Kwa kweli kama kuna siku nimefarijika ni jana tarehe 16 July 2020. Hii ni siku ya historia kubwa kwetu sisi wazalendo wa nchi yetu ya Tanzania.
Nimefurahi kuona kuwa katika usiku wa giza totoro la ukosefu wa matumaini ya watu wetu, na shimo refu la kuzikia haki za watu wetu kumbe bado Taifa...
Hatimaye Siku Tuliyoisubiri imewadia Mhe. Mbunge na Naibu Spika Dkt Tulia kachukua fomu ya kugombea Ubunge wa Mbeya 2020-2025 kilichobakia tunasubiri kuapishwa kwake mjengoni mwezi wa kumi na 11.
Hatimaye aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na Mbunge wa...
Nitoe mifano kadhaa kabla sijaigusa Tz
Kutokana na takwimu za mamlaka South Africa, zaidi ya asilimia 80 ni blacks, na asilimia 8 tu ni jamii ya wazungu. Kutokana na vyanzo vya serikali, zaidi ya asilimia 72 ya mashamba makubwa ya biashara yanamilikiwa na wazungu na ni asilimia 4 pekee...
TEARS OF THE SOUL (MACHOZI YA ROHONI)- 1
Mtunzi: Aziz Hashim (Hash Power)
NB: UNAWEZA KUIPATA SIMULIZI HII TAMU KUANZIA MWANZO
MPAKA MWISHO KWA MFUMO WA e-Book (PDF)
UTAKAYOISOMA KWENYE SIMU YAKO KWA SH. 5000/= TU
NICHEKI WHATSAPP 0719401968!
“Mke wangu!”
“Abee mume wangu!”
“Jiandae leo...
USIJILAUMU KWA JAMBO AMBALO HAUWEZI KUBADILI MATOKEO YAKE.
Maisha ni safari ndefu,na katikati ya safari mwanadamu anafanya makosa mengi sana kupitia mawazo yake,meneno ya kinywa chake na hata matendo mabaya tunayowatendea wengine.
Ili maisha yawe na maana jambo la
kwanza ni lazima uwe na moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.