Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema rushwa imekithiri na kuota mizizi katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) kiasi cha madaktari kuombana rushwa wenyewe kwa wenyewe.
Ummy aliyasema hayo juzi, alipozindua bodi mpya ya wadhamini wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)...
Kupanda kwa bei ya mafuta nchini…
WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI
JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali na mikoa mingine, Mkoa wa Dar es Salaam, Lita 1 ya Petroli imekuwa Shilingi 3,400 (ongezeko la...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao.
Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa.
Aidha Waziri Ummy ameishauri bodi ya Kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete kuhamia Mloganzila ambako wanaweza...
Mdau wa JamiiForums.com ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa UTI kwa wanawake.
Anahoji inakuwaje sababu kubwa inayotajwa kuwa ni uchafu ipate mashiko kwa nyakati hizi, kwani wanawake wa zamani ndio walikuwa wasafi zaidi kuliko hawa wa sasa?
Mdau huyu anashauri...
Tarehe 28 mwezi Mei, timu ya madaktari ya kikosi cha 25 cha walinda amani wa China nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) walitembelea Kituo cha kulelea Watoto yatima cha shirika la kibinadamu SOS huko Bukavu wakati Siku ya Kimataifa ya Watoto ikikaribia.
Waliwazawaida watoto wa pale vifaa...
Wizara ya Afya / Waziri wa Afya tunawapa pongezi kwa jitihada mbalimbali mnazofanya lengo likiwa ni kuimarisha afya ya mtanzania.
Kuna changamoto kadhaa hasa kwa baadhi ya madaktari katika kutibu wagonjwa mbalimbali kutanguliza maslai binafsi katika hospitali za u make badala ya tiba sahihi kwa...
Waziri Ndaki na katibu(mifugo) Bw. Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa madaktari wa mifugo.
kutoka kwa Vet Surgeon
Habari Mh. Mashimba Ndaki , pole na majukumu na hongera kwa kuwezesha sekta ya mifugo kuendelea kusonga mbele.
Kulingana na Takwimu za 2020...
Ikiwa dunia inaadhimisha siku ya Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali nyekundu kila ifikapo Mei 8, nchi mbalimbali hasa hza Afrika zitaendelea kukumbuka na kuenzi mchango mkubwa unaotolewa na timu za madaktari wa China katika barani humo, ambao wamekuwa mstari wa mbele kupambana na...
Habari wana jamvi,leo nimekuja na thread hii. hili pengn kama kuna mtu,anaweza kujikuta katika hali kama hii,pengine wawe waangalifu .
Ep1
Mimi ni mzaliwa wa pili katika familia yetu ,familia yetu ilikuwa ya watoto sita .mama yetu alifariki tukiwa bado wadogo .tukabaki na baba ambaye alikuwa...
Madaktari Nchini Sri Lanka wamesema watafanya maandamano katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo kutokana na Hospitali kuishiwa Dawa muhimu kwasababu ya mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi kutokea katika miongo kadhaa
Madaktari wanasema hali iliyopo inaweza kusababisha Mfumo mzima wa Afya unaweza...
kikundi cha tisa cha madaktari wa China nchini Sudan Kusini jana ilikamilisha majukumu yake ya kimatibabu katika jimbo la Lakes kwa siku tano, na kurudi katika mji mkuu Juba. Wakazi wa jimbo hilo wanatarajia kuwa madaktari wa China watarudi tena.
Shughuli hiyo ya matibabu ilifanyika katika...
Hivi madaktari wa siku hizi wana shida gani! mbona kama ni hawajui kitu tena!? Yaani siku hizi ukienda hospitali utapata tiba ya haraka kama unaumwa magonjwa yaliozoeleka kama malaria,typhoid, u.t.i nk lakini kama unaumwa kitu ambacho hakijazoeleka unaweza ukafia hapo wanakuangalia.
Yaani...
Nchini Zambia madaktari wasio na ajira wameandamana kuelekea Ikulu ya Nchi hiyo ili kufikisha malalamiko yao kwa Rais Hichilema kwa lengo la kujua hatima yao .
Cha kushangaza ni hatua ya Polisi wa nchi hiyo kujitokeza na kuwasindikiza waandamanaji hao kuelekea Ikulu , katika nchi ambayo ni...
Sabato NJEMA!
Kuna madaktari waliotokea moja Kwa moja Kidato cha Sita kwenda kusoma MD, na wapo ambao wametokea Diploma(Clinical Officer, CO) kwenda kusomea MD.
Kiukweli nimeshtushwa mno baada ya kukutana na Baadhi ya Madaktari watarajiwa wasomao MD na wengine waliomaliza CO.
Mambo...
Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo ya Utarajali
Tamko hili Limekuja baada ya Wanafunzi kulalamika kupitia JamiiForums kwamba utaratibu wa kusubiri miezi nane ndipo warudiE mitihani inawauimiza...
Madaktari na wafanyakazi wa Taasisi ya Tanzania Occupational Health Services (T.O.H.S) maarufu kama Dar Group Hospital wanatarajia kuanza mgomo na kuishinikiza Serikali kupitia wizara zake husika kutoa muafaka na hitimisho kuhusu kadhia ya muda mrefu iliyop ktk hospital hiyo isiyo na mmiliki...
Chukueni tahadhari, hiki kitu kimebeba hadi marais...
=========
Eighty nine people have on December 24 tested positive for Covid-19 including 38 doctors and nurses at Mnazi Mmoja Referral Hospital in Zanzibar.
This was said by the hospital's director Dr Marijani Msafiri while briefing the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.