kabla hata covid-19...
Iko hivi, Serikali ilitoa milioni 700+ kwa ajili ya ukarabati wa shule.
Pesa imeingia kama leo, kesho yake headmaster anapokea barua ya uhamisho kwenda shule nyingine wilaya hiyo hiyo kama headmaster.
Kisa cha kuhamishwa anadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na wenzake, pia hakupewa muda wala...
Hapo vip!!
Nina imani kuna wataalam mbali humu wanaweza kunisaidia hili.
Leo baada ya kuamka asubuhi,katika kuangaza macho huku na kule pale ndani kwangu, niokaona imeandikwa namba 8 chini kwa rangi nyeupe kama ya chaki.
Na nina imani hakuna mtu aliyeandika kwasababu week mbili nimekuwa...
Malkia aliwategemea Harry na Meghan kuwa mabalozi wake katika nchi za Commonwealth ambazo siku hizi anashindwa kuzitembelea kutokana na umri kusonga mbele.
Harry na Meghan wako kwenye ziara yao ya mwisho kama Waandamizi wa wafamilia ya Kifalme.
Kisa cha kufukuzwa kazi mtumishi wa serikali (anaedaiwa kuchana juzuu) kimenikumbusha kisa cha daktari fulani wa macho Muhimbili mwishoni mwa miaka ya 70 na mwanzoni mwa miaka ya 80.
Huyo Daktari alipata scholarship kwenda Ujerumani Magharibi (kusomea taaluma ya macho shahada ya kwanza)...
SAKATA LA MHESHIMIWA ZITTO, SERIKALI NA BENKI YA DUNIA LITUFUNGUE MACHO KUHUSU UMUHIMU WA MARIDHIANO YA KISIASA NCHINI
Nimeona barua iliyoandikwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini kwenda Benki ya Dunia kuiomba Benki hiyo izuie au iahirishe kutoa mkopo kwa Serikali ya Tanzania...
Tumbua, teua,tumbua ni dhana njema ya kupanga safu bora ya viongozi.
Hawa wanaotumbuliwa wengi wao hawakupenda itokee na wanatoka kwa shingo upande.
Kuna RC mmoja wa mkoa mmoja alimlilia mtumbuaji, tena alikuwa Dr. kuwa mimi sijui kazi nyingine ya kufanya, ungenihurumia! Kilio hakikusikika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.