madaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kwa hali yangu hii kweli nitaweza kudumu kwenye mahusiano? Madaktari wananichanganya kabisa

    Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na maisha, mwili wangu na vyakula na vinywaji navyotumia. Wanasema ni tatizo la kutokuwa na stress katika...
  2. R

    Hospitali ya Agha Khan madaktari wengi ni wanafunzi au ndio kwanza wanaanza kazi?

    Ndugu wanajamvi. Nimeona nilete hili kwenu natumaini wengi wenu mliowahi kwenda Hospital ya Aghakan pale mjini mme notice kuwa madaktari wengi ni wanafunzi ambao hawana uzoefu. Na wengi hurudi kwenye kusoma Notice ili kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini..? Nilimpeleka mtu mida ya usiku...
  3. Pang Fung Mi

    Hivi Madaktari (MD) nao wanaumwaga na kulazwa kabisa au hadi kufa?

    Hello, Mimi kama Wadiz a.k.a Baharia Naumia sana na roho mbaya, majidai na dharau za za baadhi ya Madaktari kwa wagonjwa ni kero tishio, baadhi wanajikuta sana hadi najiuliza hivi hawa wana kinga ya kuumwa na kufa, au wana bima ya uhai wa maisha yao. Kuna wimbi la kutuandikia madawa lundo...
  4. Dr. Wansegamila

    DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

    Naandika uzi huu kwa uchungu na majonzi makubwa. Siku za hivi karibuni nikiwa mkoa wa ugenini mishale ya usiku nilianza kujisikia hovyo sana kwa ghafla tu. Hali ilianza kubadilika mida ya saa sita za usiku. Nilianza kujisikia hali ya ganzi upande wa kushoto wa kifua, na mapigo ya moyo kwenda...
  5. JanguKamaJangu

    Nigeria: Madaktari waanza mgomo wa siku 5 kushinikiza malipo bora

    Chama cha Madaktari Wazawa wa Nigeria (Nard) kimesema uamuzi huo unahusisha Madaktari wa Hospitali za Serikali unatokana na Serikali kushindwa kutimiza mahitaji ikiwemo maboresho ya mishahara na malipo mengine. Serikali imedai mgomo huo sio halali na watakaoshiriki hawatalipwa na kudai kuna...
  6. F

    Waalimu, madaktari, wasomi na watu wa sekta nyingine tujifunze kwa wafanyabiashara wa Kariakoo kuzungumzia kero zetu.

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk. Wasomi tunashindwa wapi! Waalimu wana kero nyingi lakini hawathubutu kuzungumzia kero zao...
  7. R

    Virus wanaodaiwa kumuua Membe waliondoka na viongozi wengi miaka miwili nyuma. Madaktari wawezeshwe wafanye utafiti, tusipuuze

    Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu. Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na...
  8. Suley2019

    Mtwara: Madaktari wafanikiwa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto

    JOPO la Madaktari katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Kusini, Mtwara wamefanya upasuaji wa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto wa miaka tisa kwa mafanikio makubwa baada ya kutumia vifaa vya kisasa kufanya uchunguzi na kubaini tatizo hilo. Akizungumza Kwa njia ya simu na chombo kimoja cha habari...
  9. Q

    Madaktari wa JF naomba msome X-ray hii

    Heshima zenu doctors mliopo JF, Naomba mnisaidie kusoma hii picha ya X-ray kisha mniambie huyu mgonjwa ana shida gani. Natanguliza shukrani.
  10. agudev

    Madaktari na wataalamu wa chakula, kwanini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie mifano hii: Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
  11. agudev

    Madaktari na wataalamu wa chakula, kwa nini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie mifano hii: Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
  12. jMali

    Swali kwa Baraza la Madaktari na Wizara ya Afya

    Ombi: Sijapita muda mrefu hapa JF, naona jukwaa jipya la ku fact check mambo. Sasa sijui tunasubmit issues namna gani hapo, kwa sasa natumia jukwaa hili la mchanganyiko nikiomba mods kunisaidia kama hii thread yangu inaweza kuhamia kwenye jukwaa la Jamii Check. Swali langu kwa wadau wa afya...
  13. BARD AI

