Wapo waliotembea kwa miguu, baadhi yao walitumia baiskeli, wengine walitumia bodaboda, wachache walitumia Ubber na taxi huku wengi walitumia daladala. Lakini wote walishangaa wakitekwa nyara na kupelekwa ambako hawakutarajia kufika! Watoto wao wanahangaika, wake, waume pamoja na wenzi wao...