Habari Wanajanvi na Poleni na Msiba Mkubwa uliolikumba Taifa letu.
Tumekua tukiamini kila ukiona Mtu au Mnyama anatokwa na Machozi basi kaumizwa au ana huzuni.
Tunasahau sana kua kuna vitu viwili tu viwezavyo kumfanya Mtu au Mnyama Kutokwa na Machozi ama Kulia navyo ni Utamu au Uchungu...
Wananchi Wilaya ya Sengerema wamelalamikia idara ya wanyamapori kutokuwalipa kifuta machozi watu waliopoteza maisha na wengine kujeruhiwa baada ya kuliwa na wanyama wakali tangu mwaka 2019 hadi mwaka 2020.
Mmoja wa waathiriwa hao, Sanda Deus anayeishi Kijiji cha Nyamasale kata ya Busisi...
Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dkt. Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.
Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama...
Wasalaam wana jamvi,
Mrembo namba moja nchini na mtangazaji mahiri kabisa nchini Diva-Loveness -Love leo ameshea hisia zake kwa wananchi baada ya kushuhudia wananchi wenzie wakigombea daladala uko Tanga na wengine wakisubiri usafiri bila mafanikio..hali iliyomfanya Diva kusikitika sana na...
Wapo waliotembea kwa miguu, baadhi yao walitumia baiskeli, wengine walitumia bodaboda, wachache walitumia Ubber na taxi huku wengi walitumia daladala. Lakini wote walishangaa wakitekwa nyara na kupelekwa ambako hawakutarajia kufika! Watoto wao wanahangaika, wake, waume pamoja na wenzi wao...
Mungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu.
Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia.
Pesa kwangu daima...
Wanabodi,
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye karma, mtu unaadhibiwa au kuhukumiwa kwa mawazo, maneno na matendo yako, karma haina mswalie Mtume, wala...
"Kiuumbaji na hata Kisaikolojia tu Mwanaume ni Mtu ambaye anakuwa amebeba mambo mengi Kichwani na Akilini mwake tena mazito mazito na makubwa makubwa kuliko Mwanamke. Hivyo basi moja ya Tiba ya haraka ili kumuepusha akae vyema Kifikra na Kuhimili mambo anatakiwa ajitahidi kila Wiki awe analia...
Simulizi: ASANTE KWA KUNIFUTA MACHOZI (HISIA ZANGU)
Mwandishi: JOSEPH SHALUWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
*****
SEHEMU YA 1 KATI YA 50
Edo wewe! Acha utani wako bwana... unajua kitakachotokea. Utaniudhi sasa...” akasema Lilian kwa sauti ambayo haikueleweka ilikuwa ya ukali au kudeka...
Bishop, Rev Stephen Ng'anga who hosted the Deputy President William Ruto in Kenol Muranga county in October has died. According to the church leadership the Bishop died from Pneumonia.
The conditioned was triggered and worsened after the bishop inhaled tear gas fumes when the police were...
Nimeanza kujifunza draft nikiwa nina miaka 12 tu!
Nilikuwa fundi rasmi katika umri mdogo sana kipindi nina miaka 15 nilishinda mashindano yote ya mtaani.!
Akili yangu kuchoka mpaka nicheze na wazee wanaojua angalau wa 5 hapo itachoka!
ilifika time nikawa maarufu mtaani kwaku wafunga ma master...
Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani.
Limesema waliokamatwa ni waliochoma matairi na kuyaweka katikati ya barabara na waliokwenda katika...
Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa.
Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba...
Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika
Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
chadema
eneo
jeshi
jeshi la polisi
kampeni
lissu
lisu
machozi
nyamongo
polisi
risasi
serengeti
serikali
tanzania
tarime
tume ya uchaguzi
tundu lissu
uchaguzi
vijana
Ewe uliyeteswa, kusononeshwa na kuonewa, una fursa ya kuonesha hasira zako. Huna pengine pa kusemea, sio kwenye media ama popote maana maoni yako hayatakuwa published.
Una njia moja tu ya kuitendea haki nafsi yako, nayo ni kupiga kura ya machozi hapo October 28. Ashinde asishinde wewe...
A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na za ulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida.
Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka
Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM MSTAAFU MAKONDA AMEANDIKA:
Heshima na Mamlaka ni zako eee Mungu wa Mbingu na Nchi na kwako wewe tunalia Aba, nitaendelea kutaja ukuu wako siku zote za maisha yangu kwakua hujawahi kuniacha hata dakika moja.
Pamoja na mapito magumu na mazito lakini naiona nuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.