    Guinea: Madaktari wafungwa miaka 35 kwa makosa ya Kubaka, Kuua na Kutoa Mimba

    Mahakama Nchini #GuineaBissau imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini kuwa Madaktari hao walihusika na matendo hayo dhidi ya M'Mah Sylla, aliyebakwa akiwa Hospitali na kuhamishiwa kutibiwa Nchini Tunisia mwaka 2021. Waliohukumiwa ni Daniel na Patrice Lamah ambao wamepea kifungo cha miaka 15 jela na...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Leo tuwachane madaktari na manesi kujiona wadogo zake Mungu

    Hakuna shaka wanafanya kazi kubwa kuokoa maisha yetu. Mungu awabariki sana kwenye hilo. Lakini kama binadamu wengine nao wana mapungufu. Wengine mapungufu makubwa zaidi mpaka unajiuliza huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri. Ninayo machache ya kushangaza kwa hawa ndugu wakiwa anga zao; 1...
  15. Replica

    SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

    Chuo kikuu cha St. Augustine kimebatilisha shahada ilizotoa kwa madaktari 162 waliohitimu chuo cha udaktari cha St. Franscis kuanzia mwaka 2015-2019. St. Augustine imechapisha tangazo kwenye gazeti la Daily news ikitoa notisi kubatilisha shahada za wanafunzi hao 162 ambao inadai wamegoma...
  16. JanguKamaJangu

    Uingereza: Maelfu ya madaktari waingia kwenye mgomo kudai malipo bora

    Maelfu ya madaktari wa ngazi ya chini waliojiunga hivi karibuni katika taaluma hii wapo kwenye mgomo kote Uingereza wakidai malipo bora, ambapo wameanza siku tatu za usumbufu mkubwa katika hospitali na kliniki za afya zinazofadhiliwa na Serikali. Madaktari hao wanaunda 45% ya madaktari wote...
  17. Lady Whistledown

    Wanajeshi Afrika Kusini watoa huduma hospitali baada ya madaktari kugoma

    Serikali imetuma Wanajeshi katika Hospitali na vituo vya Afya katika Mikoa ya Thelle Mogoerane, Sebokeng na Bheki Mlangeni iliyoathirika zaidi baada ya Madaktari kuungana na Wafanyakazi wengine wa umma katika mgomo wa kudai maslahi bora. Wafanyakazi wa umma wamekuwa wakiandamana tangu Machi 6...
  18. GENTAMYCINE

    Madaktari wa JamiiForums huu Ugonjwa Hatari na Mpya Mitandaoni unaitwaje?

    Unakuta kuna Member Mmoja Maarufu mno Mitandaoni mpaka Rais Samia anamjua na Kufurahishwa nae na Wengine baadhi ila anachukiwa na Members kadhaa lakini hao hao Members Wanaomchukia huyo Member maarufu kila mara na kila Saa tu Wanamfuatilia na Kumsoma huku Wengine hata wakiwa Wanamfolo vile vile...
  19. Roving Journalist

    Watu 360 wanapatiwa matibabu ya Saratani ya Ubongo kwa Mwaka

    Mkurugenzi wa sera na mipango wizara ya Afya Bw.Edward Mbaga amefungua rasmi kongamano la kimataifa la madaktari Bingwa wa ubongo Mgongo na mishipa ya fahamu ulilojikita kwenye matibabu na uchunguzi wa uvimbe kwenye ubongo, mgongo pamoja na saratani ambapo zaidi ya madaktari bingwa 200 kutoka...
  20. USSR

    Ajali Korogwe: Madaktari walipigiwa simu saa nne usiku wakafika saa kumi na moja

    Angekuwa Magufuli haya yasingetokea trust me uzembe umekuwa mkubwa sana ofisini siku hizi: Nipo natazama ITV super brand mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na wananchi walijitokeza wakati wa ajali mbaya iliyouwa Watanzania 20 watatu wakifua hospitalini wanathibitisha kuwa madaktari walipigiwa simu na...
Back
Top Bottom