Around saa tatu usiku napata bahati ya kutembelea duka Moja la madawa,nyie wenyewe mnaita Sijui famasi kitu kama hicho.
Nimesema bahati coz si kila Mtu hupata nafasi hiyo, Kama unaona sio bahati, ebu nikuulize mara ya mwisho kwenda famasi ni lini?
Anyways Kama nilienda kununua dawa zangu...