UTANGULIZI
Nawasalimu katika Jina la Bwana Yesu na Asalaam Aleykum ndugu watanzania wenzangu,
Katika kusoma kwangu historia ya ulimwengu toka nikiwa kijana mdogo mpaka hii leo, nimetambua kwamba madikteta wote duniani huwa wanafanana: Awe katokea Ulaya, Asia, Amerika Kusini au Afrika wote huwa...