madeni

Del Morad (Persian: دلمراد(مادني)‎, also Romanized as Del Morād; also known as Mādenī) is a village in Kahnuk Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 19, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Kwanini Yanga inakabiliwa na madeni makubwa? Hili deni ni la kulipwa haraka sana

    Nadhani injinia atazingatia. Hili ni deni nyeti sana linagusa maslahi ya klabu
  2. C

    Serikali kuondoa mfumo wa kuuza madeni kwa watumishi kutoka bank moja kwenda nyingine sio haki ni kuhatarisha malengo ya watumishi

    Nimetembea Kila bank wamekataa kununua deni wakidai mfumo wa kununua na kuuza madeni umeondolewa mpaka pale watakapo uunganisha na PEPMIS. Ni muda Sasa na bado hawajawezesha msimu wa kilimo ndo huo umeingia na pesa hakuna Mtu unategemea ufaulishe deni Ili upate tu-cent serikali nayo inakubania...
  3. M

    Kumbe ndio maana huwa nawaona walimu wenzangu wanatembea na mikeka kama 20 barabarani. Madeni yanaleta stress

    Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu. Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni. Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu.
  4. L

    Nchi za magharibi zaendelea kuchochea msukosuko wa madeni, licha ya ushahidi wote kuonyesha wao ni chanzo kikuu cha msukosuko huo

    Hivi karibuni kiongozi wa Kanisa la Katoliki Papa Francis alihutubia mkutano wa Vatican kuhusu Msukosuko wa Madeni katika eneo la Kusini mwa Dunia", kwenye hotuba yake Papa alikemea vikali changamoto zinazotokana na msukosuko huo, hasa kusababisha taabu na dhiki, na kuwanyima mamilioni ya watu...
  5. BigTall

    Mamlaka inayosimamia ‘parking’ za gari iwajulishe Wateja kuhusu Madeni ya miaka ya nyuma na siyo kuwashtukiza na kutaka walipe papohapo

    Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho. Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki. Mamlaka...
  6. Gemini AI

    TAMISEMI: Madeni ya Wazabuni wa Vyakula Mashuleni yatalipwa baada ya uhakiki

    Madeni ya jumla ya Sh21.7 bilioni ya wazabuni wa vyakula katika shule za msingi na sekondari kwa mwaka 2023/24 yamewasilishwa hazina kwa ajili kuhakikiwa na kulipwa. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Agosti 29, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
  7. Bexb

    UNAHITAJI KAMPUNI YA UDALALI(AUCTIONEER) NA UKUSANYAJI MADENI?

    Habari ya asbuhi wakuu, nimerudi tena tuweze kujadili na kukumbushana machache katika utafutaji wetu huku kwenye 'corporates world'. Kampuni ya udalali na ukusanyaji madeni (auctioneer and debt collection) ni moja kati ya machimbo yaliyopo mjini yanayofanya vizuri japo hayavumi na nimegundua ni...
  8. M

    Walimu mnaosubiri mshahara huku mkijua ukiingia utaishia kulipa madeni tukutane hapa ili tufarijiane.

    Bado masaa kidogo Hazina watajaza mzigo. Lakini balaa ni kuwa mzigo wote utaishia kwenye madeni. Kwa kweli walimu tuna wakati mgumu sana.
  9. M

    Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

    Wakuu, Kwa mara ya Kwanza ndo naexperience Ile hali ya kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi. Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango . Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Shetani kamwaga roho ya madeni ulimwenguni. Be careful

    Hello! Niliwahi kupost mada kama hii miezi michache iliyopita. Leo ninaipost tena baada ya kufanya utafiti tena na tena. Watu wengi wanadaiwa sio mchezo. Hata Mimi niliwahi kuvamiwa na roho ya madeni, madeni yanamsogeza mtu karibu na kifo, madeni huondoa amani katika familia. Katika mipango...
  11. B

    Waziri wa Fedha akutwa na hatia kwa Madeni Yaliyofichwa, Majaji wa New York kutoa Hukumu

    Madeni Yaliyofichwa: Majaji wa New York wampata waziri wa Mozambique na hatia Paul Fauvet 2024-08-09 dk 5 kusoma New York, 8 Ago (AIM) - Jopo la majaji katika mahakama moja mjini New York siku ya Alhamisi lilimpata Waziri wa Fedha wa zamani wa Msumbiji, Manuel Chang, na hatia ya kula njama ya...
  12. Roving Journalist

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) yaingilia kati mgogoro wa Kampuni ya Bima ya IGT kushindwa kulipa madeni

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imefafanua juu ya kinachoendelea katika Kampuni ya Insurance Group of Tanzania (IGT) ambapo kuna Watanzania wanaodai kuwa wanaidai Kampuni hiyo lakini imekuwa ikiwazungusha malipo yao kwa miaka kadhaa sasa. Awali andiko la Mwanachama wa...
  13. M

    Nilidhani wanaokimbia madeni wanafanya kusudi

    Zamani nilikuwa najua watu wanao kimbia madeni wanafanya kusudi 🙌🙌🙌
  14. safuher

    Mambo ya kuzingatia kwa Afisa MADENI ili kumu"WIN" anayekudai.

    Afisa mikopo anashughulika na kuwapa watu mikopo,hivyo na sisi tunaopokea mikopo hiyo tunayo haki ya kujiita AFISA MADENI. madeni ni katika sababu ya maendeleo kwani moja ya sababu ni kuwa WANAOKUDAI HUKUOMBEA UTOBOE ILI UWALIPE MADENI YAO,na Mungu mara nyingi hujibu dua hizo. usikope kwa...
  15. A

    KERO Shule ya Sekondari Vituka (Dar) inatutoza Tsh. 30,000 kwa ajili ya Vyeti wakati hatuna madeni

    Mimi ni mkazi wa Mbezi ya Kimara nilihitimu Kidato cha Nne kwa kufanya mitihani ya PC (Private Candidate) Mwaka 2020, Kituo change cha Mitihani kilikuwa Shule ya Sekondari Vituka, ipo Wilaya ya Temeke Mtaa wa Buza. Kutokana na changamoto za kimaisha nikachelewa kwenda kuchukua cheti cha...
  16. JanguKamaJangu

    TAMISEMI: Mfumo wa kusoma madeni ya parking ulipata hitilafu ukashindwa kutuma ujumbe kwa wenye magari

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo. Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
  17. N

    SoC04 Tumtue mama wa kitanzania madeni kwa ustawi bora wa taifa

    Hivi karibuni,tumeshuhudia wingi wa ofisi ndongo ndogo za mikopo katika nchi Yetu,mikopo iliyopewa majina tofauti tofauti,lakini ikiwa inasadifu ugumu wa mikopo iyo katika urejeshwaji wake. Hapa ninazungumzia taasisi za mikopo ambayo haijasajiliwa na BOT(Bank of Tanzania). Mkopo ni mzuri...
  18. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums huyu Achraf Hakimi tuliyemsajili anachukua nafasi ya nani? Tuna Hela ya Kumlipa wakati Madeni yanatuumbua?

    GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC Tukuka nimefurahi mno Yanga SC kumsajili huyu Mchezaji na hakika Yanga SC yetu kwa Msimu ujao si tu kwamba inaenda Kubeba tena Kombe la NBC Premier League bali pia inaenda kuwa Bingwa wa CAFCL na tukienda katika Mashindano ya Vilabu duniani Yanga SC tena...
  19. FRANCIS DA DON

    Napendekeza mikopo yote inayokopwa na serikali itumike kulipa madeni, na makusanyo yote ya Kodi yatumike kwenye bajeti

    Namna pekee itayoweza kutuamsha kama nchi toka usingizini ni kujiuliza maswali kadhaa… 1.) Tanganyika inakopa jumla ya Trillion ngapi kwa mwaka? 2.) Tanganyika inalipa madeni Trillion ngapi kwa mwaka? 3.) Tanganyika inakusanya mapato ya ndani Trillion ngapi kwa mwaka? Majibu 1.) Tangu 2021...
  20. GENTAMYCINE

    Kumbe tunashindwa Kuitambulisha upesi 'Turufu Iliyochoka Kwa Jirani na Inayolewa Hovyo Bia' kwakuwa bado tuna Madeni Makubwa na hatujamalizana nayo?

    Na ninasikia Wiki hii au ijayo kuna Mchezaji / Wachezaji Wawili nao wanaenda Kushtaki FIFA kwa Madeni yaliyokubuhu.
Back
Top Bottom